michepuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aina nne za Wanawake Michepuko

    1. ๐— ๐—–๐—›๐—˜๐—ฃ๐—จ๐—ž๐—ข ๐—Ÿ๐—”๐— ๐—œ: ๐—›๐˜‚๐˜‚ ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—น๐—ฒ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ผ ๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ถ ๐—ฝ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ, ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฒ๐—ฝ๐—ฒ, ๐˜‚๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ฒ ๐—ฎ๐˜‚ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ฒ ๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐˜๐˜‚. 2. ๐— ๐—–๐—›๐—˜๐—ฃ๐—จ๐—ž๐—ข ๐—ฉ๐—จ๐— ๐—•๐—œ: ๐—›๐˜‚๐˜‚ ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—น๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—บ๐˜‚! ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ผ๐—ผ๐—ผ๐—ต๐—ต๐—ต ๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ฝ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ, ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ผ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ, ๐˜€๐—ถ๐—ท๐˜‚๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ, ๐—ผ๐—ผ๐—ผ๐—ต ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐˜€๐—ฎ๐—น๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ฒ๐—น๐—ณ ๐˜๐—ต๐—ฒ๐—น๐—ฎ๐˜๐—ต๐—ถ๐—ป, ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐—น๐—ถ ๐—ป.๐—ธ! ๐—ก๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ผ...
  2. Wanawake wa hivi wangekuwepo Tanzania michepuko sijui ingekuwaje

  3. Aina nne (4) za wanawake michepuko

    1. MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu. 2. MCHEPUKO VUMBI: Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin, naomba nauli.....n.k! Na hii...
  4. H

    Wanandoa waishio mikoa tofauti

    Salaam. My first thread kipande hiki cha mahusiano which is my favourate in this platfom. Twende kwenye topic, tupeane experience kwa wanandoa wanaoishi mikoa tofauti kutokana na sababu za kikazi n.k. Inakuwaje kuwaje hasa kwa mwanaume issues kama usafi wa ndani, kufua, mambo ya kutandika...
  5. Kwanini wanasema simu ya mpenzi wako sumu?

    Wengi wanajutia au hata kufurahia uamuzi wao wa kujikuta wanachungulia ujumbe na mawasiliano ya wenzao katika simu zao za mkononi lakini matokeo yake ni jambo ambalo hawakulipangia. Ni kifaa kidogo cha mkononi ambacho kilifaa kurahisisha mawasiliano miongoni mwa watu. Lakini sasa hivi kama...
  6. Michepuko inaokoa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

    Sio michepuko stress๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  7. Mwana-kulitafuta, mwana-kulipata: Namna ambavyo michepuko huchipua

    Huu ndio mfano halisi wa kile ambacho kinatokea ndani ya nyumba nyingi! Natumaini wa kujifunza mtajifunza jambo ๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ!!! cariha Rebeca 83 Wangari Maathai Espy Karma Saint Anne financial services muite na wenzenu
  8. B

    Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

    Habari za muda huu wadau, Nimekuja na kichwa hichi Cha habari, kutokana na juzi Kati tulikuwa na washkaji Kama wanne hivi wote tupo kwenye ndoa, kasoro mmoja wetu, single boi. Tukajikuta katika mada ya kushare changamoto za ndoa zetu kila mtu kwa muda wake, Katika kushare experience hizo...
  9. Mapenzi ya umbali mrefu ni heri muijue michepuko yenu kuliko kufichana na kudanganyana

    Kuna haya mahusiano ya umbali mrefu unakuta mwanaume yupo Arusha na mwanamke yupo moro Aidha ni kwasababu ya kazi, biashara, n.k, hivyo kupelekea kutoonana kwa muda mrefu japo mawasiliano yapo. Nasikitika navyoona wengi wanavyodanganyana kama watoto, kila moja anamdanganya mwenzake yeye hana...
  10. Mpango wa kando wa zamani wa Aliko Dangote waweka mambo hadharani; kimada wa sasa akanusha

    Katika mambo yaliyotrend siku ya mwisho wa mwaka 2020 ni suala la mchepuko wa Mwafrika tajiri kuliko wote, Aliko Dangote kuweka hadharani mahusiano yao akidai moyo wake kuvunjwa katika vipande 1,000. Katika ukurasa wake, mwanadada wa kimarekani Bea Lewis ambaye ni mmiliki wa mgahawa, alieleza...
  11. Mbeya: Mwanamke achomwa kisu shingoni baada ya ugomvi wa kutoleana siri za michepuko kwa jamii

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia SALOME BUYA [23] Mkazi wa Mnazi kwa Ndomba wilayani Mbarali kwa tuhuma za kumjeruhi vibaya sehemu ya shingoni TABIA ABDALAH [38] Mkazi wa Msesule. Tukio hili limetokea mnamo tarehe 06.10.2020 majira ya saa 18:00 jioni huko Kijiji cha Mnazi, Kata ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ