mishahara

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto Sekondari Mchungaji Mwema: Walimu, Mishahara na Utawala

    KERO Mimi kama mzazi na mdau wa elimu shule ya sekondari mchungaji mwema iliyoko chini ya dayosisi ya Kagera nakelwa na mambo kama haya 1. Walimu KUNYIMWA MKATABA ambao ni silaha ya kulinda ajira yao Kwa mujibu wa SHERIA. 2. Mishahara ya kusuasua Kwa WAFANYAKAZI na kulipwa kinyume na SHERIA...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Watumishi wa Umma waendelea kulalamika kukosa madaraja kutokana na changamoto za mfumo wa PEPMIS

    Kero yangu inahusu baadhi ya watumishi wa umma ambao tumekosa kupandishwa madaraja kutokana na changamoto zinazotokana na matumizi ya mfumo wa PEPMIS na uzembe wa baadhi ya wakuu wa vituo. Baadhi yetu tulihama vituo vya kazi, lakini taarifa katika mfumo zinaendelea kuonesha vituo vya zamani...
  3. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali Iingilie Kati Mishahara Shule Binafsi

    Naomba SERIKALI ifuatilie maagizo kuhusu MSHAHARA KIMA CHA CHINI Kwa TAASISI binafsi hasa Kwa shule mbali mbali MFANO shule ya mchungaji mwema sec iliyoko NGARA KAGERA inalipa Watumishi TSH. 150000 badala ya 350000 Soma Pia Wafanyakazi kwenye Kampuni Binafsi tunapata shida sana kulipwa stahiki zetu
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyakazi wa Joshmal Hotel (Arusha) hatujalipwa mishahara wala kuwekewa NSSF kwa muda mrefu

    Naandika ujumbe huu kwa niaba ya wafanyakazi wenzangu wa Joshmal Hotel, Arusha, ili kuwasilisha changamoto kubwa tunayokabiliana nayo mahali pa kazi. Sisi wafanyakazi tumekuwa tukifanya kazi kwa muda wa zaidi ya miezi sita hadi mwaka mmoja bila kulipwa mishahara yetu. Zaidi ya hayo, hatujawahi...
  5. JamiiForums Tanzania Tahadhari Juu ya Ahadi za Kazi Zenye Mishahara Minono Nje ya Nchi (Mtego wa Cambodia na Myanmar)

    1. Utangulizi i: Wimbi Jipya la Utumwa wa Kidijitali Ulaghai Mtandaoni: Matangazo ya kazi feki yameshamiri kwenye mitandao ya kijamii. Walengwa Wakuu: Vijana wasomi, wanaojua kompyuta, na wanaozungumza Kiingereza vizuri. Maeneo Hatari: Nchi za Kusini-Mashariki mwa Asia (Cambodia, Myanmar...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wauguzi wenye Shahada Tanzania tunafanya kazi ngumu zisizoendana na malipo yetu. Inakatisha tamaa sana

    Salamu Wakuu wa JamiiForums, Sisi ni wauguzi wenye degree (Shahada ya kwanza) nchini Tanzania tunalalamikia hali yetu. Tunaandika ujumbe huu kwa sauti kubwa kwa sababu ukimya wetu unachukuliwa kuwa ni kukubali. 1. MSHAHARA HAULINGANI NA KIWANGO CHA ELIMU NA KAZI Tunasoma miaka 4 ya degree kama...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpimbwe: Watumishi tulioajiriwa JUNI 2022 hatujapandishwa madaraja wala kulipwa Malimbikizo ya Mishahara

    Watumishi walioajiriwa mwezi Juni 2022 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe tunaomba haki yetu ya msingi itendeke. Pamoja na kutimiza wajibu wetu wa kazi kwa uaminifu, hadi sasa wengi wetu hatujafanyiwa utaratibu wa kupandishwa madaraja kama sheria na taratibu za utumishi wa umma...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Boni Yai jukwaani Kahama: Achambua "mikataba ya day waka" ya CCM kwa Jeshi la Polisi, ajira zao, vyeo, mishahara, pensheni kandamizi

    Jeshi linalotumwa kuwalindia madaraka Askari mwenye V tatu Mshahara 625,000 /= baada ya makato Huna V hata moja 228,000/= Hii iliongezwa kutoka 215,000/= Kupanda vyeo labda jeshini, polisi ni nadra Mkataba wa ajira kama huna nyota moja ni miaka mitatu mitatu tu. Day waka ! Miaka 6 ya...
  9. JamiiForums Tanzania Ni ipi kazi ya vyama vya wafanyakazi, kama kwa mfumuko wa bei hivi sasa hakuna chama chochote kimetoa kauli kutetea maboresho ya mishahara?

    Ndugu zangu vita inayoendelea Irani imesababisha upandaji wa bei ya nishati kitu ambacho kimesababisha mfumuko wa bei kwenye bidhaa karibu zote,kwenye uchumi gharama za nishati/mafuta/gas zikipanda lazima bei ya bidhaa ipande. Kwasasa hali ya maisha kwa upande wa wafanyakazi imekua mbaya zaidi...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Uzembe wa kuhamisha mishahara na changamoto ya kupanda daraja

    Kwa wale tunaofanya kazi chini ya TAMISEMI kwakweli hii wizara inachosha yaani mtu unahama miaka miwili ila mshahara bado upo huko ulikotoka,unaanza kumbembeleza mkuu wa huko ulikotoka apitishe kazi zako, Sasa hapa changamoto ni kwamba mkuu anakwambia mimi siwezi kukupitishia kazi zako ikiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna namna gani nzuri ya kudai mishahara inapocheleshwa

    Naombeni ushauri maana humu kuna watu wengi wenye akili na experience tofauti tofauti ila naomba kufahamu namna nzuri ya KUDAI mshahara maana inaonekana BOSS Hana mpango wa kulipa mwezi mmoja na NUSU sasa na hatoi sababu.
  12. JamiiForums Tanzania Mbinu gani ya kudai Boss alipe Mishahara

    Nimejishikiza katika kaajira flani private sasa boss watu wanadai ndiyo michezo yake wafanyakazi wakifanya kazi miezi kadhaa huwa anataka kuzurulumu. Mwezi mmoja ili muondoke then alete wengine nao wakifanya anawadhurumu . Trend huwa ipo ivyo Leo tumekaa kupanga jinsi gani Tu deal na BOSS ila...
  13. JamiiForums Tanzania POTOSHI Bunge la Iran limetangaza kuongeza mishahara April 2026, kwa wafanyakazi baada ya vita

    kumekuwepo na chapisho ambalo limechapishwa na baadhi ya watumiaji wa mitandao ya facebookk wakiwa na ujumbe unao nukuu kuwa bunge la iran limetangaza kuongeza mishahara baada ya vita katika chapisho hilo ambalo lina nukuu inayosomeka "Baada ya Bunge kuidhinisha sheria mpya ya Malipo kada ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania UTPC lipeni mishahara bila masharti

    Kwanza nawapongeza UTPC kwa kupata fedha ambazo pia zitatumika kulipa waratibu. Hilo ni jambo jema sana hakika mnstahili pongezi. Lakini kilichonileta hapa ni baada ya kupokea barua kutoka UTPC ikitoa maelekezo kwa sisi viongozi wa Klabu tujaze fomu za maelezo (kama inavyoonekana hapo chini) na...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hii tabia ya Mishahara ya Walimu wa Science na wa Arts Serikalini kuchezewa itaisha lini?

    Walimu Ajira Mpya mwezi wa kwanza 2026 had leo hatujapewa pesa za kujikimu Halmashauri ya Wilaya ya Babati, tunateseka hatuna hela ya matumizi. Pia Walimu wa Science na wa Arts huwa mishahara inatofautiana wa Science kwenye barua ya kazi tuliyopewa basic salary ni Shilingi 925,000 but...
  16. JamiiForums Tanzania Wangapi tunasubiri mishahara ya mwisho wa mwezi?

    Leo tarehe 28 zimesalia siku 3 hivi kumaliza mwezi wa 3. Sasa kuna wale tayari wameshapokea mishahara yao tangu 22 ambao wengi wao ni watumishi wa Umma. Lakini private wengine tarehe 25 hadi leo wanapokea, halafu kuna wakina sisi hadi MUNGU AKIPENDA yani boss ajisikie kuingiza! Ila ajira ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wakati huu serikali ya Iran imelazimika kupandisha mishahara ghafla kwa asilimia 60% ?

    Nini kio nyuma ya pazia ? Serikali ya Iran imetangaza hatua kubwa ya kuongeza mishahara. Waziri wa Kazi, Ahmad Midari, amethibitisha kuidhinishwa kwa ongezeko la asilimia 60 ya mshahara wa chini wa kitaifa. Kuanzia sasa, malipo ya mwezi yanapanda kutoka dola 75 (shilingi 190,000) hadi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Naona mishahara na pensheni, vimetoka tangu jana, tumieni kwa uangalifu, payment day ya April itakuwa ndefu

    Ni angalizo tu, maana sikukuu huwa zinatutia kichaa! Tumieni kwa busara. Naona huku "Waja Leo Waondoka Leo" hekaheka hazipimiki! Sikukuu njema
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali imesema tuongezwe mishahara lakini Fanikiwa Microfinance inatuongezea 'target ya kufikisha'

    Kuna Taasisi inaitwa Fanikiwa Microfinance inajishughulisha na utoaji wa mikopo, Makao Makuu yapo Dar es Salaam na pia wana matawi mengi Mikoani. Alipoingia Rais Madarakani waliambiwa waongeze mishaara kufikia laki 6, walipoambiwa hivyo wakatupandishia target kufikia milioni 20 kwa mwezi ili...
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba mtoto wa mkulima asiye na connection hawezi pata kazi kwenye taasisi nyeti/ zenye mishahara minono hapa Tanzania?

    Habarini wana jukwaa,.najua mnaendelea vizuri makundi yote sasahivi mmeshiba pamoja na wale wanaoamini mizimu. Kila mtu huwa na ndoto ya kufanya kazi zenye malipo manono kama B.O.T, TPA, mkuu wa idara safi,n.k kwenye umri mdogo. Nlikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye wazazi wake ni watu wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…