Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Simiyu inaunga mkono juhudi zinazofanywa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuanzisha Kliniki Maalumu ya Wanawake “Samia Ardhi Kliniki” ambayo ni chachu ya kupunguza migogoro kabla ya kufikishwa Mahakamani.
Jaji wa Mahakama Kuu ya...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaangalia upya suala la changamoto ya ardhi nchini.
Amesema kuwa haiwezekani kuwepo na migogoro ya ardhi ya muda mrefu ambayo haiishi hadi kufikia hatua ya kutishia undugu...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaangalia upya suala la changamoto ya ardhi nchini.
Amesema kuwa haiwezekani kuwepo na migogoro ya ardhi ya muda mrefu ambayo haiishi hadi kufikia hatua ya kutishia undugu...
Migogoro ya ardhi imeelezwa kuwa inaweza kupunguzwa kwa kuimarisha mfumo wa kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi mapema kabla hazijafikishwa mahakamani. Hayo yameelezwa jana Jumatano Februari 25, 2026 na Mbunge wa Arusha Mjini, ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, Edward Mpogolo, amesema migogoro ya ardhi ni changamoto ya kimataifa inayohitaji suluhu endelevu, huku akibainisha kuwa mabaraza ya ardhi ya kata ni nguzo muhimu katika upatanishi wa wananchi.
“Wapo watu wenye fedha ambao hutumia vibaya pesa zao...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendeleza programu ya "Tutunzane" ili kukomesha migogoro ya ardhi kati ya wafugaji na wakulima, endapo atachaguliwa kuwa Rais kwa awamu nyingine.
Akizungumza na wananchi wa...
Kuna uovu unaendelea kwenye halimashauri ya bagamoyo na wizara ya ardhi ambapo kuna watendaji wanabiashara ya siri ya uchuuzi wa viwanja kwenye maeneo ya wananchi kwa kutumia migogoro hasa ya mashamba makubwa yaliyomilikishwa kwa hati zamani bila kufuata taratibu stahiki.
Picha yenyewe iko hivi...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amefanya kikao kazi cha pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakary Kunenge chenye lengo la kupokea Taarifa ya Timu ya Wataalam iliyoundwa na Wizara kwa ajili ya kuchunguza migogoro mbalimbali ya ardhi Mkoani humo...
Habari Tanzania !
Natamani sana siku moja ardhi hii ya Tanzania isimamiwe na kuangaliwa toka moja kwa moja ofisi za JWT.
Usalama wa nchi ni sambamba na ardhi. Kwa kuwa chombo cha JWTZ kinahusika na ulinzi wa mipaka ya nchi sio vibaya wakapewa jukumu la ulinzi wa ardhi.
1. Hakutakuwa na...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka viongozi nchini kuepuka vitendo vya kuuza ardhi, badala yake wajikite katika kutatua migogoro inayohusiana na ardhi.
Ametoa kauli hiyo leo, Jumatano Aprili 23, 2025, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya...
Katika kuendelea na juhudi za kutatua migogoro ya ardhi, Mkuu wa Wilaya, Petro Magoti, amekuwa akifanya mikutano ya mara kwa mara na jamii, ambapo anawapa fursa wananchi kutoa maoni yao kuhusu masuala ya ardhi.
Mikutano hii inasaidia kujenga uelewa wa pamoja na kuimarisha ushirikiano kati ya...
Mkazi wa Kijiji cha Lubungo Kata ya Mikese wilayani Morogoro Mzee Yahaya Yahaya, anayekadiriwa kuwa na Umri wa Miaka 70 hadi 80, ameuawa kwa kucharangwa mapanga na watu wanaodaiwa kuwa ni Wafugaji, wakati akijaribu kuwazuia wasiingize Mifugo shambani kwake, hali iliyosababisha wananchi kugomea...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeielekeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Mkazi, na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk. Juma Homera kuweka utaratibu mzuri wa kugawa sehemu ya ardhi kwa wananchi wa Mbarali itumike kwa shughuli za maendeleo hususan kilimo.
Hatu hiyo imetokana na malalamiko ya...
Habari wakuu.
Kuna mhusika ana eneo lake ukubwa ni heka moja Kwa vipimo vya macho lakini ndani ya Hilo eneo Kuna nguzo ya umeme laini kubwa ile ya 33.
Sasa anataka kupeleka wataalamu wa Ardhi kwajili ya kupima ili kuweka mawe ya Ardhi (Bikoni). Gharama zimekaaje hapo wakuu na Je anaweza...
Rais Samia ameagiza waziri ya ardhi na tume yake ya clinic ya ardhi wapige kambi kilindi wahakikishe migogoro yote ya ardhi itatuliwe.
Wilaya ya kilindi ndyo inayongoza kuwa na migogoro ya ardhi tanzania.kuna migogora ya ardhi 267.wasababhshi wakuu ni viongozi.Kwa hili tunamshukuru rais samia
Habari wanajamii,
Mimi ni mkazi wa Dodoma tangu mwaka 1998, na kwa miaka yote hii, nimeshuhudia migogoro mingi ya ardhi, ambayo mara nyingi inachochewa na viongozi tuliowapa dhamana.
Imekuwa kawaida kwa wengi kuwania nafasi za uenyekiti wa mtaa, udiwani, na nafasi nyingine za uongozi si kwa...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza kusimamishwa kazi kwa Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Mji wa Handeni kutokana na kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi katika eneo hilo.
Ametoa agizo hilo Februari 20, 2025, wakati wa ziara ya Waziri Ndejembi katika...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amesema ataunda timu ya wataalamu kufanya utafiti kuwabaini wamiliki wa mashamba ikiwa ni jitihada za kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto pamoja na mgogoro wa mpaka kati ya wilaya hiyo na Wilaya ya Chemba.
Kupata matukio...
Wadau,
Kuna huu mwongozo ulitolewa na Katibu Mkuu TAMISEMI mwaka 2021. Bati mbaya haupo kwenye tovuti ya wizara. Nitaupata wapi?
Kama mtu ana nakala yake tafadhali nitumie.
Shukrani sana.
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemtaka Mwekezaji wa Shamba la Malonje lililopo katika Kijiji cha Sikaungu Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa kutoendeleza eneo ambalo lina mvutano kati ya mwekezaji huyo na wananchi wa kijiji hiko.
Mhe. Ndejembi ametoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.