miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna hii Point ya TEC "Kanisa Lina uzoefu wa miaka mingi wa Kuishi na Serikali tofauti tofauti "... Kitima akasema 'Alikuwepo HITLER'

    Aione Samia Aione Wambura Aione Mombo Aione Abdul ,Mafwele, Kizigha, na genge lao lote. KAMWE ,HAMNA SERIKALI CHINI YA JUA ITAKAYOYUMBISHA KANISA !!..
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kijana wa miaka 14 ajinyonga baada ya kulawitiwa na waliomchukua Oktoba29

    Mtoto wa miaka 14 kutoka kijiji cha Arusha ameripotiwa kujinyonga baada ya madai ya kuingiliwa kinyume na maumbile na askari waliomchukua Oktoba 29. Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia, kijana huyo alipatikana tarehe 4 akiwa ameumizwa vibaya, mwili ukiwa na makovu na kuvimba. Hali yake iliwatia...
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti: Utu uzima huanzia miaka 32

    Utafiti wa Cambridge umebaini jinsi ubongo unavyokua kutoka utotoni hadi uzeeni, ukiorodhesha “hatua” tano tofauti za ukuaji na mabadiliko manne makubwa katika umri wa miaka ya 9, 32, 66 na 83. Ukipinga wazo kwamba utu uzima huanza kabla ya miaka ishirini au ishirini na zaidi, wanasayansi...
  4. JamiiForums Tanzania Johann Carl Friedrich Gauss - Mtoto wa miaka 7 aliyetengeneza equation baada ya mwalimu kutoa Kazi ya kuwa-keep Busy Wanafunzi

    Wanasema wengi waliona Tofaa linaanguka ila mmoja (wachache ndio waliuliza kwanini) - Ingawa hizi story huwa zina chumvi nyingi na uongo wa hapa na pale lakini hii ya Gauss inafurahisha Katika miaka ya 1780 mwalimu wa shule huko Ujerumani ili wanafunzi wake wakae kimya kwa muda wa kama nusu saa...
  5. JamiiForums Tanzania Wapelestina zaidi ya 70,000 wameuwawa gaza kwa miaka lakini watanzania wameuwawa October 29 zaidi ya 10k kwa siku tatu sasa piga hapo kwa mwaka mmoja

    Wapalestina zaidi ya 70,000 wameuwawa gaza kwa miaka lakini watanzania wameuwawa October 29 zaidi ya 10k kwa siku tatu sasa piga hapo kwa mwaka mmoja. Viongozi wajinga wanauwa taifa letu. ni zaidi ya vita vya israel na Palestina
  6. JamiiForums Tanzania Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus maarufu sana zilizokuwa zikijulikana kama Meridian, vipi kampuni ipo bado?

    Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus za Meridiani, vipi kampuni bado ipo? Hawa jamaa Meridian walikuwa maarufu sana wakishindana na Dar Express, safari zao zilikuwa Dar es Salaam to Kilimanjaro & Arusha Zamani bila kupanda bus hizo ulikuwa hujioni matawi ya juu Dar Express nawaona...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa itajitenga na Kenya kwenye miaka ya mbeleni

    Katika hali iso ya kawaida kuna movement ilioanza toka mwaka 2011 ya mombasa kujitenga na kenya kua nchi inaojitegemea, baadhi ya watu hawafurahii kuwepo kwa nchi moja ambayo Mombasa ipo ndan yake kutokana na sababu nyingi sana lakini kuu ni siasa za nairobi kutoshabiana na uhalisia wa aina ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Picha za Kihistoria ya "Pamoja Tunasafiri, Urafiki Wetu Unadumu” Yasawiri uhusiano wa Miaka 65 wa Somalia na China

    Uhusiano kati ya Somalia na China ulioanza tangu enzi na dahari sasa unaendelea kukita mizizi yake zaidi kwenye nchi hizi mbili. Kupitia maonesho ya picha yaliyozinduliwa hivi karibuni na balozi wa Somalia nchini China Hodan Osman Abdi ambayo yamepewa jina la "Pamoja Tunasafiri, Urafiki Wetu...
  9. JamiiForums Tanzania Tumeshindwa kumtumia 'Super Black' wetu kwa miaka 10 tufanikiwe, acha Wao sasa wamtumie 'Skafu Skafu' wapige hatua zaidi yetu

    Na ndiyo maana nilifurahi mno kuona Super Black kachezewa mchezo alikokuwa na sasa hayuko kwani hakutusaidia.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mwanazuoni wa historia Tanzania apongeza mpango wa 15 wa maendeleo ya miaka 5 wa China

    Hivi karibuni mkutano wa 4 wa wajumbe wote wa kamati kuu ya 20 ya chama cha kikomunisti cha China ulifanyika mjini Beijing, na kupitisha mpango wa 15 wa maendeleo ya miaka mitano (2026-2030). Pamoja na mambo mengine mpango huo una malengo manne makubwa, ambayo ni kuhimiza ongezeko la uchumi na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Acheni propaganda za miaka ya 1900

    Polisi Tanzania, kwenye bomu la kurusha kitu muhimu kuliko vyote ni Fuse. CIA wakitaka kuleta mabomu kwa ajili ya kuanzisha vita hawawezi kuleti bomu iliyonganishwa lote, Wataanza kuleta components moja moja, mfano hizo fuse zitakuja kama vyuma chakavu. Wakileta fuse, vijana watamaliza kazi...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano TCRA, ruhusuni JamiiForums kwasababu kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika kupitia habari

    Maendeleo makubwa hayawezi kuja pasipo kufahamu changamoto zinazozuia mafanikio JamiiForums kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika hasa katika maswala yanayoigusa jamii kwa ujumla kupitia habari, jambo lililokuwa likisaidia Serikali kuona changamoto za Wananchi wake na kutatua...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Damu za watanganyika zitalipwa tu, haitajali ni miaka mingapi. Kisasi chetu ni lazima, Samia achia madaraka, na Abdul jisalimishe

    Kila mahali kwenye vikundi vya whatsapp, kuna vilio vimetanda, kila familia imepoteza angalau mtu mmoja kama siyo zaidi ya moja. Wengine wamepoteza watoto wawili, wengine familia nzima imepigwa risasi, wengine mama na mtoto mdogo wa miaka wa miaka 2 wamepigwa risasi vichwani bila sababu.....Hao...
  14. JamiiForums Tanzania Ndoa miaka 11 naomba ushauri

    Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe. Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba niseme alikuwa mwenyewe na mtoto wa miaka 2 mwanaume wake alimkimbia, sasa baada ya hapo mwanaume...
  15. JamiiForums Tanzania Leo radi zinapiga sana, Mwanangu wa Miaka 3 nimefurahi aliponiuliza kama ni mabomu

    Nawashukuru sana Polisi kwa kupiga mabomu na Risasi. Sasa sijui mtatutisha na nini tena. Kama Mabomu mumepiga hadi mkachoka, yakawaishia mkaanza tumia risasi.. Maji ya kuwasha tumewashwa sana. Mwanangu sasa hata Mlio wa mabomu haogopi tena. Kabla alikuwa anasikia radi tu anaanza kulia...
  16. JamiiForums Tanzania I had a second dream, nimeota tena tukichelewa tunaweza kuchukua miaka kuliponya Taifa

    Ni asubuhi tena iliojaa ndoto mithili ya uhalisia sijui kama naota au nilichokuwa naona ni uhalisia wa tukio bado najiuliza hadi asubuhi hii ya leo nimeota tena kuna kundi la watu vijana kwa wazee wa makamo wakiwa kwenye harakati nzito kana kwamba ni vurugu zilizo anza watu hawa hawasikii...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Sisi vijana wa Nyerere tunafahamu maana ya Kufanya regime change kila baada ya miaka 10

    Iwe ndani ya CCM, au kwa Tanzania yote miaka 10 lazima Oil chafu imwage, hata kwa mbinu za Kivita. Wana CCM anzeni sasa kutoka, kukiokoa chama chenu kutoka mikomononi mwa wana mtandao ¡Hasta la victoria siempre!
  18. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye : Binam Nyama ya hamu mwisho ni miaka mingapi?

    Wajuvi na wanumbi naombeni maelekezo yenu. Uzi tayari
  19. JamiiForums Tanzania Ni aibu mtanganyika kumshabikia SSH aongezwe miaka ya urais, Zanzibar inaneemeka, Tanganyika hoi

    Tanganyika imefifia na itazidi kufifia. Ndani ya miaka hii minne ,Zanzibar imepiga hatua zaidi kwa mgongo wa Tanganyika Maisha ya watanganyika yamejaa hofu, ajira hewa, hospitali gharama zipo juu ukihojo hoji sana unapotezwa hadharani. Jitafakari wewe mtanganyika unayemshabikia mzanzibari...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaumia sana kama mgombea urais Samia Suluhu akishinda na kutuongoza kwa miaka mitano ijayo

    Nimeamka na mawazo mengi sana juu yahombea huyu iwapo atshinda uchahuzi mkuu wa 2025 na kupata idhini yakutuongoza mpaka 2030 Nimekuwa nikisikiliza kampeni zake lakini zimekuwa hazina hoja wala mashiko SIONI NURU KABISA MUNGU IBARIKI TANZANIA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…