KANISA la Tanzania Assemblies of God (TAG) Jerusalem Temple, Soko Matola jijini Mbeya, limekemea ndoa za jinsia moja ambazo zimeanza kushamiri nchini.
Kutokana na hali hiyo, kanisa hilo limeiomba serikali kutokukubali misaada inayotolewa kwa sharti la kuruhusu ndoa za aina hiyo ili kuendana na...