mikono

Mykonos Airport (IATA: JMK, ICAO: LGMK) is the international airport of the Greek island of Mykonos, located 4 kilometers from the town of Mykonos. It serves flights to domestic and European metropolitan destinations due to the island being a popular leisure destination.

View More On Wikipedia.org
  1. ELI COHEN

    VIDEO: nampongeza sana kidume aliofanya hiv, unapokuwa unamhudumia mtu mzima mwenye mikono 2 hadi kod kumlipia alafu akutii then kwa nini ung'ang'anie

    Hii kama sio video ya kiki basi ni murua kabisa💯
  2. D

    Hivi hawa paka wa migahawani wanaokustua kwa kukugusa kabisa mguuni na mikono yao Ili ujuwe kama wapo uwape chakula ni paka kweli?!!!

    Tukio la mwisho nimekutana nalo Buguruni Rozana hapa majuzi; nakula chakula nashangaa mguu unaguswa kwa namna kama ya kukustua flani hivi "oya, oyaa!". Naangalia chini nashangaa namuona paka ananiangalia....nikampotezea nikaendelea kula. Haukupita muda kanigusa tena. Mh, nikaona isiwe kesi...
  3. Sifi Leo

    Nilipomuona Jaji Warioba amepiga picha na Rais MIKONO yake ikiwa nyuma ya makalio yake, nilitoa tafsiri, Je mlinielewa?

    Sina miaka mingi ya KUZALIWA, ila NIMEYAONA MENGI kidogo Je wewe msomaji ulisoma Uzi WA tafsiri yangu ya picha ya Samia na warioba, uku warioba akiwa ameweka MIKONO yake kwenye makalio yake? Kama uliusoma utaunganisha na mahojiano aliyoyafanya na Jamhuri tv, utabaini.yakuwa nilikuwa sawa sawia...
  4. R

    PostGE2025 Ukiwa na mikono yenye damu, meza ya maridhiano inakukataa automatically

    Salaam! Asomaye na afahamu, 1. Mfalme Daudi alipenda sana kumjengea hekalu Mungu Ili Sanduku la AGANO lipate pa kukaa, akasahau kuangalia mikono yake ilivyojaa damu, ombi lake likakataliwa, mwanae Mfalme Suleimanmwenye mikono safi ndiye akaja kupata ridhaa kujenga hekalu. 2. Hitler, Idd Amin...
  5. M

    Wananchi watakuwa wanafungiwa ndani kama kuku mpaka Rais Samia na Mstaafu Kikwete wanyooshe mikono juu?

    Kila kona leo isipokuwa vijijini watu wamekaa ndani na hawatoi hata pua nje. Ila Waandamanaji wamesema wataandamana mpaka Rais Samia aachie nchi. Sasa tutaishi maisha haya kila mara wakiitisha maandamanl?
  6. Kaunara

    Sikushauri utoke mikono mitupu

    Habari Usikubali kutoka mikono mitupu ukisikia mwizi yupo ndani ya nyumba. Hivi sasa wezi wengi wanadamu za watu mikononi hivyo kuua kwao ni sio shida. Unaweza kuibiwa vile vile ukapata kichapo cha maana. Sijaandika kukuogopesha ila kuwa makini. Ukiamua kutoka kwenda kumkamata mwizi toka upo...
  7. G

    Waliouliwa ndugu zao ndio wanapewa msamaha, au walioua ndo wamepewa msamaha? Ikulu yetu siyo patakatifu Tena, mikono yenye damu ni baraka au laana?

    Waliouliwa ndugu zao ndo walipaswa waombe msamaha, Cha ajabu ndo wanapewa msamaha kwamba baada ya kuua ndugu zako nimekusamehe usirudie tena Mstari aliyonukuu wa Luka, ulitolewa na aliyekuwa anaenda kuuwawa sio wauwaji wake. Mama Bado anaonyesha hatakaji kukubali ukweli awe huru Bado analaumu...
  8. R

    Askofu Nkwande: Waliotufungia ndani ni wenzetu, vijana tuliowatuma kufanya kazi wamegeuka kuwa mikono miovu na kumwaga damu

    Askofu Nkwande wa jimbo katoliki la Mwanza amelaani vikali mauaji ya raia akisema kwamba "tulifungiwa ndani na waliotufungia ni wenzetu ndugu zetu, vijana tuliowatuma kufanya kazi wamegeuka kuwa mikono miovu na kumwaga damu". Nkwande aliyasema hayo wakati wa ibada maalumu ya kuwaombea waliouawa...
  9. The Father of All

    Damu, damu, damu, CCM, mikono na miili Samuya na Kikwete vimejaa damu atatawalaje damu damu damu?

    Siombi msamaha. Urais wa Samia, chama chake na nchi vimejaa damu. Ni ubatili. Ni ukatili, Ni unyama, Ni ujambazi. Ni udikteta. Ni dhuluma Ni mauajai, Ni unyang'anyi. Je, Samuya atatawalal damu? Je, damu isiyo na hatia iliyomwagwa itawaacha? Je, wahanga na ndugu zao na taifa visamehe na...
  10. Yoda

    Bar na migahawa tuwekeeni mabomba na masinki ya kunawa mikono kwa ajili ya chakula

    Mimi sio muumini wa kunawaishwa mikono na maji ya vikombe au majagi kwenye vibobo vilivyozoeleka sana sehemu nyingi hapa bongo, huwa napendelea zaidi kwenda kunawa mikono bombani kabisa na maji ya kijipimia mwenyewe, sasa inakera unafika Bar kubwa kabisa au mgahwa wa hadi halafu hakuna bomba za...
  11. N

    Nahisi ndugu yangu kaanza kuvuta bangi, Leo kataka kusimamisha gari kwa mikono, naanzaje kumshauri aache,

    Tulifikia sehemu nikamwambia apaki gari upenuni mwa barabara, nikashuka kwenda kununua makubwa. Yeye naye akashuka, sijui kupunga upepo au ku-scan anga Ghafla nageuka naiona gari inatembea yenyewe, Alienda mbele ya gari akaweka mikono akaanza kusukumana nayo, kakaza uso, mishipa imemtoka...
  12. Poppy Hatonn

    Nanawa mikono.

    Serikali imemthibiti Askofu Gwajima ili amani iweze kudumishwa katika nchi yetu. Lakini wanaibuka watu wengine wanaongea kama alivyosema Gwajima. Rais Samia anafananishwa na Iddi Amin Dadah. Rais Samia anafananishwa na viongozi wengi makatili. Hata UN na White House wanaitilia mashtaka...
  13. chiembe

    Tembo hazikwi na meno yake: wanachadema wanaojiunga CCM mnakaribishwa kwa mikono miwili

    Kwa kuwa chadema inakufa, haimaanishi hata watu wazuri waliokuwa huko wafe nayo. Tunawakaribisha CCM muendelee kujenga nchi. Tembo akifa, meno yake yanatolewa, yeye anaachwa aendelee kuoza. Meno ya tembo ni mali
  14. Echolima1

    Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa Kuitwaa Gaza kutoka mikono ya Magaidi wa Hamas

    Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa kupanua mashambulizi ya kijeshi huko Gaza, kwa lengo la kuishinda Hamas, kudhibiti eneo na kuwaachilia mateka. Mpango huo ni pamoja na kuwahamisha raia, kuwazuia Hamas kuchukua misaada, na kudhoofisha udhibiti wake. Utekelezaji...
  15. Prof_Adventure_guide

    Mnajichimbia makaburi kwa mikono yenu wenyewe. Sikilizeni watoto wa vyuo

    Sikiliza kwa makini mdogo wangu wa chuo kikuu au chuo chochote kile – huu uzi nimeutengeneza specifically kwa ajili yako. Najua huta-like, najua utajisikia vibaya, najua ego yako ya kijinga itachafuka – but I don’t give a f*ck! This is real talk, and if you got a brain, utashtuka! Mnakuja...
  16. Echolima1

    SHARIA LAW haizuiliki tena huko Uingereza,Watu wataanza kukatwa mikono!

    Sheria za Kiislam( SHARIA LAW ) zinatarajiwa kulazimishwa kufanya kazi huko Uingereza watu wataanza kuzuiwa kula kipindi cha mfungo wezi kukatwa mikono,wauaji kuuliwa kwa kukatwa shingo,na viboko vita tu mika kama waislamu hawa watafanikiwa kuipenyeza sheria hiyo. Uingereza wanatakiwa wawe...
  17. ndege JOHN

    Picha: watoto wa congo waliokatwa mikono na leopard kama adhabu ya kutoleta mpira

    ilianzishwa kama Dola huru la Kongo likiwa mali binafsi ya mfalme Leopold II wa Ubelgiji. Historia yake ni ya aibu na ya ukatili kupindukia. Utawala wa mfalme ulionekana kuwa wa kinyama na upinzani dhidi yake ulikua katika nchi nyingi za dunia. Hatimaye alipaswa kukabidhi koloni lake binafsi...
  18. NALIA NGWENA

    Nimefanikiwa kuiona, kuishika Rupia kwa mikono yangu miwili na imenistaajabisha kwa jinsi inavyobadilika badilika

    Ni kweli kabisa Pesa ya zama (Rupia) ni pesa yenye maajabu na yenye kustaajabisa haswa ukiishika mkononi. Naam, ilikua mishale ya saa Mbili mbili hivi usiku tena kuna kiza kimetanda Lakini kuna mwanga Wa asili (mbaramwezi, Nyota ) ndizo ziling'arisha anga. Nikiwa Sina hili wala lile, GhafLa...
  19. ELI COHEN

    Tangu nikute mabinti wamekaa wanashauriana namna ya kujimilikisha mali za michepuko yao ilinifanya niheshimu kazi ya mikono yangu na wanao-istahili

    Sawa mnitukane sina hela. Vibinti tu ya 20+ yrs. Mmoja akawa anampa mfano wa jinsi nyumba aliyekuwa amewekwa rafiki yake na bwana yake (mme wa mtu) alitoka kapa bila ya kupata kitu baada ya huyo mwamba kufariki. So akawa anamwambia kila kitu anachokupa kiwe katika jina lako kisheria pia...
  20. Damaso

    Hatma ya mtoto wako ipo mikono mwako

    Hatma ya mtoto wako ipo mikono mwako! Huyu mtoto ameniacha hoi! Ebu chukua picha ndo mtoto wako mwenye miaka mitatu anatema vitu namna hiyo? The whole purpose of education is to turn mirrors into windows. Huyu mtoto ni Tesla Armor Glass kwa huu uwezo!
Back
Top Bottom