Mikutano ya Chadema imejaaa watu wa rika zote, vijana akina mama na wazeee wenye bashasha na wanaotaka madiliko. Mikutano ya CCM imejaza akina mama wazee.
WanaChadema wanatoa hoja za msingi wakipinga ufusadi, utekaji na upendeleo wa kisiasa wanaouoata wanaCCM wachache na familia zao.
WanaCCM...