migogoro

  1. Nguvu ya Wosia kisheria: Jinsi ya Kupanga Mali Yako ukiwa hai na Kuepuka Migogoro ya Mirathi baada ya kifo.

    Hii ni elimu kwa Umma, Karibu sana kujifunza Mara nyingi migogoro ya mirathi huanza pale mwenye mali anapofariki, na ni mara chache sana kuona viashiria ama hatari ya kuwapo kwa mgogoro wa mirathi ikiwa mwenye mali bado yupo hai. Hii inatuonyesha ni kwa jinsi gani kuna umuhimu mkubwa wa kujua...
  2. Mimi ninaamini, nyuma ya migogoro mingi ya Muungano inayoibuliwa na Wazanzibar, kuna kitu kimejificha!

    Kero nyingi za Wazanzibar kuhusu muungano, huibuliwa na kuchochewa na wanao kaa nje ya Zanzibar yaani wapo Ughaibuni huko, sisi tulioko huku tutawaaminije kama hawakutani na kutumwa na maadui wa muungano wetu na wenye masilahi binafis? Badala ya kurahisisha tu kwamba muungano uvunjwe au wabara...
  3. R

    Jerry Silaa, migogoro ardhi inatokana na watumishi wa idara ya ardhi. As long as hujawagusa, tatizo litabaki kuwa kubwa

    Unafanya kazi nzuri, nimeona Tanga katika kesi mbili ulizozimaliza. Kesi ya Tahameed moja kwa moja kuna collusion ya watendaji wa idara ya ardhi. Wanarekodi zote, haiwezekani Tahameed akajua kuwa kiwanja fulani hakina mtu. Ni kuwa wanacollude na idara ya ardhi na kufanya uhalifu huo. 1...
  4. P

    Je, kuna siasa katika utatutizi wa migogoro ya ardhi unaofanywa na Jerry Silaa?

    Mimi ni muumini wa watu wote wabunifu wanaopanga kutatua kero za wananchi. Waziri Slaa anaonekana kuwa mbunifu baada ya kuja na clinic za kutatua kero za migogoro ya ardhi. Jana akiwa Mbeya alionekana akitoa maamuzi ya mgogoro wa mtu anayeonekana ni Mchina ambaye kwa mujibu wa Waziri watu...
  5. A

    Serikali haraka fungeni mipaka chakula kisiuzwe nje, machafuko na migogoro ya kivita viwape ari hiyo

    Wakuu, Dunia ya leo ni migogoro na vita sehemu mbalimbali, hivo wakati huu wa mavuno mazao kama mchele, mahindi, maharagwe na nafaka nyingine haraka sana yazuiwe maana sio muda tutaanza kulia njaa. Nchi nyingi kwa sasa wamefunga mipaka yao hakuna chakula kutoka kwani usalama na utulivu wa...
  6. Waziri Mavunde Aainisha Mikakati ya Kumaliza Migogoro Mirerani

    WAZIRI MAVUNDE AAINISHA MIKAKATI YA KUMALIZA MIGOGORO MIRERANI -Serikali yarusha ndege ya Utafiti ndani na nje ya ukuta kupata kupata viashiria vya mwamba wa madini -Taarifa za utafiti kusaidia kuwaongoza vizuri wachimbaji -Atoa tuzo kwa wachimbaji wanaorudisha kwa jamii(CSR) -Aongoza futari...
  7. Waziri Silaa awajibu wanaosema anaingilia mahakama kutatua migogoro ya ardhi

    Baada ya Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa kuonesha mwanga katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, kuna waliodai kuwa anafanya kazi ambayo ingefanywa na mahakama yenye jukumu la kutafsiri sheria hivyo anachofanya ni sawa na kazi bure. Hivyo kumtaka kuanzia mahakamani katika...
  8. Nani ni sababu ya migogoro kati ya mwanamke na mwanaume?

    Nani ni sababu ya migogoro kati ya mwanamke na mwanaume? Je, yawezekana kuishi katika mahusiano bila kupishana kabisa?
  9. Rais Samia: Baadhi ya Madiwani wanahusika katika kusababisha Migogoro ya Ardhi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema baadhi ya Viongozi wakiwemo Madiwani wa Halmashauri mbalimbali wamekuwa na utaratibu wa kuanzisha Vijiji kwa lengo la kujinufaisha kwenye masuala ya Uchaguzi, hali inayochangia kuibuka kwa migogoro ya Ardhi Akizungumza baada ya kuapishwa kwa Viongozi aliowateua...
  10. Umoja wa Mataifa wasema Mzozo wa DR Congo unapuuzwa kuliko migogoro yote duniani

    Mratibu Mkazi na Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), Bruno Lemarquis, amesema Mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ni kati ya matatizo makubwa, magumu, ya muda mrefu na yanayopuuzwa zaidi duniani. Pia, UN imeonya kuwa hali ya Kibinadamu katika eneo la...
  11. M

    Zitto ahofia migogoro ya Ardhi kusababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe

    "Migogoro ya ardhi na migogoro ya mipaka kati ya hifadhi na vijiji, maeno ya Kusini mwa Tanzania tumekuta malalamiko makubwa ya wakulima dhidi ya wafugaji kuvamia maeneo yao na hata kupelekea mauaji, vilevile maeneo ya wafugaji tumekutana na malalamiko ya wananchi kuporwa mifugo yao na Maafisa...
  12. Ili kumaliza migogoro inayoendelea Congo, inabidi malalamiko yote ya waasi yasikilizwe

    Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe. Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani. Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na...
  13. Katavi: Wananchi watakiwa kutokuwa chanzo cha migogoro ya Wakulima na Wafugaji

    Mkaguzi wa Kata ya Kasansa Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Elibariki Kateman amewataka wakulima na wafugaji wa kata hiyo kutokuwa chanzo cha migogoro ya wakulima na wafugaji katani humo. Mkaguzi huyo ametoa kauli hiyo wakati akitoa elimu ya ushirikishwa Jamii...
  14. Kosa kubwa linalofanyika kwenye uchumba linalopelekea ndoa nyingi kuwa na migogoro sugu

    Hello! Kwakuwa wadada wengi hufanya ndoa kama fashion au kama ajira basi wako tayari kufunga ndoa na mtu yeyote ilimradi tu anapumua na anaweza kumudu bei ya sukari na ugali basi. Turudi kwenye mada. Kosa hilo ni kwa wachumba kutokutaja amri zao kuu (msimamo mkuu). Mfano *Nitakusamehe kila kosa...
  15. Makonda ampigia simu Waziri Silaa, amtaka akatatue migogoro ya ardhi Bunju

    Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho. Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.
  16. Wananchi wa Katavi wadai wanakerwa na migogoro ya Ardhi

    Wananchi wa Kijiji cha Songambele kilichopo Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wametoa kero mbalimbali ikiwemo migogoro ya Wakulima na Wafugaji sambamba na huduma ya umeme kutokidhi viwango. Kero hizi zimetolewa mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Mpanda mara baada ya kufika katika kijiji hicho na...
  17. Nimetapeliwa ajira za wanaojifanya ni World Vision Tanzania

    Habari wanajamvi wenzangu. Pasipo kupoteza muda wa mtu yeyote, nipende kushiriki nanyi juu ya huu mtindo wa utapeli wa ajira/nafasi za kazi zinazotangazwa kila uchwao. Naamini kupitia uzi huu, wanajamvi wengi watapata elimu ambayo itaweza kuwasaidia kwa namna moja au nyingine. Kumekuwa na...
  18. Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
  19. Kwanini nchi nyingi za Kiislamu huwa kwenye migogoro?

    Nchi nyingi za Kiislamu hazina furaha na zimenaswa katika vita kwa sababu ya Uislamu. Lakini hawakubali. 1. Hakuna mgawanyiko wa dini na serikali. Dini inakuwa serikali katika nchi nyingi za Kiislamu. 2. Hakuna uhuru wa kusema, uhuru wa dini na uhuru wa vyombo vya habari katika nchi za...
  20. Simba wamalize tofauti zao, migogoro haitawasaidia

    Ni wakati wa kumaliza tofauti zenu baada ya kufungwa na mtani wenu kwa idadi ya mabao mengi {1-5} Maisha lazima yaendelee, haikuwepo sababu ya msingi kumtimua kocha Robertinho mzee wa Objective football, Takwimu zinaonesha amepoteza mechi moja tu tangu ajiunge nanyi kama Head coach. -Hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…