miradi mikubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Huduma za uwekaji Tarazo (Tiles) kwa miradi mikubwa na midogo

    Tunatoa huduma za kitaalamu za uwekaji wa Tarazo (Tiles) kwa ubora wa hali ya juu kwenye maeneo mbalimbali: 🔹 Mashule (madarasa, korido, vyoo) 🔹 Parking (maeneo ya magari) 🔹 Underground floors (basements) 🔹 Nyumba binafsi (residential houses) 🔹 Ofisi, maduka na majengo ya biashara 💼 Kwa nini...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Sheikh Haruna: Rais Samia amevaa viatu vya Magufuli, miradi mikubwa iliyoanzishwa imekamilika

    Katibu Mkuu wa Taasisi ya Twariqa, Sheikh Haruna Hussein, amewaasa waumini wa dini ya Kiislamu kutumia kipindi cha baada ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kufanya dua na kuliombea taifa, serikali pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Akizungumza hii leo...
  3. T

    Mbunge Ataka Wananchi Wapikiwe Chakula Wakati ww Uzinduzi Wa Miradi Mikubwa

    "Miradi mikubwa ya nchi inayokuja kufunguliwa, kwanini msiweke hata asilimia moja ya sherehe, kwa mfano kama juzi tumekwenda kufungua Meli, pale wananchi wamekuja kwa tabasamu kubwa kuona Meli inafunguliwa, yani yalikuwepo maji ya kunywa tu... ...tulitegemea siku hiyo mradi mkubwa wa bilioni...
  4. Just Pray

    PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Tulilalamikia miradi mikubwa haigusi maisha ya watu huku chini, Rais Samia amefuata nyayo za waasisi wa taifa

    Wakuu Akiwa sehemu ya ujumbe wa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla anayeendelea na ziara ya kikazi kwenye mikoa ya Kanda ya Kaskazini, Kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Babati, mkoani Manyara ameeleza...
  5. Dennis Robert Shughuru

    Makampuni ya wahandisi wazawa watawezeshwa na watakuwa na uwezo wa kufanya miradi mikubwa

    Nikiwa Rais makampuni ya wahandisi wazawa watawezeshwa, na kutatengwa fedha kwa ajili ya kuwawezesha wahandishi wazawa waweze Kununua vifaa sababu wengi vifaa ni changamoto Wapewe training ya kujenga miradi mikubwa kama treni za umeme, interchange, n.k Watafundishwa wawe na malengo wakubwa...
  6. Waufukweni

    Waziri Mkuu Majaliwa: Zaidi ya ajira milioni 8 zimezalishwa kupitia sekta ya umma na sekta binafsi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitoa hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri mkuu na Bunge 2025/2026 "Serikali imeendelea kubuni na kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuzalisha fursa za ajira nchini kupitia uwekezaji na utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo ujenzi wa bomba la mafuta...
  7. upupu255

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera: Vijana tuchangamkie fursa kwenye miradi mikubwa ya serikali

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Cde. Faris Buruhani amewakumbusha vijana wa mkoa huo kuzikimbilia fursa kubwa na za muda mrefu zinazopatikana kwenye miradi mbalimbali ya serikali inayotekelezwa kwenye maeneo yao badala ya kuhangaika na fursa za siku moja ambazo hutokea mara moja tu kila baada...
  8. Rorscharch

    Afrika na Ujinga wa Kujidanganya: Kwa Nini Hatuna Miradi Mikubwa ya Kisayansi?

    Kila siku tunasikia kauli kama “Afrika inaweza,” “Sisi ni watu wa nguvu,” “Tuna rasilimali nyingi kuliko Ulaya na Marekani.” Lakini, je, kweli tunaweza? Ikiwa Afrika inaweza, mbona hatujawahi kushirikiana kujenga mradi wowote mkubwa wa kisayansi? Dunia inaendelea na miradi mikubwa kama Apollo...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Toufiq Turky awataka vijana na Wanahabari kuitangaza miradi mikubwa iliyotekelezwa na Serikali ya Rais Dkt. Mwinyi, Zanzibar

    "Mimi nimesoma Skuli ya Kajificheni darasa la kwanza na tulikuwa tunakaa kwenye boksi, darasa la pili tulipewa mabao tukakaa bao moja tunakaa watu watatu. Siyo mbali na miaka iliyopita lakini leo mtoto wa Skuli binafsi na mtoto wa Skuli ya Serikali wanakaa sawa na baadhi ya Skuli binafsi ziko...
  10. F

    Zinatoka wapi pesa zinazotumika kujenga miradi mikubwa na mingi inayofunguliwa kila siku Zanzibar?

    Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na...
  11. Stephano Mgendanyi

    Wabunge Wanawake Zanzibar Wapongeza Miradi Mikubwa Ilivyoleta Maendeleo Zanzibar

    Wabunge wa Umoja wa Wanawake (UWT) Zanzibar (Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum) tarehe 28 Novemba, 2024 wameanza ziara rasmi kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Rais, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Katika ziara yao, Wabunge Wanawake...
  12. M

    TANESCO wekeni mipaka au Bicon kwenye maeneo ya miradi mikubwa kuepuka kuwabomolea wananchi nyumba zao hapo baadae

    Nalileta hili kwenu kwa sababu nimeona madhara mengi kwa wananchi. TANESCO, mnatakiwa mkishapima eneo, hasa kwenye miradi mikubwa ya nguzo za chuma, muweke alama zenu za mawe (bicon). Sababu ni kwamba maeneo ya mwisho wa mipaka yenu huleta mizozo mingi na wananchi. Hata kama mradi wa kujenga...
  13. disturbanced

    Natafuta kazi za miradi mikubwa ya Serikali

    Jf habari za humu Uzi wangu huu hauna mambo mengi, mimi n kijana wa kiume umri miaka 25 kwa sasa sina kazi yeyote na ninatamani sana kuhama mkoa niliopo. Ombi langu kwenu najua humu kuna watu tofauti natamani kama ningeweza angalau kufanya vibarua kwenye mradi wowote wa ujenzi wa serikali...
  14. J

    Prof Kitila: Bajeti ya 2025|26 miradi mikubwa itatekelezwa kwa PPP

    WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Bajeti ya mwaka 2025/2026 kipaumbele kikubwa kitakuwa ni utekelezaji wa miradi mikubwa kwa ushirikiano na Sekta Binafsi na Umma (PPP), ili kukuza uchumi kwa kasi. Prof. Kitila Mkumbo, amesema hayo mbele ya Kamati...
  15. stabilityman

    PreGE2025 Wahandisi tunamshukuru Rais Samia kwa miradi mikubwa kedekede tunayoipata

    Kama mlivyoona juzi mwakilishi wetu, Kiukweli katika uongozi wa mama watu wanajenga na nchi. Miradi mingi inafanya kazi hivyo kwenye sekta ya uhandisi kiukweli tunanufaika sana. Asante mama, nina imani ukipata mitano mingine Nchi itafika mbali sana. Pia soma=> Kuelekea 2025 - Wahandisi na...
  16. M

    Rais Samia: Sasa hivi Kuna vituo zaidi ya 1,324 kama hiki vinaendelea na ujenzi nchi nzima

    Kuzaliwa kwa mtoto inapaswa kuwa tukio la furaha kwa familia na jamii nzima badala ya huzuni hasa pale inapotokea kupoteza mtoto, mama au wote kwa pamoja. Tunaendelea kuifanya kazi ya kuboresha huduma zetu za afya ili kukabiliana na changamoto hii ya mwanzo wa maisha ya kila binadamu, kwa...
  17. Kaka yake shetani

    Ni kwanini ujenzi mkubwa au miradi mikubwa wanapewa wageni sio wazawa?

    Ili jambo lina nishangaza sana au sijui elimu yetu inaonyesha kuwa na ukomo wa ushindani.Miradi mikubwa au ujenzi mkubwa sijawai kuona mzawa kashinda tenda au kufikirika mfano barabara kubwa,madaraja makubwa,magorofa marefu,viwanja vya mpira na n.k Ni kweli kwamba sisi ujuzi wetu ni wanyumba za...
  18. Kaka yake shetani

    Kwani ni lazima Serikali kufanya miradi mikubwa wakati kuna kampuni zinaweza kukaribishwa kufanya miradi hiyo ili pesa ikatumike sehemu nyingine

    Dp world ni sawa kuja kuwekeza bandarini ila kinacho fanya watu kupigia kelele ni ili la mikata mibovu ambayo kila kukicha serikali ikidondokea pua na kuishia patupu. Kweli hipo miradi ambayo zinafanya bila serikali kama ya uchimbaji madini lakini hakuna manaufaa kwa wananchi wake wala faida...
  19. R

    Kwanini jimbo la Kawe limetoka kupelekewa miradi mikubwa ya maendeleo badala yake linapelekewa jezi za mpira? Tunakwenda wapi kama Taifa?

    Kuna majimbo ambayo tunapaswa kuwainua wananchi kwa kuwapelekea sukari na maziwa na majimbo ambayo tunapaswa kupeleka miradi kuboresha miundombinu hili uzalishaji ukue Jimbo la kawe ni jimbo la kimkakati katika nchi ambalo lina jamii ya daraja la kwanza. Jimbo kama lile linahitaji zaidi lami...
  20. N

    Utelekezwaji wa miradi mikubwa, ufanisi mdogo Chato

    Bila shaka ilikuwa vigumu kwao kupokea hali ile, lakini uhalisia ulibaki kuwa kuanzia Machi 17, 2021, wakazi wa Kijiji cha zamani (Mlimani), mji na Wilaya ya Chato, mkoani Geita kwa jumla wataishi bila mpendwa, ndugu na shujaa wao Dk John Pombe Magufuli. Baada ya mazishi ya Dk Magufuli, Machi...
Back
Top Bottom