Wazee wa Mila Wilayani Serengeti, Mkoani Mara, wametoa onyo kali kwa Kijana yeyote atakayeshiriki maandamano, wakisema atatalaniwa na kutengwa na koo yake
Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Angelina Marco, Wazee hao wamesema Wananchi wa Serengeti wanategemea shughuli za Kilimo...