migogoro

  1. W

    Mwigulu: Nimesisitiza kutolimbikiza viporo vya kero na migogoro, kwani inatishia undugu wetu

    Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza kuwa wakati mwingine wanaosababisha migogoro hiyo ni watu walioamaniwa.
  2. Roving Journalist

    Jaji Mtembwa: Samia Ardhi Kliniki, Chachu Ya Kupunguza Migogoro Ya Ardhi Simiyu

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Simiyu inaunga mkono juhudi zinazofanywa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuanzisha Kliniki Maalumu ya Wanawake “Samia Ardhi Kliniki” ambayo ni chachu ya kupunguza migogoro kabla ya kufikishwa Mahakamani. Jaji wa Mahakama Kuu ya...
  3. kavulata

    Demokrasia ni lango kuu la migogoro Afrika, hakuna nchi imenufaika

    Demokrasia na haki inaanzia majumbani kwenye ngazi ya famila, inalelewa mashuleni, inakomalia vyuoni na kuanza kutumika Ikulu, taasisi za serikali, mahakamani na bungeni. Juzi niligombana sana na mke wangu kwasabu alimpiga sana mtoto wetu wa miezi 8 eti kwa mujimu wa yeye alitenda kosa la...
  4. W

    Makonda: Migogoro ya Ardhi itapungua wananchi wakisikilizwa mapema

    Migogoro ya ardhi imeelezwa kuwa inaweza kupunguzwa kwa kuimarisha mfumo wa kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi mapema kabla hazijafikishwa mahakamani. Hayo yameelezwa jana Jumatano Februari 25, 2026 na Mbunge wa Arusha Mjini, ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo...
  5. Blasio Kachuchu

    Wananchi Walia, Serikali Yaingia Kazini Kutatua Migogoro ya Mashamba Muheza

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Leonard Akwilapo (wa pili kulia) akizungumza wakati wa kikao cha kujadili utatuzi wa migogoro ya mashamba ya uwekezaji katika wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Wa pili kushoto ni Waziri wa TAMISEMI Prof Riziki Shemdoe na kulia ni Naibu Waziri wa...
  6. Roving Journalist

    Mawaziri wafanya kikao Lushoto kutafuta suluhu ya migogoro ya Wananchi Mkoani Tanga

    Mawaziri saba wa kisekta wakiwa na mwenyeji wao ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ambaye ni Mbunge wa Lushoto wamekutana wilayani hapo kujadili utatuzi wa changamoto na migogoro inayowakabili wananchi mkoani Tanga ikiwemo ya ardhi, ikiwa ni hatua ya...
  7. Chizi Maarifa

    Umuhimu wa Greenland kwa USA, CHINA na RUSSIA. Mwaka huu tutegemee migogoro mingi mikubwa

    Lengo la Marekani (USA) kutaka kudhibiti au kuwa na ushawishi juu ya Greenland halimaanishi tu “kuitwaa ardhi”, bali linahusiana na maslahi makubwa ya kimkakati, kiusalama na kiuchumi. Kwa ufupi, sababu kuu ni hizi: 1. Usalama wa Kijeshi (Military & National Security) Greenland iko katikati ya...
  8. Richard Kasubi

    Baraza la usuluhishi wa migogoro ya watumishi wilaya ya Nyamagana - Mwanza

    Habari zenu wana JF...!! Nahitaji msaada wa kupata Mawasiliano ya mtu anae husika na Baraza hilo tajwa hapo juu, kama nitampata Muhusika moja kwa Moja kutokea hapa nitashukuru pia. Mawasiliano yangu: 0653717447 Ahsante
  9. Chibike

    Viongozi na uongozi wa Simba kubalini tu kua Injinia Hersi kawazidi sana pakubwa kiakili na uwezo wa uongozi, na nyie mmekalia migogoro na uswahili

    Na leo naona mna press conference mchana wa leo najua tu mnataka kumjibu Injinia mwenye akili nyingi sana Hersi Na hamuoni hata wanasimba wenyewe wamefurahi sana kwa Injinia kutoa mfano kwa Simba kwamba Ina migogoro mikubwa upande wa uongozi...yan wako pale kula na kugombania pesa ya Mo Dewji...
  10. The Dictator

    Je, unadhani Migogoro inayoendelea nchini kwa sasa inachochewa na uwepo wa Madini adimu (Rare earth minerals) nchini?

    Rare earth elements (REEs) au "Madini adimu" ni muhimu kwa maendeleo ya teknolojia za kisasa na yametambuliwa kama rasilimali muhimu za madini na nchi nyingi zenye uchumi mkubwa duniani. Afrika inamiliki utajiri mkubwa wa rasilimali za madini adimu (REE), ambazo nyingi zipo katika nchi 12...
  11. M

    PostGE2025 Jinsi Viongozi wa Kiislamu Wanavyopaswa Kutatua Migogoro ya Jamii

    Uongozi wa Kiislamu umejengwa juu ya hekima, usawa, subira, na uchamungu. Migogoro ya kijamii iwe ya kifamilia, kijiji, kiuchumi, au kiimani—inatakiwa kutatuliwa kwa njia zinazolingana na Qur’an na Sunnah. Chini ni kanuni kuu na mifano halisi: 1. Kusikiliza Pande Zote Bila Upendeleo (العدل)...
  12. M

    Uongozi wa Mtume Muhammad S.A.W Wakati wa nchi ilipokuwa na Migogoro. Jinsi alivyotatua

    Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa kiongozi wa kipekee aliyeongoza jamii yenye migogoro ya kikabila, kiimani, kijamii na kisiasa. Uongozi wake uliijenga amani, umoja, utawala wa sheria, na usawa katika mazingira ambayo awali yalikuwa magumu sana. Njia alizozitumia 1. Alisimamia Mkataba wa Amani –...
  13. The Khoisan

    Tanzania tulikuwa Wasuluhishi kwenye Migogoro ya Majirani zetu .... Kwanini wao hawaji, Wanatutelekeza!!?

    Tanzania imekuwa mstari wa mbele kusuruhisha migogoro mingi Afrika. Hasa ya Majirani zetu. Rais Mkapa, Kikwete na Samia wamesaidia kutuliza hali ya hewa kwa Majirani zetu hasa Kenya. Mboan sasa wao wako kimya wakai kwetu kunawaka moto? Kwa nini SADC na EAC wako kimya mpaka sasa...!!?
  14. Oscar Lyrics

    Umewahi kuuziwa kiwanja ambacho kina mgogoro?

    Ni mara chache hutokea ukanunua kiwanja kwa ajili ya ujenzi kisiwe na migogoro, aidha kwa aliyekuuzia au jirani yako akasogeza mpaka ili mradi mgogoro utokee, Wakati mwingine unaweza kuuziwa kiwanja kumbe ni cha mtu mwingine pasipo wewe kujua, Mimi binafsi jirani yangu alisogeza mpaka kisa...
  15. U

    Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

    “Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi" "Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia...
  16. Just Pray

    GE2025 Mohamed Abood: Tunachagua aliye tayari kwa utii kwa chama na mwenyekiti wetu, viongozi wenye sifa ya migogoro hatuwataki

    Mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya chama cha Mapinduzi(CCM)Taifa Bw. Mohamed Abood, amesema Chama hicho hakitaki viongozi ambao watakuwa chanzo cha migogoro ndani ya chama na nchi kwa ujumla. Abood amebainisha hayo jijini Dodoma wakati akifungua mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa...
  17. King Leon 1

    Tujadiliane mikataba ya Simba na migogoro ya kifedha

    Club ya Simba imeingia mikataba mingi tena minono ya mabillioni toka kampuni tofauti ambayo baadhi ya mikataba iko wazi na mingine sio wazi. Apo chini tuone mikataba na thamani zake. BETWAY:- 20 billion kwa miaka 3 JAYRUTY:- 36 billion MO foundation:- Sio wazi MO energy:- Sio wazi MO cola:-...
  18. shuka chini

    Migogoro ya ndoa

    Habari wadau poleni na mihangaiko ya kilasiku. Moja kwa moja kwenye mada. Leo asubuhi kama kawaida niliamka nikawa nashida ofisi moja wapo ya serikali nikapita nyumba ya jirani yangu nakuta mwanamke amekaa nje na mwanaume yupo ndani anaongea. Kwahali nilivyoiona nilijua hakuna usalama hapa...
  19. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Luhaga Mpina: Misimamo yangu mikali ya kusimamia haki za wananchi na kufichua ubadhirifu imemletea upinzani na chuki

    Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa na mmoja wa wanasiasa wachache wanaojitambulisha kwa ushujaa wa kusema ukweli, amekuwa akijihusisha na harakati mbalimbali za kupigania haki, uwajibikaji, na uwazi ndani ya utumishi wa umma. Uthubutu huu wa kukemea maovu bila uoga umemuingiza kwenye...
  20. Ojuolegbha

    Tanzania na Finland kuimarisha Ushirikiano katika Usimamizi wa Amani na Usuluhishi wa migogoro

    Tanzania na Finland kuimarisha Ushirikiano katika Usimamizi wa Amani na Usuluhishi wa migogoro Rais wa Jamhuri ya Finland, Mhe. Alexander Stubb amesema Serikali ya Finland itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania ili kuhakikisha juhudi za pamoja zinatekelezwa katika usimamizi wa amani na...
Back
Top Bottom