Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage...
angola
baraka
hospitali
hospitali ya rufaa
jina
kabla
katika
kufanya
kupaa
mama maria nyerere
mgenimgeni rasmi
mwalimu
mwalimu nyerere
nyerere
rais
rais samia
rasmi
rufaa
samia
ziara
Mahali popote mbali na nyumba kutoa mkoa wako wanataratibu zao za kuishi kijamii watu wengi wanashindwa kuishi sehemu nyingine kwasababu wameshindwa kufuata taratibu za mahali huko
Iko hivi mfano Mara rorya huku hutaki kula chakula wakazi wakikuangalia hii imewashinda watumishi wengi...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 28, 2026 amewasili kuwa Mgeni Rasmi katika Kongamano la Kitaifa la Wadau wa Mazingira pamoja na maadhimisho ya miaka 40 ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) yanayofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC)...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Mazimgira Duniani yatakayofanyika jijini Dodoma Juni 5 mwaka huu.
Katika hafla hiyo, kutafanyia pia uzinduzi wa Programu ya mageuzi ya kimkakati ya Mazingira endelevu Tanzania (2026 - 2030).
Akizungumza leo na...
Katika mazingira ya elimu, mahafali si sherehe ya kawaida bali ni jukwaa la maono, msukumo na mwelekeo wa maisha ya wahitimu. Ndiyo maana uchaguzi wa mgeni rasmi hubeba uzito mkubwa kuliko inavyodhaniwa, kuna wakati viongozi waandamizi haswa mkuu wa shule pamoja na wasaidizi wake huzungusha...
Mtu yupo ndani kwake siku nzima, kama hujamzoea unaweza kuhisi kuna shida ila ukiishi hapo kwa muda mrefu unamgundua wala hana shida, haonyeshi dalili za masikitiko, ndo furaha yake,
Anapenda company lakini iwe ya muda mfupi tu, ukienda kumtembelea kaa nusu saa tembea, ukizidisha unamuona jinsi...
Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha:
Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
Mgeni Rasmi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akipokepelewa na viongozi wa Serikali pamoja na uongozi wa Benki ya CRDB katika hafla ya uzinduzi wa kihistoria wa Ofisi ya Uwakilishi ya Dubai, tukio linaloashiria upanuzi wa...
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano mkubwa wa Mabunge unaotarajiwa kufanyika kwa siku sita mkoani Arusha na kuhusisha Maspika, Wabunge na Viongozi zaidi ya 1500 kutoka kote duniani.
Hayo yameelezwa ikiwa ni maandalizi ya...
Guys, guys, guys habarini, niko JF muda mrefu kama guest ila D9 na hotuba ya kesho ya chimama imenisukuma kufungua akaunti ili niweze kufuatilia mubashara na kuchangia.
Kama kuna kitu natakiwa kukijua basi nifahamisheni.
Kunihusu:
Jinsia - KE
Makazi - Pwani
Kazi - Winga
Umri - Gen Z
Mahusiano...
Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.
Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.