michezo

  1. Katika Michezo 5 ya hivi Karibuni Mashujaa wana Form nzuri kuliko Simba na Msimamo unaonekana

    Hiii sio Bahati Mbaya. Diamond Platnum aliwahi Imba Nyimbo Moja inaitwa. Mdogomdogo.
  2. Siasa na michezo

    Salaam waungwana, Kumekuwa na kasumba ya baadhi ya wenye mamlaka kuingilia michezo mbalimbali. Sote tutakubaliana tangu 2015 tunayo aina ya viongozi ambao katika kila jambo wanaelekeza sifa na shukrani kwa raiya namba moja. Juzi wakati nasikiliza michezo waziri aliyepo kwenye hii wizara...
  3. Utabiri: Simba na Yanga wote watasare michezo yao ya CAF champions league

    Huu ndio utabiri wangu simba na yanga wote watasare michezo yao, kulingana na wapinzani wanaocheza nao nimetizama kwa jicho la kiufundi sion hata mmoja wao akichukua alama zote tatu. Asec vs simba 0 - 0ft Yanga vs belouzdad 1 - 1 ft
  4. Admin wa Mashujaa FC yuko ni mbunifu kuliko Maadmin wa Social Media zote za michezo nchini, tumpe maua yake

    Tumewafikia wachimba dhahabu
  5. Michezo ya Redio: wewe ulisikiliza mchezo gani?

    Mimi nakumbuka 1. Twende na Wakati - Radio Tanzania 2. Pilika pilika - TBC Taifa 3. Wahapa hapa - Radio free Africa Karibu tukumbushane
  6. L

    Salamu zikufikie Mrisho Ngassa, Feitoto hawezi kurushiwa majini kwa sababu michezo hiyo yote kule kwao ndio nyumbani kwao

    Nataka nikuhakikishie Mrisho Ngassa, mchezaji mwenye kipaji aliyeishia kuwa lofa kuwa Feitoto hakuna wa kumrushia majini. Feitoto kule kwao ndiko waliko hao majini, ushindi wa timu zetu unategemea sana wataalamu kutoka hukoooooo. Mayele ni mgeni wa mambo hayo lakini sio feitoto, kama...
  7. S

    Serikali au Taasisi Binafsi naomba muwekeze kwenye michezo hii miwili niliyobuni kutokea hapa hapa Tanzania

    Hello heshima kwenu ndugu zangu! Mimi ni kijana Mtanzania mpenda michezo, na katika kujihusisha sana na michezo, Mungu amenijalia kujipata kwa kuja na aina mbili za michezo. Mchezo wa kwanza utakuwa ukijulikana kama FENCEBALL au Mpira wa uzio. Na mchezo wa pili utajulikana kama REMAVOLLY...
  8. Iran warusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio.Saudi Arabia wafungua bar ya mwanzo ya ulevi na viwanja vya kujirusha.

    Baada ya majaribio kadhaa kushindwa kuingiza satelite kwenye orbit,leo Iran imefanikiwa kurusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio. Mafanikio hayo yamekuja siku chache baada ya taifa la Saudi Arabia kutangaza kufungua duka kubwa la kisasa la kuuzia ulevi. Iran successfully launches 3...
  9. Waziri wa Michezo wa Ivory Coast asema hamjui Pacome

    “Wakati tunaendelea na mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast nikamuuliza kwanini mmemuacha Pacome akaniuliza Pacome ndiyo nani? Nikamjibu ni Mchezaji wa Yanga na ni nyota wa Ligi Kuu” Mheshimiwa Damas Ndumbaro, Waziri wa Michezo akieleza moja ya mahojiano yake aliyoyafanya na Waziri...
  10. Ukiwasikiliza Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vya Redio na Wachambuzi leo utaamini kuwa Congo DR anakufa huko Ivory Coast

    Na kuna mahala nimemuona Mtetemaji wa Kihistoria kamuomba Mwalimu amuanzishe ili amalize Kazi mapema kwani anamjua vyema Aishi na Beno. Kazi ipo leo nyie Jidanganyeni tu Ok?
  11. Michezo ipo mingi ila mna ng'ang'ania mpira. Kwani ndio mchezo pekee mnaoujua?

    Moja ya agenda za ajabu ambazo sizielewi katika taifa hili ni kuamini katika mchezo wa soka kama njia pekee ya kututambulisha kimataifa. Hii agenda imekwisha shindwa mara nyingi hakuna maajabu yoyote yatapatikana katika mchezo wa soka katika nchi yetu. Tubadili fikra zetu na kuamua kuuweka...
  12. C

    Waandishi wa Habari wa Michezo Tanzania acheni Unafiki na Upuuzi

    kabla ya Taifa Stars kucheza na morocco leo katika michuano ya AFCON huko nchini ivory coast waandishi wa habari za michezo wa Tanzania walituaminisha kuwa morocco atafungwa tu huku wakiwapa sifa kem kem za uwongo na kweli wachezaji wa Taifa Stars na kuna wapuuzi na majuha waliwaamini Cha...
  13. Sky Sports News Watupiga Spana Japo Wengi Wanaona ni sifa

    Mwaka huu kumekuwepo na mjadala wa uraia pacha ila ilipokuja issue ya AFCON kuna baadhi wa wachezaji hata haifahamiki wametoka!!. POINT: Kuna mchezaji anacheza team ya daraja la tano huko uingereza kuja kucheza kombe kubwa la mataifa ya Afrika. Soma mwenyewe hapo 👇🏾
  14. TIGO badilikeni, kifurushi kimebadilishwa kwenda salio wakati sidaiwi

    Inasikitisha kuleta humu lakin naona imekuwa kama mchezo unaojiriudia. Ndugu zangu wa tigo haya mnayotufanyia hayapendezi. Binafsi n mteja wenu wa siku nyingi miaka mingi. Hiki ndicho kinaendelea kuntokea mara ya nne leo. Ninaponujua vifurushi vya internet mnaaniandikia kifurushi chako...
  15. Mtu Kwao: Zanzibar inaenda kuwa na maendeleo kwenye michezo kuliko TZ Bara

    Viwanja vya kuandaa Afcon 2027 vimefikia hatua gani Arusha na Dodoma? Au bado vipo kwenye upembuzi yakinifu? Zanzibar inaenda kasi sana kusema miradi yote inategemea pato lake ni ngumu kuamini, yote kwa yote pongezi kwao kwa Amani Sports Complex
  16. Mashabiki wa Yanga ndiyo wanunuzi wa habari za michezo Tanzania

    Ukitaka habari zako za michezo ziuze hapa Tanzania, andika au toa habari za kuisifia au kuitukuza Yanga. Hakuna mashabiki wanaonunua habari za michezo hapa Tanzania kuliko mashabiki wa Yanga. Kwa hili mashabiki wa Yanga mheshimiwe.
  17. UTABIRI: Katika michezo 4 ijayo ya Ligi, Simba SC itaambulia alama 5 au pungufu kati ya alama 12

    Habari wanajukwaa Nimeangalia michezo ijayo ya Simba katika michezo 4 jayo kwenye ligi. Aiseeee 😁😁 Niseme tu kwa hii Fixture Simba itapata ushindi mmoja na itasare michezo 2 na itapoteza mchezo moja. Sitaki kuwambia kwanini nimetabiri hivyo ila subirini. Na ikifanya mzaha huenda ikapata...
  18. Chid Benz kama Case study: Wasanii wanamichezo wanarogwa sana

    Aliwahi kusema Ndugu. Haruna Rashid Juma Kahena almaaruf kama Inspekta Haroun kwenye wimbo Ngangari kwamba " KULONDA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ambayo ni maneno ya kizaramo yanayo maanisha " KUTAKA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ( KIZARAMO : Kulonda = kutaka). Hapo Inspekta alikuwa...
  19. Waziri wa Michezo unatuangusha wanasoka, kuwa mjanja

    Hapo vipi! Ninachoamini waziri wa michezo anauwezo wa kuingiliia jambo ambalo halipo vizuri na linaonekana kuvuruga au kuharibu vilabu zetu kubwa hususani Club ya Simba na Yanga. Tukumbuke michezo hususani mpira wa miguu inauwezo wa kuitangaza nchi huko Duniani na watu wengi ulimwenguni...
  20. Bodi ya Michezo ya kubatisha: Ni kweli wanaocheza kamali ya MchongoPesa wanapata pesa?

    Saa nyingine utawasikia wakisema kwenye kipindi chao cha usiku wa manane "leo washindi 30 usiku huu watajishindia kila mmoja sh. milioni 5, bodaboda 1, TV screen ya nchi 40 na jezi pair 2 kwa kila mmoja". Hii ni baada ya kutoa ahadi kama hiihii kwenye vipindi vyao vingine kama vile vya sports...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…