ACHENI KUGONGAGONGA HOVYO!!!
Vijana wengi wanapambana sana lakini hawafanikiwa, kila wakijitahidi kujitoa kwenye janga la umasikini wanashindwa kabisa.
Unashangaa tu mambo yako wala hayaendi, unafanya hivi na vile lakini hakuna kitu.
Umekuwa na ndoto zako za muda mrefu, unaamini zitakupa sana...
Habari yako mkuu
Naomba kueleweka kwanza mimi sio mganga wala mganguzi ila katika pitapita zangu kwenye social media nimepata kuona dawa mjarabu kwa wenye vifungo vya mizimu na majini binafsi imenisaidia
MASHARTI
Hutakiwi kuwaamini mchafu kiroho yaani ni kwamba hauitajiki kuwa mchafu kwa...
MKOSI JUU YA MKOSI
1. Nimeenda zangu kunywa uji kwenye chimbo moja jipya ila kwa kuwa nilikuwa na wana ng'ambo ya barabara, nikaamua nibebe uji ili nikajumuike nao.
Mhudumu akaniambia bei ya uji ni mia tatu na kama nilitaka KUONDOKA na kikombe basi niache chenji, mfukoni nilikuwa na jero...
Habari!
Hili jambo nimelifanyia utafiti wa kutosha.
Ni hivi: Kuna watu wamenajisiwa na majini, wachawi, mizimu au mapepo ili wasisitawi kwenye jambo lolote lile. Kielimu, kiuchumi, kisiasa na hata kijamii ukinajisiwa na wachawi huwezi kustawi. Utaishi kwa mateso mwanzo mpaka mwisho wa uhai...
"Satan can't and never gives a free gift" Atakupa wewe muhitaji materialist faraja lakini he must bite back your family later days!
Through my studies msaada wowote utolewao na shetani, aidha katika biashara zako, kazini kwako, kwa lengo la promotion au kupanda cheo au biashara itoke kwa nguvu...
Moja kwa moja kwenye mada, Ni ndugu yangu mmoja ameshakamata 40 years mpaka Sasa Ana kazi Ni afisa kilimo na mifugo.
Jamaa Ni hataki kusikia habari ya kuoa, Ni baada ya kupigwa tukio na alokua manzi yake miaka mitano ilopita.
Alishangaa tu anaambiwa manzi yake kaolewa na yeye Hana taarifa...
Kufanya mapenzi chooni au baharini, sehemu hizi si nzuri kwa sababu zinamilikiwa na majini na nyumba za viumbe visivyoonekana. Ikitokea ukafanya mapenzi sehemu hizo wao huvuta picha kuwa unaleta dharau kwao ni sawa na mtu atoke huko na mgomvi wake kisha ajae apiganie ukumbini kwako, unaweza...
Kuna wanaume baadhi huwa wanajiona wanaakili sana, kumbe ndiyo chanzo cha wao kuleta uharibifu kwenye familia zao. Hofu ya Mungu isipotawala ndani yako, vitu kama hivi ndiyo huwa vinafanyika! Naomba usome hiki kisa👇👇👇👇
Wamama nimekuta sms mchepuko anamtumia mume wangu nanukuu, "Baby vipi...
kabila hutambuliwa kwa Lugha, Mila, Miko, Majina na matambiko , hapa tutagusia matambiko .... Hakuna mtanzania asiye na tambiko, kila kabila alilotoka lina tambiko lake .
yapo makabila ambayo.97% ya kabila hilo ni wakatoliki lakini matambiko ya kiukoo yanaendelea na wazee wamila...
USIPOKUWA MAKINI UNAWEZA KUPATA MIKOSI, MABALAA NA MAGONJWA YA AJABU CHOONI!
Anaandika, Robert Heriel
Moja ya dalili ya mtu mwenye akili ni kujua kutofautisha vitu visafi na vichafu, vitakatifu na Najisi.
Ikiwa mtu yoyote atashindwa kutofautisha vitu hivyo basi ni kiashiria kuwa ni...
Mababu zetu walikuwa wanajali sana masuala ya muhimu hasa linapokuja suala la kuondoa majanga katika jamii.
Ilikuwa ikikosekana mvua na dalili za ukame kuwepo mababu zetu walifanya makafara na mizimu iliweza kulinda taifa letu.
Sasa hivi kuna balaa la ajali limeandama taifa letu. Hapa...
Habari za muda huu!
Kufuatia uzi wa tycoon wa fasihi ndugu ROBERT HERIEL alioeleza sababu za watu wengine kuishi umri mrefu na wengine umri mfupi, kuna nukta alieleza kwamba tunapaswa kuwaheshimu wazazi hata kama mameshakufa! Na akaeleza kwamba tutawaheshimu kwa kutembelea makazi yao(...
Tendo la ngono linabeba bahati, mikosi na hata laana za watu unaolala nao usipokuwa makini unaumia.
“Kuna mwanamke/Mwanaume ukilala naye bahati zinakutembelea na Kuna mwingine, utajuta”
“Kuna watu wana laana za ukoo ukilala nae na wewe unazibeba mikosi inaanza”
“Kabla hujalifanya tafakari...
Habarini ndugu zangu.
Leo usiku huu nimeona nije na hii mada ambayo imenikulupusha kwenye usingizi..je, Ni kweli Kuna baadhi ya wanawake wana mikosi na wengine wana baraka?..kwa mfano nna jamaa yangu alipooa tu,. baada ya miez miwili kupita akafariki kwa ajali..
Pia nna mwingine ye baada ya...
Habarini.
Kuna ile hali ya baadhi yetu, huwa katika kila mahusiano mapya unaingia unajikuta hayadumu hata ukijitahidi kuwa vizuri maeneo muhimu. Na hata ukijituma bado utajikuta ndani ya huo uhusiano amani inakuwa haipo na utulivu unakosekana.
Mojawapo ya sababu ni mahusiano tuliyokuwapo awali...
Heshima kwenu wakuu.
Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na ikawatendea kama vile walivotamani iwe.
Nawasilisha na natamani kujua kama ni kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.