mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mikoa inayoongoza kwa kutoa wasomi wengi Tanzania

    1. Arusha - Ni mkoa wenye historia kubwa ya kutoa shule nyingi zinazoongoza kitaifa, watalii wengi wakifika Tanzania wamezoea kutoa misaada mingi Arusha ikiwemo ya kielimu, pia kuna shule nyingi International ambazo wanafunzi huenda kusoma vyuo vikubwa vya ulaya na Marekani. 2. Kilimanjaro -...
  2. M

    Ni kwanini wageni wanaotoka mikoa mingine kuhamia kwenye majiji huwa wanafanikiwa kuzidi wenyeji ?

    Hii ni hali inayoonekana kwa mfano wazi kwenye majiji mfano Dar es Salaam, ambapo wenyeji wengi, licha ya kuwa wamezaliwa na kukulia hapa, bado wanakutana na changamoto kubwa katika kufikia mafanikio. Zaidi ya hayo, siku hizi hatuwezi kusema kuwa wenyeji wa Dar ni Wazaramo pekee kama ilivyokuwa...
  3. M

    Ni mikoa ipi hapa Tanzania ambayo ukienda kusaka fursa ukiwa mgeni utapata changamoto kunufaika kiuchumi ?

    Kuna mikoa ukienda kufungua biashara, jipange kama ni mgeni
  4. M

    Matokeo ya form 4 yanaonesha wazi mikoa ya kaskazini iko juu sana kielimu, tofauti yao hawapendi kujisifu na kujigamba kama mikoa mingine inayofuata

    Nimekutana na matokeo haya ya mikoa, ya kwanza ni kwa ufaulu wa division 1 hadi 3, ya pili ni division 1 hadi 4, Matokeo nayoamini yanaonyesha ufaulu wa uhakika ni division 1 hadi 3. 1. Division 1 hadi 3 Top 3 zote zinaenda mikoa ya kaskazini na wala hakuna kelele. 2. Division 1 hadi 4...
  5. M

    Orodha hii ya matokeo ya Form 4 kwa mikoa imenistua. mikoa tunayoichukulia poa inaongoza kitaifa na mingine imebaki historia haina tena uwezo

    Nikiwa naperuzi mtandaoni nimeikuta hii orodha ya mikoa SAT ni idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani Nimeshangaa sana kuona kuna mikoa ambayo hatuizungumzii sana imefanya vizuri na kuna mikoa ambayo ilikuwa navuma hapo zamani lakini kwa sasa hali ni mbaya, Dar es salaam shule za day zina...
  6. Analogia Malenga

    Mikoa iliyoongoza kwa wanafunzi wa sekondari kuacha shule kwa mwaka 2024

    Kwa Takwimu zinazotolewa na TAMISEMI kuhusu elimu zinaonesha kwa mwaka 2024 jumlay ya wanafunzi 100,109 waliacha shule. Katika idadi ya watoto hao, idadi ya wanawake na wanaume ina tofauti ambapo watoto wa kike walioacha shule ni 49661 na wakiume ni 50448. Mikoa inayoongoza kwa kuacha shule ni...
  7. Think2

    Mikoa / Wilaya za Dar es Salaam na Makabila

    ♤ Ilala Maeneo: Kariakoo, Buguruni, Ukonga, Kinyerezi, Tabata Makabila yanayopatikana: Zaramo Ndengereko Matumbi Makonde Nyamwezi Sukuma Chaga Hehe ☆ Kinondoni Maeneo: Sinza, Mwananyamala, Mikocheni, Msasani, Kimara, Kawe Makabila: Zaramo (wenyeji wakuu) Luguru Chaga Haya Hehe...
  8. Superbug

    Nashauri ili kuanza kuboresha taswira yake atafutiwe ziara mikoa ya pembezoni kuliko kujificha.

    Anaanza kusahaulika mioyoni na midomoni mwa watu anapotea kimya kimya jambo ambalo so zuri nadhani. Nashauri mtafutieni ziara hata ya mchongo tu katika mikoa ya pembezoni. Ili angalau magazeti na TV zimuonyeshe. Ni ushauri tu. Hoja haipigwi mawe.
  9. R

    TMA yatahadhalisha kuwepo mvua kubwa mikoa 20

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Jumamosi 27 Desemba 2025 imetaja mikoa hiyo kuwa ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Kigoma, Katavi, Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Morogoro, Ruvuma, Tanga, Dar es Salaam, Lindi, Mtwara na Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia Je...
  10. R

    Mikoa ya Pwani ina laana ya mvua, imegoma wakati bara mvua zinanyesha?

    Msimu wa Christmas huwa ni mvua Tangu August hakuna mvua and therefore mwaka huu completely hapakuwa na mvua za Vuli. Kilikoni? Sayansi inatueleza ni sababu gani?
  11. Rorscharch

    Ninapendekeza Kupanua Mamlaka ya Mikoa: Njia ya Kugawana Keki ya Taifa Bila Kuvunja Sahani ya Umoja

    Kuna mawazo ambayo hayazaliwi kwa makelele ya mikutano, bali kwa ukimya wa tafakuri ndefu. Mimi nimefikia hatua ya kuamini kuwa moja ya matatizo makubwa ya Tanzania si ukosefu wa rasilimali, wala si ukosefu wa watu wenye nia njema; tatizo letu ni mahali tulipoamua kukusanya mamlaka...
  12. Mafyangula

    PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
  13. M

    Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  14. H

    Je, ni kwa kiwango gani Maafisa Kazi wa Mikoa wanatimiza wajibu?

    Kukosekana kwa Ufuatiliaji Madhubuti* Maafisa kazi wengi hawatembelei maeneo ya kazi kwa ukaguzi wa mara kwa mara, hali inayowapa waajiri mwanya wa kuendelea kukiuka haki za wafanyakazi. Ukimya wa Maafisa Kazi Wakati wa Migogoro* Kumekuwa na kesi nyingi ambapo wafanyakazi wanatendewa...
  15. Stuxnet

    Mikoa 10 yenye uchumi mkubwa 2024; Mbeya yashika namba 3

    Mikoa 10 Tajiri Tanzania Bara kwa kuangalia pato ghafi la mikoa hadi 2024: 1. Dar es Salaam - Trilioni 34.8 2. Mwanza -Trilioni 14.6 3. Mbeya - Trilioni 11.6 4. Morogoro -Trilioni 9.8 5. Arusha - Trilioni 9.7 6. Tanga - Trilioni 9.5 7. Geita - Trilioni 9.3 8. Kilimanjaro - Trilioni 9.3 9...
  16. Sifi Leo

    Wafanyabiashara wakubwa katika mikoa hufuata Nini CCM ,kama sio kichaka Cha kufichia maovu Yao?

    Najiuliza au nauliza ? Hivi wafanya biashara wakubwa ufata Nini ccm? Au utumia kichaka hicho kama sehemu ya kufichia maovu Yao? Ccm ni chama au genge la wahalifu wanaojiunga Ili kufichaovu Yao? Ni nani aloyeccm ambae ni mzarendo wa kweli? 😭 Ccm ni lama au chama Cha majambaziiii
  17. Mto wa mbu

    PostGE2025 Kulikoni sioni tena vitisho vya polisi na wakuu wa mikoa juu ya D9

    Tutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona. Nchi nzima polisi, JWTZ magereza na Tiss walikuwa wanazunguka mabarabarani na outdated armed vehicle and tanks kutisha waandamanaji. Chalamila kila siku alikuwa anatoa matamko, kina Muliro walifikia hatua ya kusema "Kwa...
  18. Mikopo Consultant

    Eurekaah! Mikoa iliyokinukisha sana ina maendeleo makubwa ya vipato; ile iliyolala, na vipato vyao vimelala!

    Nywinywinywi Nywaaaaaa! Chikichiki Pah Pah Paaah! Hoja hai, haiwi mfu kwa Risasi! Za nini Risasi? Nashambulia nikitokea upande wa winga wa uchumi. Eee bana wee! Wanazuoni wengi mashuhuru kwenye uwanda wa sayansi ya siasa na uchumi, wamekuwa mara nyingi wakinasibisha jamii huru na zenye haki na...
  19. M

    GE2025 Pongezi za dhati kwa wasukuma, mikoa waliyojaa haijavuma kwenye maandamano, ni watu watiifu na wakarimu sana

    Edit: hali ilikuwa mbaya, nawaombeni radhi
  20. Chibike

    Mikoa inapakana na maziwa, mito, chemchem ila wanakosa maji, maajabu ya Dunia

    Mikoa inapakana na maziwa, mito, chemchem ila wanakosa maji, maajabu ya Dunia.. Unakuta kimji kidogo kiwilaya ila watu wanakosa maji kweli? Basic human need ..nchi hii..huku wengine Wana bilioni 20 kwenye akaunti, wengine wananunua vifaa vya ujenzi vya bilioni 2+, wengine hata tunapewa Dole la...
Back
Top Bottom