migogoro ya ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Matumizi Bora ya Ardhi Yapangwe ili Kuondoa Migogoro ya Ardhi Nchini

    MBUNGE JAFARI WAMBURA ATAKA MATUMIZI BORA YA ARDHI YAPANGWE ILI KUONDOA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI "Chanzo cha migogoro ya Ardhi nchini mojawapo ni kupitwa kwa Sera ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi ambayo ni ya Mwaka 1995 haiendani na kasi ya uzalishaji na shughuli za kiuchumi za wananchi...
  2. BARD AI

    Manyara: Naibu Waziri Pauline Gekul atuhumiwa kuchochea migogoro ya ardhi

    RC Makongoro Nyerere ametoa tuhuma hizo dhidi ya Gekul na kumtaja pia Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji, Babati, Abdulrahaman Kololi kwa kuwatuma wananchi kuvamia shamba la mwekezaji Amemwagiza RPC George Katabazi kuwakamata waliovamia shamba wahojiwe hadi wawataje wanaowatuma, na kudai kuwa...
  3. N

    Je, ni kweli wanasiasa wanachochea migogoro ya ardhi?

    Katika hotuba ya Rais Samia Suluhu leo amegusia suala la migogoro la ardhi amesema kuwa: "Wakati wananchi wanavamia maeneo, wanasiasa hatuwaambii wananchi ukweli, tunawaangalia wakivamia na badala yake tunakuja kusimama kutetea wavamizi wa maeneo yale [..] lengo ni kupata kura huko baadaye...
  4. Lady Whistledown

    Wivu wa Mapenzi, Migogoro ya Ardhi, vyanzo vikuu vya mauaji Njombe

    Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Butusyo Mwambelo amesema Mkoa huo unamatatizo yanayosabishwa na Migogoro ya Kimapenzi na Ardhi Kaimu kamanda ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa huduma za msaada wa kisheria mkoani hapa inayotolewa na kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC. "Njombe hii kuna...
  5. Royal Tour

    SoC02 Wateule wa Rais msiwapotezee muda wananchi kupata haki zao katika migogoro ya ardhi

    Siku za hivi karibuni hasa kuanzia serikali ya awamu ya tano mpaka sasa, wananchi wameacha kuamini mifumo rasmi ya utoaji haki badala yake wanaamini viongozi wa kisiasa mfano wakuu wa wilaya, mikoa, mawaziri na watendaji katika vyama vya siasa katika kudai haki hasa ile inayojikita katika...
  6. JanguKamaJangu

    Unguja: Waziri Dkt. Stergomena afanya ziara kutatua migogoro ya ardhi kati ya jeshi na Wananchi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewatembelea na kuongea nao Wananchi wa maeneo ya Visiwa vya Unguja kuhusu namna watakavyoshirikiana katika kutatua migogoro ya ardhi baina yao na vikosi vya Jeshi. Akiwa kisiwani humo, Stergomena alipata fursa ya...
  7. B

    Ridhiwani asisitiza Wizara ya Ardhi inafanya kazi kubwa ya kupima na kupanga ardhi kwa matumizi bora, hati 8 zakabidhiwa Tanganyika

    RIDHIWANI ASISITIZA WIZARA YA ARDHI INAFANYA KAZI KUBWA YA KUPIMA NA KUPANGA ARDHI KWA MATUMIZI BORA, HATI 8 ZAKABIDHIWA TANGANYIKA. Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi. Salamu za Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb)- Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Wananchi wa Kijiji cha...
  8. B

    Ridhiwani: Serikali ya Rais Samia itaendelea kupima ardhi ili kupambana na migogoro ya ardhi

    RIDHIWANI: SERIKALI YA RAIS SAMIA ITAENDELEA KUPIMA ARDHI ILI KUPAMBANA NA MIGOGORO YA ARDHI. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kupima Ardhi kila sehemu Nchi nzima ili kupambana na migogoro ya...
  9. Stroke

    Kupunguza migogoro ya ardhi Wizara ya Ardhi iweke ramani na taarifa muhimu online

    Ramani za miji kwa maeneo yaliyopimwa ni public document. Migogoro mingi ya ardhi inakuwepo kutokana na double allocation. ( Ardhi moja kuuziwa kwa watu wawili). Itungwe sheria itayopelekea ramani za maeneo yaliyopimwa na ambayo bado kuwa online na kuwa access upon payment of a certain fee...
  10. Lady Whistledown

    Mbunge asema migogoro ya ardhi inachangiwa na taasisi za Serikali

    Akichangia bajeti ya Wizara ya Ardhi Bungeni leo Mei 26, Dkt Joseph Kizito amesema “sehemu kubwa ya migogoro katika maeneo yetu inachangiwa na taasisi zingine za serikali, inapotokea mwananchi ana matumizi na ardhi na Serikali kupitia idara zake wanaihitaji hiyo ardhi, wizara ya ardhi isimame...
  11. Linguistic

    Mabaraza ya Kata hayana mamlaka ya kusikiliza na kuamua migogoro ya ardhi

    Kwa mujibu wa Sheria ya mabadiliko ya Sheria namba 3 ya mwaka 2021, WRITTEN LAWS (MISCELLANEOUS AMENDMENT NO 3 ) ACT, 2021 Kwa mujibu wa SHERIA hii ambayo ilikifuta kifungu Cha 15 Cha THE LAND DESPUTE COURTS ACT, CAP 216 R E 2019 ambacho kiliwapa mamlaka Baraza la Kata (Ward Tribunal Kusikiliza...
  12. Stroke

    Waziri na Naibu Waziri wa Ardhi naomba muangalie uhaba wa wenyeviti mabaraza ya Ardhi

    Kwa sehemu kubwa Wilaya nyingi hapa nchini zina Mabaraza ya Ardhi yanayoshughulikia migogoro ya ardhi. Hivi karibuni yameundwa mabaraza mapya ya Ardhi kwa lengo la kukidhi mahitaji kwa wilaya kadhaa. Lakini tatizo linalojitokeza ni uhaba wa wenyeviti katika mabaraza mapya yaliyoundwa na hata...
  13. C

    Kwako Amos Makalla kuhusu kamati ya kutatua migogoro ya ardhi Mabwepande

    Kwako mkuu wa mkoa, ningependa kuzungumza na wewe kuhusu kamati yako ya kutatua migogoro iliyopiga kambi Mabwepande Sidhani kama unajua kwa kina uhalisia wa hali ya huku kimazingira na haki za wakazi wa huku namna walivyozipata, kinachotaka kutokea wewe na ofisi yako ndiyo mtakuwa wahusika wa...
Back
Top Bottom