milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TANESCO yapata hasara ya milioni 770 kutokana na wizi wa miundombinu

    “Tunahamasisha ulinzi shirikishi wa miundombinu kwa kushirikiana na wananchi katika kutoa taarifa kuhusu vitendo vya kihalifu kama vile wizi wa umeme, uharibifu au wizi wa vifaa vya umeme. Hili ni jukumu letu sote kama wananchi na wadau wa maendeleo,” Irene Gowelle Mkurugenzi wa Mawasiliano na...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzetu wenye magari ya milioni 200+ wanaoingiza pesa halali wanafanya shughuli zipi?

    Wabongo wenzetu nikiamaanisha watanzania wenye asili ya kiafriaka ❌Wanasiasa - Wengi wananenepa kwa kodi zetu ❌Wachungaji wa kilokole wengi wahuni wanatajirika kwa sadaka ❌wasio na shughuli zinazojulikana, wengi matapeli na dili nyeusi
  3. JamiiForums Tanzania Gari la milioni arobaini la masafa marefu

    Ushauri wako tafadhali! Linahitajika gari la masafa marefu linalomudu safari za mashambani. Route zake ni kama vile: 1. Mwanza - Arusha 2. Arusha - Njombe 3. Njombe - Mtwara 4. Mtwara - KASULU 5. Kasulu - Mwanza 6. N.k. Kama nilivyoandika, safari nyingi nibza mashambani, kwa hiyo ni muhimu...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kila Mtanzania anadaiwa takriban Tshs. Milioni 1.66 kutokana na deni la Taifa

    "Mama hana deni" kwa hiyo sisi ndo tuna deni?. Hizi hela zinazokopwa na kuambiwa sisi Wananchi ndo tunadaiwa huwa zinaenda wapi jamani, mkeka wa matumizi ya fedha kwenye miradi hauwekwi wazi tunaambiwa tu kuna miradi imefanyika. Tunataka kujua ni shing ngapi zimetumika? Kufikia Machi 2025...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya dogo Shukuru kumchakaza goli 4 Sisco, Noel ataka milioni moja ndio acheze na dogo Shuku.

    Baada wiki iliyopita Dogo Shukuru kumtandika goli 4 kwa michezo 24 waliyocheza dhidi ya Dogo Sisco, Dogo Shukuru ametamba kumtaka kucheza na Noel Namaloe ila Noel kama kamkimbia dogo kimtindo anataka awekewe dau la milioni moja ndio acheze na dogo Shukuru. Ikumbukwe wiki chache zilizopita...
  6. JamiiForums Tanzania Milioni Siyo Hela Kubwa: Program iliyowakomboa wengi

    Safari hii nilitaka watu 20 na saizi wametimia Asante Kwa kuniamini
  7. JamiiForums Tanzania Yammi: Nimelipa TSh. Milioni 100 kuondoka kwa Nandy

    Usiku wa kuamkia leo msanii Yammi amefanya uzinduzi wa wimbo wake mpya na akifanya interview na waandishi wa habari amefunguka kuwaalika wasanii Nandy na Billnass lakini hawajatokea, mbali na hilo pia ameeleza kulipa kiasi cha Milioni 100 ili kutoka katika label ya The African Princess "Kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Simba na Kocha wao Fadlu Davis wapigwa faini ya milioni 7

    Klabu ya Simba imeadhibiwa kwa kutozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano) kwa kosa la mashabiki wake kurusha chupa za maji uwanjani wakati wa mchezo tajwa hapo juu kwenye uwanja wa KMC Complex Mei 28, 2025. Adhabu hii ni kwa mujibu wa kanuni ya 47:1 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa Klabu...
  9. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Tsh. Milioni 15.6 za madeni ya maji zimelipwa na wadaiwa zaidi ya 280 Manispaa ya Songea - Ruvuma

    Zaidi ya Shilingi Milioni 15 za madeni ya maji zimelipwa na wadaiwa zaidi ya 280 katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, hiyo ni kutokana na ofa ya Rais Samia Suluhu kwa wateja wote ambao wanaodaiwa na kumesitishiwa huduma ya maji na Mamlaka za Maji nchini. Ofa hiyo imelenga kuhakikisha kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama: Zaidi ya watu milioni 1.5 Tanzania wanatumia ARVs

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amesema katika kipindi cha Julai 2024 hadi kufikia March 2025, takwimu zinaonesha Watu 1,500,212 kati ya waliopima na kutambua hali zao za maambukizi ya VVU walikuwa wameanza kutumia dawa za kufubaza VVU, sawa na asilimia 98. Akitoa hotuba kuhusu Makadirio ya...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Watu wanaongelea pesa za kichawi bila uthibitisho, Kama ni kweli zinapoingia kwenye account anaetuma ni nani ?

    Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza. Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi. Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
  12. JamiiForums Tanzania Gwajima aandaliwe pesa angalau milioni 500 kumtuliza kama anayoyasema ni kweli

    Kuendelea kushindana na Gwajima ndo kunafanya chama tawala kiendelee kuchafuka zaidi. Hapo hamna hamna wamuandalie fungu zito angalau milioni 500 kumtuliza mambo yasiwe mengi. Njia ya kutumia nguvu kumtuliza inazidi kukibomoa chama tawala. Pia kama atapatwa na jambo baya lolote basi...
  13. JamiiForums Tanzania JINSI YA KUUZA EBOOKS ONLINE NA KUTENGENEZA MPAKA MILIONI KILA MWEZI

    Katika dunia ya leo ya kidijitali, kuuza ebooks (vitabu vya mtandaoni) imekuwa moja ya njia rahisi na faida kubwa ya kutengeneza pesa — hata ukiwa nyumbani tu. Haijalishi kama wewe ni mwandishi, mjasiriamali, au mtu mwenye maarifa ya kipekee — unaweza kugeuza maarifa yako kuwa chanzo cha mapato...
  14. JamiiForums Tanzania Mchezo wa fainali UEFA, tiketi Moja ni Milioni 14 za kitanzania, bei ya chini kabisa, ila bongo elfu 5 tu mnalialia.

    Nawaza ingekua ndio derby ya bongo imeahirishwa na tiketi Moja ni 14,000,000, si kungezuka vita nchini? 😂 Habari zingesambaa duniani kote , watu wauana baada ya derby kuahirishwa, bodi ya ligi yakimbis kusikojulikana😂, Mzee Mguto na President Karia wafichwa ikulu kuepusha shari 😂😂😂😂 Anyway kila...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Rais anasema sio wajibu wa serikali kutengeneza ajira, msoma ilani anasema watatengeneza ajira milioni 8

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche ameeleza kuwa nchi ya Tanzania inayo fursa ya kutengeneza ajira za kutosha kwa Watanzania iwapo tu kutakuwa na mifumo madhubuti ya kiutawala na kiutendaji ambayo amedai kuwa kwa sasa haipo. Heche ameyasema hayo...
  16. JamiiForums Tanzania Simba asipochukua kombe la CAF Jumapili hii baada ya mchezo nitawatumia watu 10 milioni 1 kila mmoja wa hapa JF

    Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii. Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira...
  17. JamiiForums Tanzania Daraja la mbunge gambo ni milioni 21.

    Aisee tukisema wazungu wanatuona nyani tukubari sio kupanic. Jf kama ili swala litaki kuzungumziwa sababu ni CCm na wana CCm wao waliopo hapa JF wanaweza kusema leo ni usiku wakati mchana. Nimeona huko global TV wakionesha daraja la milioni 21 na wakisema ni awamu ya kwanza. Sasa ijajulikana...
  18. JamiiForums Tanzania Duh! Bia za milioni 9!

    Nisiseme mengi.
  19. U

    JamiiForums Tanzania Wapalestina milioni 1 kuhamishiwa Libya permanently

    Wadau hamjamboni nyote? The Trump administration is working on a plan to permanently relocate as much as one million Palestinians from the Gaza Strip to Libya, NBC News reports, citing five people with knowledge of the matter. The plan is under serious enough consideration that the US has...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa: Watumiaji wa Intaneti wamefikia Milioni 49.3 kutoka Milioni 37

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari , Jerry Silaa amesema Watumiaji wa intaneti nchini wameongezeka kutoka milioni 37.3 April, 2024 hadi milioni 49.3 April, 2025 sawa na ongezeko la asilimia 32.3. Waziri Silaa amesema hayo leo May 16,2025 wakati akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…