mipango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo kufanya mipango ya miaka 25 bila mawazo ya Diaspora ni kutoangalia mbali

    Kuna diaspora wengi wasomi, wafanyabiashara, na wafanyakazi wenye uzoefu mkubwa ambao wangetoa mawazo bora kwa maendeleo. Badala ya kutegemea wasomi wa aina ya Mkumbo wanaokariri, ni muhimu kuomba mawazo ya diaspora kwa manufaa ya umma na kuyachanganya na fikra nyingine. Hawa diaspora...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mipango ya Team Mbowe (FAM) kushinda uchaguzi, Kujitangaza ni 100%

    1. Kuna idadi ya makatibu wengi sana wanabadirishwa kipindi hiki. Makatibu ni waajiriwa ukigoma huna kazi. 2. Makatibu wa ngazi za chini kupeleka majina yenye makosa mikoani ili washi dwe kujisajili. 3. Support ya sirikali, kama ilivyo tokea kwa mbatia nccr mageuzi. 4. Vitisho vinaendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya kweli hayaji kwa mipango, bali kwa hitaji

    Kurunzi la mwendawazimu mimi ,mtoto wa mkulima na mwananchi wakawaida najaribu kufikiria ,Katika 2024 na 2025, tunapoendelea na mabadiliko makubwa, tunapaswa kutathmini ni nini tunathamini leo, kwani hayo ndio yataunda msingi wa mustakabali wetu. 👉🏾Dunia yetu inakumbwa na mabadiliko makubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mipango ya ccm kuisambaratisha CHADEMA inaenda vema lakini wakumbuke kulinda milango yao pia

    Mpaka sasa wamefanikiwa walau asilimia 40 kutengeneza kundi la upinzani ndani ya CHADEMA Kwamba sasa kuna makundi mawili yanayokinzana 1. Kundi la mwenyekiti 2. Kundi la makamu Makundi haya kupitia mamluki wa CCM ndio yatagombanishwa siku ya uchaguzi na mambo mawili yanaweza kutoka 1...
  5. JamiiForums Tanzania Kaita kampuni ya mipango miji kupandiwa mawe kaambiwa alipe 1,500,000/=

    Eneo liko mjini! Limezungukwa na majirani waliopandiwa mawe ya umiliki! Sasa kawasiliana na kampuni iliyasajiliwa kurasimisha makazi. Kaambiwa: gharama za utambuzi 200,000/= (laki mbili). Kupandiwa mawe millions moja na nusu. Kwa maeneo haya Kiluvya (Kibaha) gharama za kiwanja 20x20 ni million...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe na Lissu hawajakutana barabarani, hiyo ni mipango ya chama

    Lissu aliwasilisha kwa Katibu Mkuu taarifa rasmi ya kuondoa kusudio la kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti tangu mwezi wa 8 lengo likiwa ni kuja kugombea uenyekiti. Tarehe 10 Dec 2024 Mbowe na Lissu walifanya mkutano wa pamoja, siku hiyo Mbowe alikuwa na taarifa na chama kilikuwa na taarifa za...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea ni dhahiri kulikuwa na mipango ya kumuondoa Mbowe CHADEMA sema Mwamba alistuka mapema

    Just Imagine Msigwa,Heche,Lema na wenzao wangeshinda kwenye Kanda wakamuweka Mbowe mtu kati halafu Lissu akachukua Fomu nini kingetokea? Lialia ya Msigwa,Lema na Heche na yanayoendelea kwa Lissu sasa hivi yanatafakarisha na kuleta majibu mengi sana ya kwanini Agenda ya kulamba asali ilianzishwa...
  9. JamiiForums Tanzania Waislam wana nia ila hawana mipango. Kinachoendelea Syria ni ushahidi tosha

    Ni rahisi muislam kushawishika na kua na nia, kuatayari kujitolea au kupigania dini bila ya kua na mpango unaoeleweka. kwa sababu hiyo, watu wenye mipango wanawatumia sana waislam kwa kigezo cha itikadi kutimiza mipango yao. Ukiweza kushika kisha cha kiongozi wa kiislam akawaaminisha waislam...
  10. JamiiForums Tanzania Tangazo la Wizara ya Ardhi la Rais kutwaa ardhi Dar ni matokeo ya Mipango miji ya kisiasa. Nchi haileweki wala haina plan za miaka hata 20 ijayo

    Wakati wenzetu wakiwa na plan za miaka 100 ijayo Bongo tuna plan za wiki 5 zijazo. Nchi ina plani za kisiasa na ziko Surported na wajinga hili Taifa la Tanzania. Tanzania kuna plan za wiki chache mbele, kila mara ni Bomoa hiki weka hiki, badili hiki weka hiki. Mfano Chukulia ujenzi wa kituo...
  11. JamiiForums Tanzania Vile nina mipango yangu ya kununua kiwanja alafu mtu ajipitishepitishe

    VILE NINA MIPANGO YANGU YA KUNUNUA KIWANJA ALAFU MTU AJIPITISHEPITISHE😜😜😜😜😜😜😜
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Sosopi: Tunaijua mipango miovu ya CCM kuzuia Uchaguzi

    Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA taifa Patrick Ole Sosopi Patrick ole Sosopi akielezea uovu waliokutana nao wakati wa kuapisha mawakala wa chama hicho wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kata ya Idodi ,Wilaya ya Iringa mkoani Iringa.
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini kozi za uongozi wa serikali za mitaa zitolewe chuo kikuu mzumbe halafu za maedeleo vijijni zitolewe Chuo mipango Dodoma?

    Samia yuko Morogoro, time to trigger Hawa wa mitaa waungane hapo Dodoma?
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania wana bidii ya maombi sana, bila dhana ya Mungu watakosa maana ya maisha kabisa

    Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, fani ya mipango miji(Bsc. Housing and Infrastructure planning)

    Habari, nina degree ya housing and Infrastructure planning (Mipango miji) nimemaliza chuo kikuu Ardhi mwaka 2023 nipo Dar es Salaam. Natafuta nafasi ya kazi au hata ya kujitolea hata kwenye kampuni binafsi . Nitashukuru sana kwa msaada wako.
  16. JamiiForums Tanzania COP29: Wadau wahimiza hatua za kuongeza Ushiriki wa Wanawake katika Uongozi wa Mipango ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

    Katika Mkutano wa COP29, unaofanyika huko Baku-Azerbaijan, suala la athari za mabadiliko ya tabianchi kwa wanawake limepewa umuhimu mkubwa, hasa kuhusu jinsi wanavyoathiriwa zaidi na majanga ya mazingira kama ukame na mafuriko. Wanawake, hasa kutoka jamii zenye kipato cha chini na zile zilizo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Uzushi, majungu na uongo, havina nafasi katika soka, soka ni sayansi, uwekezaji na mipango. Alie bora ataonekana tu na swala la muda

    Huu ndio ujumbe wangu kwa hawa waliowekeza kwenye majungu, uongo na uzushi wakiamini watafanikiwa kuwaaungusha miamba wa soka la Bongo kwa sasa(Dar Young African). Wajiulize tu maneno haya katika misimu iliopita yaliwasaidia nini na Yanga ilikwamisha kwa haya? 1.Yanga anacheza kombe jepesi la...
  18. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mipango ya Rais Mteule Donald Trump kwa Siku 30 za Kwanza Baada ya Kuapishwa

    Rais mteule Donald Trump amepanga hatua za haraka na za moja kwa moja atakazochukua ndani ya mwezi mmoja baada ya kuapishwa. Hatua hizi zinahusu mabadiliko katika sekta mbalimbali za serikali, ikiwa ni pamoja na sheria, elimu, uhamiaji, na masuala ya kijamii. Hapa ni baadhi ya mipango aliyoeleza...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwandishi Yerico Nyerere anaamini Mwigulu amefeli katika mipango na sera za kiuchumi?

    Mwandishi Yerico Nyerere ameandika makala ndefu katika mitandao ya kijamii akichambua uchumi wa Tanzania katika kipindi ambacho Mwigulu ni Waziri wa fedha. Yerico anaamini Mwigulu ameshindwa kushawishi uwepo wa sera za kiuchumi zinazowapa confidence wawekezaji wakubwa. Ameeleza kwamba Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kua ukimsimulia mtu mipango yako ghafla inafeli au kusuasua?

    Nimesikia ama kuchunguza kua mara nyingi ukiropoka kwa watu mipango yako inaanza kusua sua na hatimae Kufeli mazima. Tafadhali wabobezi wa masuala ya kiroho naomba hapa ufafanuzi. Kuna mstari fulan katika biblia kua "usimwage lulu kwenye nguruwe wasije wakazikanyaga na kukurarua" je huenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…