Bila shaka huu ni mjadala wa kikatiba zaidi na wala sio mjadala wa kiitifaki. Je, katiba inatoa masharti gani na urefu gani kuhusu likizo za Rais? Je, katiba inasemaje juu ya eda ya Rais?
Lakini kwa nini Urais wakaimishwe watu wawili badala ya mmoja kama inavyotaka katiba kuwa huyo...