mgonjwa

  1. V

    JamiiForums Tanzania Mwananchi aliyesafri kwenda Dodoma kwa mgonjwa akitokea Singida atapeliwa na wasajili laini wa Mitandao ya simu

    Wakuu kama mtakumbuka mwezi mmoja uliopita niliandika Mada kuhusu wasajili lain za simu wanavyotapeli Watanzania wenzetu. Sina mengi naomba uchukue Muda kidgo sikiliza audio hapo chini
  2. JamiiForums Tanzania Mikocheni: Wananchi wenye munkari wampiga mpaka kufa mlemavu wa akili baada ya kuwashambulia wapita njia

    Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyomithilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hicho kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la...
  3. JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa 14 apona Selimundu Hospitali ya Benjamin Mkapa

    Haya ni maendeleo makubwa katika sekta ya Afya. Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imemuaga Faith Mwinula (9), ambaye ni mtoto wa kumi na nne kupona ugonjwa wa selimundu baada ya kupandikizwa uloto. Ugonjwa wa Selimundu ni ugonjwa wa kuzaliwa nao kutokana na kuurithi kutoka kwa wazazi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Je, mchuzi wa maharage unafaa kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Wakuu naombeni majibu hivi mtu mwenye vidonda vya tumbo mchuzi wa maharage unamasihara kwake maana wife Hadi namuonea huruma anateseka sana mboga ya kulia wali maana anakula wali mkavu na ndizi tu
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaripoti Kisa cha pili cha Mgonjwa wa MPOX

    Wizara ya Afya imethibitisha kisa cha pili cha Mpox katika kituo cha mpakani cha Malaba katika Kaunti ya Busia. Katika taarifa yake siku ya Ijumaa, Katibu wa Baraza la Mawaziri la Afya Dkt. Deborah Barasa alitangaza kwamba mtu husika, dereva wa lori mwanamume mwenye historia ya kusafiri hadi...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi njegere na mbaazi zinafaa mgonjwa wa vidonda vya tumbo

    kichwa Cha habari
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy : Wagonjwa wasitozwe gharama za posho ya dereva wala muuguzi ambao usindikiza mgonjwa na ambulance

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amekemea na kuwaonya viongozi wa Hospitali nchini ambazo zina magari ya kubebea wagonjwa (ambulance) wenye tabia ya kutoza wagonjwa au ndugu zao malipo ya posho ya dereva pamoja na mtaalamu ambaye uhusika katika safari. Amesema kwamba ni marufuku kwa hospitali zote...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nina mgonjwa nahitaji kwenda India naomba connection

    Wakuu Nina mgonjwa anatakiwa operation ya ziwa, naomba nisaidieni agency contact au watu wanaohusika na matibabu ya kwenda India. Natanguliza shukrani za dhati kabisa kwa waungwana. God Bless You.
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo Jumuishi wa kieletronic wa kuhuisha taarifa za mgonjwa

    CHANGAMOTO. 1: Ukosefu wa taarifa za mngonjwa pale anapona tibiwa hospital mbili tofauti kwa wakati tofauti. 2: Kutokea kwa makosa ya kimatibabu kutokana na ukosefu wa taarifa za mngonjwa. 3: Kupelekea madaktari kuanza huduma upya pale wanapokosa taarifa za mngonjwa. 4: Kupelekea mngonjwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona kwa rafiki yangu mwenye dada mgonjwa wa akili. Ni mtihani mzito kusema kweli

    Miaka kadhaa nyuma nilipata kuishi kwenye familia ya rafiki yangu mkazi wa Dar es salaam. Rafiki yangu huyo kwa miaka yote toka tumefahamiana alikua amenieleza ana dada yake mkubwa (kwa sasa ana miaka 40+ dada yake) mwenye matatizo ya akili. Sikua nimewahi kumuona mpaka nilipoishi kwa wiki nzima...
  11. JamiiForums Tanzania Sitosahau mwaka juzi Amana hospitali walipokataa kumuhudumia mgonjwa wangu kisa sina pesa ya kipimo cha CT scan (150,000)

    Mara nyingi hili tukio huwa linanijia kichwani. Sidhani kama nitaisahau Ile siku. Mgonjwa alikuwa baba yangu mzazi. Ni mtu mzima sana Kwa mwaka huo alikuwa na miaka 90+. Alikuwa na hali mbaya sana kiasi kwamba hata kuongea alikuwa hawezi. Hata kuinua tu mkono hakuwa na nguvu hiyo. Hospitali...
  12. X

    JamiiForums Tanzania ChinaTech: Timu ya madaktari wa China wafanya upasuaji wa kwanza duniani kwa mgonjwa aliye Beijing, China wakiwa Rome, Italy(km 8100) wakitumia roboti

    China, marking the longest-distance remote robotic surgery on humans. The world's first transcontinental live telesurgery Huenda ikakushangaza na ukajiuliza wamewezaje? Huu ndio upasuaji wa kwanza kufanywa duniani madaktari wakiwa bara lingine na mgonjwa akiwa bara lingine. Huu ni mfumo wa...
  13. JamiiForums Tanzania Je njegere zinafaa mgonjwa wa vidonda vya tumbo

    Wadau naombeni ushauri he njegere zinafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo Kwa wanaojua msaada
  14. JamiiForums Tanzania Zipi hatua za kisheria za kuchukua juu ya hospitali kwa uzembe kwa mgonjwa

    Kwanza, niwapongeze Wahudumu wa afya wenye moyo wa dhati na wanaozingatia taaluma na uadilifu kuhudumia wateja wao. Nakiri maisha ya wengi ikiwemo mimi binafsi yana mchango wa wahudumu wa afya. Hata hivyo, nimekutana na matukio kadhaa ya makosa ya uzembe wa wazi wa baadhi ya wahudumu wa afya...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nesi aliyempokea Lissu Hospitalini anadai kuwa Antony Mtaka alimtukana 'Fala wewe' na akamuweka mahabusu siku tatu wakati ni Mgonjwa

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeendelea kuisikiliza video ya muuguzi aliyedai kuwa ni miongoni mwa wauguzi waliompokea Lissu hospitalini siku alipokimbiziwa hapo baada ya kushambuliwa kwa Risasi na watu wasiojulikana 2017. Ambapo katika mazungumzo hayo na Lissu muuguzi huyo ambaye anadai...
  16. JamiiForums Tanzania Hospitali inapomwambia Mwanachama wa NHIF Dawa fulani haipatikani kwenye Bima, Mgonjwa anathibitishaje kwamba ni kweli?

    Baada ya misukosuko ya Serikali na Hospitali binafsi kwenye Huduma za Afya kwa Wanachama wa Bima ya Taifa ya NHIF kuna kama utaratibu umeibuka wa kunyimwa baadhi ya Dawa kwa kigezo kwamba hazipatikani kwenye Bima Sasa Me natamani kufahamu Hospitali wanaponiambia Dawa fulani siwezi kuipata kwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa NHIF kumtaka mgonjwa akapate Rufaa toka Hospitali za Wilaya ni kero

    Kuna ndugu yangu amelipia kifurushi cha NHIF cha Tshs. 530,000 kwa mwaka. Hapa karibuni amepata tatizo la maumivu ya jino. Kwa vile anaishi Oysterbay, akaamua kwenda kwenye hospitali binafsi iliyo karibu ili kupata matibabu. Alivyofika hospitali, walimwambia kabla ya kupata matibabu inabidi...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

    Aliyepandikizwa figo ya nguruwe aruhusiwa Taarifa ya hospitali imesema mtu huyo alikuwa akipambana na ugonjwa wa figo na alihitaji kupandikizwa kiungo hicho, ili kuokoa maisha yake. Massachusetts. Richard Slayman (62) kutoka Massachusetts aliyepandikizwa figo iliyobadilishwa vinasaba kutoka...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Mloganzila inatumia wanafunzi (interns) kuhudumia wagonjwa mahututi, na manesi wana huduma mbaya, mnatumaliza

    Habari, Nimepoteza mtu wangu wa karibu sana siku ya jana kutoka Hospitali ya Mloganzila 😭😭😭😭😭😭😭. Hakuna daktari pale, kuna wanafunzi (interns) tu wanaotoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliye mahututi, hawana uzoefu, wanabahatisha, kauli zao zinapingana, hawajui walifanyalo. Mashine zao ni...
  20. JamiiForums Tanzania Rais mgonjwa mahututi mpaka mauti, lakini makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa!

    Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima halijulishwi chochote, makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa kimakusudi asijue chochote. Hatimaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…