YEYOTE ANAWEZA KUWA MHALIFU.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Nimemsikiliza Kamanda Siro Kwa umakini mkubwa, nikaona nami nitoe machache haya Kwa ajili ya kujifunza Kwa wapenda kujifunza, andiko hili halitamlenga yeyote, isipokuwa ni andiko linaloweza kumlenga yeyote aliye mwanadamu, iwe Mimi...