miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Hivi jeshi wanaruhusu kupokea mtu mwenye miaka 29/30?

    Mambo yanakwendaje wadau kwa mtu ambae tiyari ni degree holder na ana passion ya kwenda jeshi ni umri gani wa juu wa mwisho jeshi Lina chukua recruit! Na kama huna cheti cha Jkt je mafunzo ya Jwtz? Unaweza ruhusiwa kujiunga?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kumpa mtu miaka mitano akuongoze ni kumuamini pakubwa

    Wa Tanzania wenzangu tunajipanga kwa uchaguzi mkuu ifikapo October 2025 wana siasa sasa wanajipanga kuchukua nafasi. Walio nje wanajitahidi kurejea ndani. Walio ndani wanajipanga kubakia kwenye viti vyao. Sasa wabunge wetu waliopotea majimboni wataanza kurejea majimboni...
  3. JamiiForums Tanzania Pep Guardiola aachana na mkewe baada ya miaka zaidi ya 30 kuwa pamoja

    Baada ya miaka 30 pamoja, na watoto 3, Pep Guardiola na Cristina Serra wanaonekana kutengana. 💔 == Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30. Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manchester City...
  4. JamiiForums Tanzania Lifespan ya bati za kuezeka majumbani ni miaka mingapi?

    Wakuu kwanza je hizi bati za kizalendo za kuezekea majumbani zina-expire? na kama jibu ni ndio, Je zina-expire baada ya miaka mingapi?
  5. JamiiForums Tanzania Mpangaji aliyeishi Chumba cha giza kwa miaka Nane ili kufanikisha malengo yake

    Hii ni true story ya mpangaji wa bibi yangu pale ilala kota,naandika uzi huu kama hamasa kwa wapambanaji wote kwamba ukiweka malengo na kuishi nayo hakika utafika pale unapotaka kufika Mpangaji huyu na mume wake walikuwa ni miongoni mwa wapangaji kadhaa pale kwa bibi yangu,pamoja na kwamba...
  6. JamiiForums Tanzania Sasa hivi kupita mkesha/sikukuu bila ngumi imekuwa kawaida sana kitu ambacho miaka hiyo ilikuwa ni Nadra mno

    Sijui ni kwamba watu wameokoka sana hata sielewi kabisa.Miaka ya nyuma mkienda kwenye mkesha ama sikukuu ilikuwa ni lazima ushuhudie ngumi za wanaume zikipigwa katikati ya senta . Haikuwa sio ajabu kuona wala kusikia kuwa akina J n p jana walizipiga kwenye mkesha.Ni miaka sasa imepita bila...
  7. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka sita anagoma kwenda shule. Nini kifanyike?

    Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho Walimu wakajua tunamdekeza...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo kufanya mipango ya miaka 25 bila mawazo ya Diaspora ni kutoangalia mbali

    Kuna diaspora wengi wasomi, wafanyabiashara, na wafanyakazi wenye uzoefu mkubwa ambao wangetoa mawazo bora kwa maendeleo. Badala ya kutegemea wasomi wa aina ya Mkumbo wanaokariri, ni muhimu kuomba mawazo ya diaspora kwa manufaa ya umma na kuyachanganya na fikra nyingine. Hawa diaspora...
  9. JamiiForums Tanzania Nigeria: Aliyemtukana Mungu ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani

    Mwanaume asiyeamini kuwa Mungu yupo kutoka nchini Nigeria, Mubarak Bala (40) ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani kwa tuhuma za kumtukana Mungu kupitia Facebook mwaka 2020. Mubarak alikamatwa Aprili 28, 2020, kwa tuhuma za kukufuru dini na uchochezi kutokana na...
  10. JamiiForums Tanzania Josua alikua msaidizi wa Musa kwa Miaka 40+. Lissu miakamitano tu kashautaka ukuu

    Wale wasoma maandiko mnaelewaje hii?. Kwenye Biblia tunajifunza kwamba Joshua alikaa miaka zaidi ya arobaini akiwa msaidizi wa Musa ila hata siku moja hakutaka ukuu. Iweje leo Lissu ana force. Je, ameshindwa kusubiri wakati wa Mungu ufike? . Je, atashinda kweli?
  11. JamiiForums Tanzania Kikwete na Magufuli walishindwa kuingusha CHADEMA lakini Rais Samia ndani ya miaka minne ameshamaliza anachofanya ni kuinyonyoa manyoya

    Hakuna anayeamini! Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani. Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea...
  12. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameingia kwenye mahusiano na mwanamke wangu. Moyo wangu unauma sijui nifanye nini?

    Habari za muda huu, Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia. Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Adv Levino: CHADEMA Sio kituo cha kulelea Wazee kufikia miaka 68

    Anaandika Wakili wa Mahakama kuu Adv LEVINO, == Mbowe analalamika kwamba alimfadhili Tundu Lissu kwa mfuko wake hata kumnunulia gari, na kwamba alimpa hata nyumba aliyopigwa risasi pale Dodoma:* KWAHIYO....... 1. Ndo ilikuwa gharama ya kumzima Lissu awe zuzu asikemee rushwa na pesa chafu...
  14. JamiiForums Tanzania Jamii ya wahadzabe ilindwe, baada ya miaka 8 hawatokuwepo tena

    Ndani ya hii miaka miwili Kuna muingiliano mkubwa sana wa jamii wa watu wa hadza na watu wa ulimwengu wa kwanza kitu ambacho binafsi naona kama kitachangia sana kuharibu mfumo wa mzuri wa kiasili waliouzoea kuishi na kuondoa kabisa ule utambulishi wao kama wahadzabe Wageni wengi wanaokuja...
  15. JamiiForums Tanzania Mliowahi kushonewa seat covers na Safari au Azam Upholstery: Vipi Quality ya seat baada ya miaka 3-5 ipoje?

    Safari na Azam Upholstery ni moja kati ya malegendary wachache hapa Bongo kwenye issue ya seat covers na car's interior decorations. Kazi zao zinavutia sana zikiwa mpya. Sasa nataka mtu mwenye shuhuda baada ya miaka mitatu hadi mitano ya matumizi quality yake inasimamaje? Ukichukulia gharama...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Uchaguzi kila baada ya miaka mitano ndiyo uomo wa madaraka

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa katiba ya chama hicho uchaguzi kila baada ya miaka mitano ndio ukomo wa madaraka. Mbowe aliyeiongoza Chadema kwa miaka 20 tangu 2004, ameyasema hayo jana Desemba 3, 2025 katika mahojiano na Crown Media jijini Dar es Salaam. “Katika...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Lissu na wewe toka miaka 20 inatosha waachie Vijana

    Nyani haoni.. . Na wewe inatosha toka waingie wengine. Isiwe kwa mwenyekiti tu hata kuwa kwenye Kamati hizi, 5 yrs inatosha. Na wewe toka
  18. JamiiForums Tanzania Watu waliozaliwa miaka ya 80s ndo hawa walikuwa wazinzi sana na leo watoto wao wanapita mule mule , karma is real.

    Niliwaambia miaka ile kuwa acheni uzinzi mkawa mnashupaza shingo. Mmchezea Sana watoto wa watu na kuwaharibia maisha n.k Sasa tazameni watoto wenu wa 15-18+ ni hatari Sana Hiyo ni karma hamna uchawi. Eti mtu Ana miaka 35 tayari Ana mjukuu ni hatari Sana MTU Ana 40 tayari Ana wajukuu watatu
  19. JamiiForums Tanzania Askari wa pale Posta mjini achoka kusimama baada ya miaka mingi, aamua kukaa 2025

    Chanzo Global Tv Online 🤣🤣🤣🤣
  20. M

    JamiiForums Tanzania ARIDHI NI MTAJI HAKIKA.

    kabla sijafikisha miaka 35 nataka nimiliki plot /viwanja/mashamba kwenye kila mkoa Tanzania Bara, Mungu anitangulie kwenye hili jambo, nimebaini utajiri wa kizazi kijacho upo katika aridhi, usipomiliki aridhi baada ya miaka 20 hali itakuwa mbaya sana, Aridhi inaenda kuwa dili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…