mgongo

Mgongo is an administrative ward in the Iramba district of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 13,041.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dada yangu anasumbuliwa na kubanwa na pumzi na maumivu ya mbavu au mgongo

    Habari wanajukwaa hili la Afya. Nina dada ambaye anasumbuliwa sana na hali ya kubanwa na pumzi na kushindwa kuongea. Mara ya kwanza alinitumia sms kuwa halu yake ni mbaya anashindwa kupumua na anahisi kunakitu kinatembea toka kifuani hadi mgongoni. Hali hii ilikuja kutulia baada ya nusu saa. Leo...
  2. JamiiForums Tanzania Harmonize aendelea kutumia mgongo wa Wasafi ku-survive kwenye game

    Bado anaendelea kutoa video akiwa-tag wababe wa muziki wa bongo WCB ili iwe rahisi kuwafikia watu wengi. Kiukweli kufanya muziki bongo bila support ya WCB hauwezi kutoboa.
  3. JamiiForums Tanzania Waliotaka kutupiga kwa mgongo wa mgao wa umeme wameona aibu?

    Mwezi uliopita baada taifa letu kupata taarifa kuwa kuna upungufu wa umeme kiasi cha Mw 345 taifa letu liliwekwa tayari kwa ajili ya kuanza kuzalisha umeme kwa njia mbadala badala ya maji. Kila Mtanzania alijua wazi kuwa sasa mambo ya IPTL, Dowans na Richmond yanarudi na waTz walishajua wakati...
  4. JamiiForums Tanzania Visent Kigosi (Ray) Nyota yake ilikuwa inazunguka kwa Mgongo wa Kanumba. Kifo cha Kanumba kimeleta shida sana kwake

    Wana JF Ukisikia nyota kung'aa huwa ina msukumo wa dodoki, hii imetokea mwigizaji nguli Ray ambaye akiweka sana miaka 8 iliyopita kwa mgongo wa Kanumba, ambaye alitokea kupanda sana kutokana na juhudi zake za kukonga roho za watu kutokana na umahili wa kuigiza nyanja zote. Msindani wake...
  5. JamiiForums Tanzania UTI wa mgongo wa wamtesa Sabaya, kesi yake yaahirishwa tena

    Mahakama ya hakimu mkazi Arusha imeahirisha kwa mara nyingine shauri la uhujumu Uchumi linalomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Lengai ole Sabaya na wenzake sita baada ya mshitakiwa Sabaya kuendelea kuwa mgonjwa. Jana Novemba 3 mwaka huu mahakama hiyo iliahirisha shauri...
  6. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yawatahadharisha Watanzania kuhusu ugonjwa wa Homa ya Uti wa Mgongo

    Watanzania wametakiwa kuchukua tahadhari kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo ulijitokeza katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC). Kwa mujibu wa Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt.Aifelo Sichwale amesema ugonjwa huo wa mlipuko husababishwa na bakteria wanaojulikana kama...
  7. JamiiForums Tanzania MwanaSport acheni kujificha kwenye mgongo wa mashabiki wa Simba Sc

    Mashabiki wa Simba ndio sisi hatukuwahi kulalamika popote kwamba kwa nini hamrushi habari za Simba Sc ikiwa kambini. Kwanza tunapongeza uongozi kwa kutoruhusu waandishi kambini. Huu ni utaratibu mzuri. Kambini timu inaweka mikakati,mbinu za kutoboa. Simba Sc ilikuwa inaendelea na zoezi la...
  8. JamiiForums Tanzania Fahamu madhara ya kukaa kitako na Wallet yako ikiwa mfuko wa nyuma

    Wazee wa Pochi NENE mpo? Wavulana wengi wana tabia ya kuweka mkoba (WALLET) yenye inchi nusu au zaidi ikitegemeana na wingi wa vitu vilivyopo kwenye mkoba huo kwenye mfuko wao wa nyuma wa nyonga ambao unaweza kuleta maumivu ya mgongo, kiuno, misuli, mifupa na mbali zaidi kuleta madhara kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…