Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo itadhibiti mikusanyiko ya Umma kufikia watu 20 na kufunga klabu za usiku wakati Taifa hilo linakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizi ya Virusi vya Corona.
Kwa mujibu wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Afrika, DR Congo imerekodi visa zaidi ya 35,000 na...