This article lists the major characters from the manga series Fushigi Yûgi, its anime adaptation, and the prequels Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden and Fushigi Yûgi: Byakko Senki.
Nawakumbusha tu wote nyie namimi ndani ya miongo hii miwili tutaoza na kuwa mifupa kuna miongoni mwetu/ mwenu mwaka huu mtaiacha dunia. Usiku mwema MAREHEMU.
Unaweza kuoa mama mwenye mtoto wa mwaka mmoja, halafu miaka 20 baadaye mtoto anakuambia: "Wewe si baba yangu" 🙄😏😏.
Mnaotaka kuoa singo maza kaujumbe hakoo
Japo siyo wote ....
Unakumbuka nini, tukio gani kila ukilikumbuka unaishia kucheka?
Vipi JF imekuletea michongo gani na connection ipi!
Umewahi kubahatika kuonana na member yoyote nje JF?
Unahisi miaka ya sahivi na miaka ile kuna utofauti gani hapa jukwaani.
Ulikuwa wapi kipindi kile ofisi za JF zinapigwa msako...
Tafiti iliyofanywa na Taasisi ya Mahusiano na Unyumba imebaini kuwa ni 1% tu ya wasichana hufika miaka 20 wakiwa bado hawajawahi kufanya mapenzi.
Sababu zikidaiwa kuwa ni :-
1. Kushindwa kuhimili vishawishi.
Mtoto wa kike huanza kutamaniwa na kuanza kushawishiwa kufanya ngono mara tu anapoanza...
Septemba 2017, mwanamke Laura Mesi, mwalimu wa mazoezi ya viungo wa Italia mwenye umri wa miaka 40, alifanya jambo ambalo lilivutia dunia: alijioa yeye mwenyewe kwenye sherehe ya harusi kamili, akivaa nguo nyeupe, akiwa na wapambe wa harusi na wageni 70 walioungana kusherehekea pamoja naye...
Mwaka 2006 ni kama juzi tu wakuu. Ila ndio miaka 20 imepita,haya ni baadhi ya matukio yaliyotokea 2006 na sasa yana miaka 20.
Juma Akukweti akiwa Waziri anafariki baada ya kuanguka na ndege huko Mbeya baada ya kuwasagia kunguni wafanyabiashara ndogondogo.
Ubungo mataa kunapigwa tukio la...
Tupeane matukio na Kuona namna ya kuhakikisha zinadumu daima mpaka kuzikana.
Binafsi Nina miaka zaidi ya 20 kwenye ndoa na Nina 45yrs. Nina watoto kadhaa. Kyra, vivi na shaykee
Kuna muda naona kama wife ananidharau sabb ninachalala. Kama mjuavyo mwanamke ni pesa bila kuwa na pesa atakudharau...
Huyu Prime Minister wa Ethiopia sio poa aisee. Leo nilikuwa naangalia hii video inaonesha jinsi Addis Ababa inavyokua kwa kasi in just short time
Watu wanahamishwa uswazi wanapelekwa kwenye makazi bora, wanaongeza viwanda na uwekezaji kila kona, wanapanda miti everywhere, maghorofa yanajengwa...
Jitu limeua watu kibao, leo eti kifungo miaka 20. Huu ni utani! Ilibidi anyongwe maana ameua wanadamu wengi Darfur!
Kwahiyo na huyu wa kule Visiwa vya Indonesia atahukumiwa miaka 20 na mauaji ya zaidi ya watu 10,000 aliowaua majumbani!!!
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi.
Wasira alieleza hayo jana, wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na...
Mna wanachama wengi sana, watu wenye miaka 20 bungeni watachaguliwa tena kwa rushwa na sio kwa kupendwa na watu. Kama hakufanya kitu kwa miaka 20 hatafanya kitu tena, atafanyakazi kwa mazoea tu.
Hawa watalichelewesha taifa kwakuwa wanategemea rushwa kupita sio sifa za kutenda kazi
Mahakama nchini Chad imemhukumu kiongozi wa upinzani na waziri mkuu wa zamani, Succes Masra, kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuchochea vurugu za kikabila zilizogharimu maisha ya zaidi ya watu 40 kusini-magharibi mwa nchi hiyo mwezi Mei
idara maalum cha makosa ya...
Wakuu,
Kuna huyu mwanaume huko nchini mwaka 1997 alimnunia mkewe kwa takriban miaka 20 baada ya mwanamke wake kupata mtoto wa kwanza na kisha kumsahau kabisa mumewe baada ya kuhamishia mapenzi yote kwa watoto.
Katika mnuno huo, huyo mwanaume ambayo ambaye jina lake ni Otou Kattayama alikuwa...
Ezbon Mujuni (28) mkazi wa kijiji cha Bunazi Wilaya ya Missenyi Mkoa wa Kagera amehukumiwa kwenda jela miaka 20 kwa kosa la kuchimba na kuiba nguzo 3 za umeme na nyaya zenye thamani ya Tsh. 11,536,357
Mshtakiwa alitenda kosa hilo Julai 21, 2024 katika kijiji cha Nyakahama Wilaya ya Muleba...
coscated uliniita. Acha nikupe ushauri kabla sijarudi chimbo. Bikra ndio nembo ya tabia njema ya mwanamke. Ukipata binti wa miaka 20 kuendelea mwenye bikra huyo ni Wife material, muoe.
Kelele za mahusiano utazisikia kwa wengine.
Bikra Matter
Sasa ndugu zanguni, mimi ni mtu mzima kabisa, nina miaka 40. Nilianza shughuli za watu wazima nikiwa na miaka 20, nikawa mfuatiliaji mzuri wa mambo ya "unyama wa mwituni", kwa lugha nyepesi—tulianza kupiga mpira miguuni bila viatu. 😂
Katika miaka hii 20 ya utafiti wa "mambo ya ndani", nimepita...
Mahakama ya Wilaya Temeke Mkoa wa Dar es Salaam, Mei 29, 2025 imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela kwa mtuhumiwa Dotto Adinani Makando mwenye umri wa Miaka 34, Mkazi wa Yombo Kilakala baada ya kupatikana na hatia ya kosa la shambulio la aibu ambapo alimfanyia mwanafunzi wake wa kiume...
Mahakama ya Ufaransa imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Joel Le Scouarnec ambaye ni Daktari bingwa wa upasuaji ambaye alikiri Kuwanyanyasa kingono wagonjwa na kubaka wagonjwa 229, wengi wao wakiwa watoto, kwa zaidi ya miongo miwili.
Kesi hiyo iliyodumu kwa miezi mitatu ya Joel Le Scouarnec...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.