Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,457
Binafsi mimi siyo mhaya wala mchaga ila nimeona nyuzi nyingi sana wanakosoana na kutaniana. Jambo la kushangaza zaidi hata kama uzi unahusu mambo mengine akitangulia mhaya kutoa maoni yake ujue lazima mchaga aje kukosoa, mchaga akisema hivi mhaya atakuja kupinga.

Mimi nauliza naomba kujua hasa mabishano haya yanatokea sana mwisho wa mwaka

Boss REDEEMER. luambo makiadi najua nyie mtakuwa wachaga kwanini mnakosoa sana wahaya kuliko makabila mengine?

Wazee wa Katerero instanbul na @Greet haya kwanini hamuoni makabila mengine kama sisi wazaramo mtutanie? Tatizo ni elimu, maendeleo au ni watani wa jadi? Na huo utani umeanza lini?

Ufafanuzi tafadhali, mimi ni mwamuzi
 
Shida inakuja pale mhaya anapojilinganisha na mchaga kimaendeleo na kielimu ndo ugomvi unaanzia hapo.

Wahaya bado bado sana labda kwenye utapeli wanatuzidi
Aaaah bwashee unachemka sio mchaga, wala mnyakyusa au msukuma anayeweza kumfikia muhaya kwa elimu,wahaya swala la elimu lipo ndani use DNA,kusoma Sana kwao no hulka, ipo ndaniiiiii,
Kasome historia Mjerumani mwenyewe alikili haya people are the moat inteligent in East and Central Afrika.
 
Hakuna kushikana jamani,na maneno makali hayatakiwa naendelea kuchuja. Kumbe elimu mhaya yuko juu! Ndio mana kuna maprofesa wengi sana toka BK
 
Aaaah bwashee unachemka sio mchaga, wala mnyakyusa au msukuma anayeweza kumfikia muhaya kwa elimu,wahaya swala la elimu lipo ndani use DNA,kusoma Sana kwao no hulka, ipo ndaniiiiii,
Kasome historia Mjerumani mwenyewe alikili haya people are the moat inteligent in East and Central Afrika.
Hii mkuu nakubaliana nayo,vip maendeleo uhayani huko mana sijafika ila nilipitaga Moshi tu
 
Back
Top Bottom