Huu ni baahi ya ushahidi wa malalamiko ya watu kutoka katika page ya ZSSF zanzibar.
Watu watokao Bara tunafanyiwa ubabaishaji sana kwenye mfuko huu, raia wa kigeni wakitaka mafao yao wanayapata yote.
Kwanini mtu atokae Tanganyika asipewe?? Mtu atoke mbeya, Mwanza, Mara afuate mafao Zanzibar...
Mkurugenzi wa Ilala kasema uongo. Kwanza watumishi wa mikataba ni robo tatu ya watu wa cheki namba.
Hao watumishi wa mikataba ndio wanaokusanya mapato yote ilala.
Wanalipwa mpaka sasa 340,000 na serikali ilipitisha 500,000.
Mshahara wanalipwa mpaka mwezi upinduke, kati ya tar 4, 6, au 8...
Anonymous
Thread
hawana
ilala
kuhusu
kwanza
likizo
manispaa
mikataba
mkurugenzi
namba
uongo
watumishi
Tarehe 7 Juni 2019 aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayatui Magufuli alikutana na wafanyabiashara kutoka Kila Mkoa Ikulu ya jijini Dar es Salaam.
Ref: Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za...
Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa miundombinu yenye makazi yake Madale Midizin Jijini Dar es Salaam.
Changamoto ni kwamba mpaka sasa nina Mwaka wa nne kazini ila sijawahi pewa mkataba, nakosa haki zangu muhimu, bado najulikana ni kibarua tu wa hii kampuni.
Tabia hiyo imekuwa ikitokea...
Anonymous (ce9a)
Thread
changamoto
kampuni
madale
mikataba
ujenzi
wafanyakazi
wake
Huyu ni PhD wa wapi huyuuuuu???
Mikataba iseme hawawezi kutumia hela yao kulipa madeni yao nje ya nchi.
Badala ya vipengele vya kimkataba vya kudhibiti usipigwe, unataka kumpangia afanyeje na hela yake na kishakupiga. Huyu knucklehead ni mkenge mkubwa tumeingia.
Umeuza rasilimali ya nchi au...
Habari,
Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC.
Wanasema sisi bado sio walimu sasa wanasema wanasubiri muongozo mpaka leo kimya ila wenzetu wengine wamejaza mikataba ya TSC
Naona...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
business
masomo
mikataba
mpya
studies
tsc
ualimu
walimu
wamegoma
Kwanza Nikiri kuwa mimi ni mnufaika wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF,
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekuwa nguzo muhimu ya ustawi wa afya nchini, lakini kwa sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya kuongezeka kwa gharama za matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama shinikizo la damu...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina anasema ‘’sasa hivi tuna mikatakata 43 iliyoingiwa na serikali bila kuambiwa Bunge na kama halijaambiwa Bunge, hawajaambiwa wananchi’’
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umetangaza marufuku kwa Watoa Huduma Binafsi kujihusisha na utoaji wa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu utekelezaji wa michakato mbalimbali ya Mradi wa BRT ikiwemo suala la mikataba na mipango.
Taarifa kwa Vyombo vya Habari, Agosti 4...
Naangalia hapa Jamhuri wamepeleka maombi Mahakamani kuomba shauri la Lissu la uchochezi lisikilizwe kwa usiri yaaani Mashahidi ya Nyaraka visionekane kwa Wananchi.
Kama una akili vizuri unaweza fikiri kama kesi ya Uchochezi tu wanayomshtaki mtu kuongea maneno ya uchochezi ambayo yalitangazwa...
Nimesikiliza leo Crown Fm na hoja ya wachambuzi kuhusu timu 6 kuandika barua kudai haki kutokana na unyonywaji na marefa.
Nimeshangaa sana badala wachambuzi kushikilia msimamo na haki kuokoa soka letu, lakini hoja zilizokua zimejaa ni “mbona mwaka ule Yanga alifanya hivi, Mbona mwaka ule Simba...
MaCCM wajue, sisi siyo wajinga... waache upumbavu.
CCM wanakataa ushoga mdomoni, wanakubali ushoga kwenye makaratasi na mikataba ya kulinda haki za mashoga wanasaini. CCM ni walaghai wasiotaka kuwaeleza ukweli wafuasi wa mbogamboga.
The Progressive Alliance (PA) ni jumuiya ya kimataifa ya...
Wakuu naomba mtu mwenye uelewa na mambo ya Madini pamoja na Mikataba anieleweshe ili nami nipate kuelewa !
Tanzania imebarikiwa Kuwa na Madini tofauti tofauti ambayo bila shaka yangetutoa kwenye Umasikini watu wetu wakaishi maisha mazuri na Kuwa na kipato kizuri !
Nimejaribu kudodosa na...
Hello bosses and roses..
Kuna kitu nimekua nafikiria kwa muda mrefu, sina uhakika sana kuhusu uwepo wake kwa sasa au inawezekana kipo lakini kinafanyika kwa njia zisizo rasmi.
Hebu fikiria scenario hizi
1) Mtu au Biashara au Kampuni X imepata tenda ya kufanya project fln na mkataba ukasainiwa...
Wizara ya TAMISEMI imesema kupitia ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi (PPP) imefanikisha hatua ya kihistoria ya kusaini mikataba na watoa huduma watatu wa uendeshaji wa awamu ya pili ya mabasi yaendayo haraka ambapo imesema mabasi hayo yatapunguza foleni za Dar es salaam na kuharakisha...
Serikali imezitaka Taasisi za Fedha zilizosajiliwa kutoa huduma ya mikopo, kuto wakandamiza wananchi katika mikataba kwa sababu ya kutojua kusoma na kuandika kwa kuwasainisha mikataba bila uelewa wao.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija...
Salaam!
Nina vitendea kazi kadhaa (vitazame hapa chini) ambavyo nilinunua kwa ajili ya biashara. Lakini kutokana na kutokuwa na muda wa kuendesha biashara, vitendea kazi hivyo havitumiki kama vilivyokusudiwa.
Vitendea kazi vyenyewe ni hivi:
1. High pressure washer machines: zipo mbili. Moja...
Serikali inacheza na akili za wadanganyika wa hili Taifa. Swala la Wachina si kwamba Serikali haijui inajua sana ila inataka kuzuga inajali raia wake kipindi hiki cha uchaguzi.
Mashariti ya mikopo wanayo pewa na China ndio ina hivyo vipengele, na sio kwa Tanzania pekee ni kwa mataifa mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.