miguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vivuko vya miguu kwenye njia kuu (highway)

    Kutokana na ongezeko la watu karibu na barabara kuu na ukuaji wa teknologia Nafikiri ule utaratibu wa kutumia vivuko vya mistari ya pundamilia kwenye barabara kuu unaenda ukipitwa na wakati. Fikiria unaendesha gari barabara kuu ndani ya kilometa 10 unakutana na vivuko 5, ambayo vyote...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nipo chini ya miguu yenu wanaJF

    Naombeni audio ya hizi nyimbo; 1. Leonore ya Bokilo 2. Lala salama Chiku ya Zahir Ali Zorro 3. Selina ya Muhidini Ndolanga 4. Nawashukuru wazazi ya nani sijui lakini Ndolanga yumo.
  3. JamiiForums Tanzania Je Mpira wa Miguu umeanzia wapi???

    Mpira wa mguu, kama tunavyoujua leo, ulianzia Uingereza, lakini historia yake inahusisha michezo ya zamani kutoka sehemu mbalimbali za dunia. Hapa kuna muhtasari wa jinsi mpira wa mguu ulivyoanza: 1. Michezo ya Kale: • China: Michezo ya mwanzo inayofanana na mpira wa mguu...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Rwanda anavyojenga na kukarabati kwa kasi viwanja vyake vya mpira wa miguu, ni kama kuna kitu wanajua kitatokea kuelekea AFCON 2027

    Rwanda nadhani kuna nchi wameisoma inaweza kutema au kutemeshwa tenda ya AFCON 2027. Rwanda wanakarabati na kujenga viwanja kwa kasi kubwa sana. Juzi ninemsikia Waziri wa Michezo Mh. Ndumbaro, sikumuelewa, anasema iwanja wa taifa unaingiza watu karibu 60,000, lakini anasema wameagiza viti...
  5. JamiiForums Tanzania Picha: Mwonekano mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, utakaotumika kwenye michuano ya AFCON 2027

    Matukio mbalimbali katika picha wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Methusela Ntonda alipokwenda kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, wakati wa kikao kazi cha mwezi cha maendeleo ya mradi huo. Ntonda alikuwa ameambatana na...
  6. JamiiForums Tanzania Mtanzania akionyeshwa bastola au akisikia mrindimo wa risasi basi hata eneo la tukio hatakanyaga na atakimbia mithiri ya kuvunja miguu

    Tafakuri ya leo. Unajiuliza kwanini watanzania tumelala?? matukio ya kutekwa na hatuchukui hatua yoyote?? ili hali mnamuona mtu yule pale anachukuliwa?? Unajiuliza, Kwanini hatuwezi kudai haki zetu?? Jibu ni hili, Mtanzania anaogopa sana neno "bunduki", Mtanzania akishaona bunduki basi...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea? Na jongoo Hana macho lakini hajigongi wala hatembei na fimbo?

    Naombeni mnisaidie nimechoka kuwa mjuaji na kuumiza kichwa changu kwa swali ambalo wadau wana maswali aisee hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea na yawezekana anakimbia kuzidi binadamu? Na pia kwa jongoo hana macho na anatembea bila hata kujigonga na wala hatembei na fimbo? ?????
  8. JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

    🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚Al Hilal 📆 26.11.2024 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 10:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal Dakika ya 5 Mpira Umeanza Dakika ya 10 Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi Dakika 25 Yanga wanakosa nafasi ya wazi Dakika ya 29 Dube anakosa nafasi ya wazi anateleza hapa...
  9. JamiiForums Tanzania Abby Chams: Sijawahi kula miguu ya kuku wala firigisi, wala sijawahi kusikia sehemu inaitwa Mburahati

    Akiwa katika kipindi cha Jirani kupitia Crown FM, mwanamuziki Abby Chams anasema hajawahi kula miguu ya kuku wala firigisi hazijui. Mwijaku akamuuliza unapajua Mburahati? Akamjibu hajawahi kupasikia ndio mara yake ya kwanza kupasikia. NB Huyu msanii Abby Chams kipindi cha nyuma aliwahi kusema...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya fungus kwenye vidole vya miguu

    Anayejua dawa ya fungus anisaidie tafadhali
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Songwe: Katibu wa CCM avamiwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu yote miwili

    Wakuu! Hekaheka zinazidi kuendelea katika kipindi hichi cha uchaguzi. Naona watu wasiojulikana wamehamia CCM mbona kazi ipo =================== Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Itumba wilayani Ileje, Mkoa wa Songwe, Huruma Ally amevamiwa na watu wasiojulikana na kumvunja miguu yote...
  12. JamiiForums Tanzania Picha: Amesema kama nampenda tushone hivi kwa gharama zake halafu twende kwao Sinza kwa miguu

    Duh! Ila mabinti wa kishua hasa hawa wa 2000 wana matatizo gani lakini? Aliniambia atanipatia jibu, badala ya jibu akaniambia niingie WhatsApp, akanitumia picha, akaniambia kama kweli namtaka kimahusiano niwe tayari kuvaa hivi kwa gharama zake, kisha tutoke Kagera hadi Sinza kuanzia saa 10 jioni...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye kujua jina la band na wimbo unaozungumzia Nyerere kutembea kwa miguu kutoka Butiama hadi Mwanza kuunga mkono Azimio la Arusha

    Wadau naomba kwa mwenye kujua anifahamishe jina la band na wimbo wenye maneno haya: ..... Azimio la Arusha lilipotangazwa Tanzania, Nyerere alitembea kutoka Butiama mpaka Mwanza. Juhudi za Mwalimu na watanzania wote, haikupita miaka mingi tukatoka utumwani.... Ni wimbo wa miaka mingi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Watu wa dini; hivi mpira wa miguu umetajwa kwenye vitabu? Mbona Kila binadamu anazaliwa anaupenda na kuujua?

    Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza! Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
  15. JamiiForums Tanzania Baada yakujifungua miguu ikaanza kumuuma mpaka sasa!

    Ni mwezi wa nne sasa toka ajifungue baada ya kama wiki moja miguu ikaanza kumuuma, jitihada za kumpeleka hospital zikafanyika akapimwa nakuandikiwa dozi,katumia zaidi ya mara moja kapatiwa dawa mpk na daktari wa maswala ya wanawake wajawazito na waliojifungua!. kuna muda alipata nafuu mpk...
  16. JamiiForums Tanzania Viwanja Bora vya mpira wa miguu Afrika

    Top 15 best stadiums in Africa 1)-FNB Stadium: Located in Johannesburg, South Africa 🇿🇦, this stadium has a capacity of 94,736 and is the largest stadium in Africa. It hosted the 2010 FIFA World Cup final between Spain and the Netherlands 2)- New Administrative Capital Stadium: Situated in...
  17. JamiiForums Tanzania Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

    Marjayoun- Lebanon. Kifaru cha jeshi la Israeli kilifanya doria kwenye mpaka wa Israeli na Lebanon mapema leo asubuhi. Picha na Aya Margolin wa Flash90 Israeli imetangaza kuingiza majeshi yake upande wa kusini mwa Lebanon na kuliweka eneo hilo chini ya jeshi la IDF yaani "military Zone". Hatua...
  18. JamiiForums Tanzania TARURA: Barabara ya Goba Wakorea hadi Tegeta itakuwa ya lami, njia za watembea kwa miguu na taa za barabarani

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutaka kujua mrejesho kuhusu Jenzi wa baraba ya Tegeta kwenda Goba Wakorea umefikia wapi, TARURA wasema mchakato unaendelea. TARURA wamesema Barabara hiyo ya Goba Wakorea itakuwa ya kiwango cha lami ambapo ujenzi huo utakuwa na njia za watembea kwa miguu na taa...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ushawai kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari yako katikati ya safari hebu tuambie ulitembea umbali gani kwa miguu

    Kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani ni vitu ambavyo vinatokea kama ajari Wadau hivi sikuna watu humu walishawai kusota umbali mrefu baada ya kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani kitendo kilichokulazimu utembee kwa miguu mpaka sehemu unayokwenda. Sasa hebu tupe story ilikuwaje...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshiriki meza ya Bwana Kanisa Wasabato salasala, wanaume wamewaosha miguu wake zao!, kawaida jinsia moja hutawadhana kama alivyofanya Bwana Yesu

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeshiriki meza ya Bwana (Lords Supper) kama ilivyoagizwa na Bwana wetu Yesu Kristo kama njia ya kumkumbuka. Hata hivyo nimeshuhudia utaratibu mpya kwenye zoezi la kutawadhana/ kuoshana miguu ambao sijawahi kushuhudia hata siku moja ndani ya Kanisa Kawaida watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…