Hili ni tatizo kubwa sana ila wanaume wengi wamekuwa waoga kuweka wazi, unamkuta jamaa ni pande la jitu lakini room anaenda mwezi hapewi show, kuyaweka mambo haya wazi ni kitu ambacho kwa tamaduni zetu za kiafrika ni stigma, ni sawa na kulalamika mke wako anakupiga, utachekwa.
Lakini ukweli...
Ukisikia ule msemo kua nakupemda wewe na huyo mke wako ndio unatumika hapa sasa
Wasanii gach na yammtzy wamefikishana polisi sababu kubwa kugombania bwana ambae ni mume wa mtu mwiz wa kwanza alikua ni gach mwiz akaibia na yamm mwiz wa kwanza akaemda polis kushtaki vijana tutafute hepa...
Pamoja na kwamba tunaburudika na kuondoa stress za familia kwenye michepuko(nje ya ndoa) bado michepuko huwa ni msaada sana kwenye majanga au mahali ambapo unahitajika msaada wa haraka wake zetu/wanafamilia huwa ni wazito sana kufika kwa wakati.
Kuna kipindi niliugua nikalazwa hospital ya mbali...
Jamani ndugu zangu naombeni mnisaidie mawazo kidogo mimi nimeoa mke mmoja na nina watoto wawili tu but katika pilika pilika za maisha nimejikuta nina michepuko miwili ambayo kiukweli naipenda sana kwanza michepuko yote tumepishana kiumri kama miaka 6 mpaka 10 hivi jambo ambalo kwa mke wangu...
Wapendwa wamiliki wa Guest House na Lodge kote nchini,
Kwa heshima zote, nyenyekevu, na kwa maumivu ambayo hayawezi kuelezwa kwa lugha ya kawaida, tunawaomba kwa moyo wa dhati MUONDOE MAGRILL MADIRISHANI!
Hili siyo ombi la kawaida. Huu ni wito wa dharura kutoka kwa sisi watu wa vishughuli vya...
Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Mhandisi Zena Ahmed Said ametoa rai kwa watumishi wa umma kubadilisha mtazamo kuhusu maisha, akisisitiza kuwa kazi, elimu na ndoa ni Ibada na hivyo vinahitaji kutekelezwa kwa moyo, weledi na nidhamu.
Mhandisi Zena ametoa kauli hiyo...
Baba ni baba tu
Baba ni kichwa cha familia, na mama ni shingo katika familia.
Kichwa kazi yake ni kuongoza, na shingo kazi yake ni kuzungusha kichwa kutazama kulia, kushoto, mbele na nyuma.
Kuwa na watoto katika familia ni jambo la muhimu sana, na linaimarisha uwepo wa uzao wako hapa duniani...
Kweli michepuko imenisaidia sana, sifa zote ziende kwao:-
Hasira za hovyo hovyo kwa bi mkubwa sina
Wivu wa hovyo hovyo sina
Simsumbui sumbui bi mkubwa kwa tendo akiwa amechoka.
Muda wote tunacheka tu kwa furaha na utani uliopitiliza.
Watoto wako bize na masomo yao
Na mimi muda wote nina furaha...
Poleni sana na hali ya ufisadi unaoendelea hapa nchini wakuu.
Niko katka hali ya kutransform kuachana na michepuko na nibaki njia salama.
Sasa bana toka mwanzoni mwa week hii nikaamua kuweka picha ya wife kama profile huko whatsapp.aisee nimeoga mvua ya matusi ya kila aina kutoka kwa baadhi ya...
Kuna familia hapa jirani Mara nyingi ilikua Ikimhisi Sana father house wao kuwa alikua na nyumba ndogo huko mtaani.
na daima familia kiujumla ililalama kuwa mzee wao alifuja kipato chake kikubwa kwakuhudumia nyumba ndogo (ambayo walikuwa wanaihisi tu kua itakuepo)
Mziki ni pale Jama amekuja...
Mara kadhaa huwa nikiboeka napita YouTube nakucheka sana visa Mikasa na kujifunza sana kuhusu hawa wanawake namna gani wasivyokuqa na shukrani na vile wanatamaa zaidi ya fisi.
Hapa chini ni kisa cha Mbaba mmoja aliyejitutumua na kumjari sana mchepuko wake.
Basi baada ya valentine kupita...
Sawa mnitukane sina hela.
Vibinti tu ya 20+ yrs.
Mmoja akawa anampa mfano wa jinsi nyumba aliyekuwa amewekwa rafiki yake na bwana yake (mme wa mtu) alitoka kapa bila ya kupata kitu baada ya huyo mwamba kufariki.
So akawa anamwambia kila kitu anachokupa kiwe katika jina lako kisheria pia...
Habari wakuu,
Mjuavyo tena, mwanaume bila michepuko ni sawa na jogoo kuishi na mtetea mmoja, kitu ambacho hakiwezekani.
Nimebahatika kuwa na michepuko kadhaa, ambao ni pisi kali; na baadhi yao nimeweza kuzaa nao kutokana na wao kutaka iwe hivyo.
Kati ya hao, yupo mmoja tu ndio huwa...
MICHEPUKO INAKUHARIBIA MAISHA NA KUKUCHAFULIA NYOTA YA KIZAZI CHAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Usijesema hili nalo sikukwambia.
Ikiwa umeoa, Mkeo anakusumbua Sana. Iwe anakunyima tendo la ndoa, au anakufanya uhisi unahitaji Mwanamke mwingine. Unanjia mbili za kufanya ili kukabiliana...
Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya Editha Andason, mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, uliopo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, aliyeuawa kwa kunyongwa kwa mtandio shingoni.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 28, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Brasius...
Ulee mke
Ulee familia
Utunze akiba
Watoto wasome medium
Etc
Bado tena mchepuko unaubeba kama mayai. Yani unaweza kuta kiatu ulichomnunulia malaya ni mara tatu ya bei ulichomnunulia mama yako mara ya mwisho na anakishona kila siku.
Alafu mkija JF mnatafuta mganga mnahisi mmerogwa maana pesa...
Lengo la ushauri huu ni kuvuka mwaka bila kua na UTI sugu, gono, kaswende au UKIMWI ambao umenusurika nao kwa sehemu kubwa sana ya mwaka huu2024, na mwaka wenyewe unaelekea kuisha hivi karibuni.
Huna haja ya kunishukuru, ni muhimu sana kumshukuru Mungu kwa kila jambo kwa mwaka mzima2024.
Aidha...
Alisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo ghafla ajali hii ikatokea...
Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.