Ilove you Marry, ijapo kuwa wewe sio pua yangu lakini iko wazi bila wewe siwezi kupumua.
Siku ya ndoa yetu ikifika nitatinga kanzu ya babu, tutacheza rumba tarabu itakuwa pambe.
Na usiku ukifika nitakufundisha hesabu, ukikosea majawabu nitakuchapa kwa mkwaju hadi utoe vilio vya ajabu, Majirani...