mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania CHADEMA huu mfumo wa uongozi wa Mwenyekiti wa kanda unawasadiaje?

    Nimeona vita vikali vya siasa kati ya pande za Mchungaji Msigwa na Sugu kuwania uenyekiti wa kanda ya Nyasa ndani ya CHADEMA. Sijui ni sababu gani hasa zilizopelekea kuwa na mfumo wa aina hii unaonyima fursa na kuzua minyukano isiyo na ulazima au afya katika chama chenu, sioni mantiki ya mfumo...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yaja na Mfumo Maalum wa Kuondoa Changamoto ya Ubambikiwaji wa Bili za Maji kwa Wateja

    "Serikali kupitia Wizara ya Maji imeanzisha madawati ya vituo vya huduma kwa wateja kwa Mamlaka zote za Maji na Usafi wa Mazingira nchini ambapo huwa na jukumu la kupokea taarifa za huduma, maoni, ushauri na malalamiko ikiwemo bili za Maji kutoka kwa wateja na wadau mbalimbali. Baada ya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa Madaraka Tanzania

    Tanzania ni nchi inayotambulika kama nchi ambayo inafuata misingi ya kidemokrasia africa na duniani,ni jambo la kupongezwa na kuendelezwa pia kulindwa vizazi na vizazi Uongozi na viongozi wamekuwa wakipatikana kwa njia ya kuchaguliwa na kuteuliwa, suala la kuchaguliwa halina mashaka wala shida...
  4. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania ATCL, Reli ya Kati, TAZARA na SGR tuwape wanaoweza kuendesha kwa ufanisi mapema kabla ya kuumizwa

    Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri. Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali? Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza. ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena. Reli ya kati na TAZARA...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Makonda ni tatizo ila mfumo wake unakubalika na wengi waliochoshwa na ubabaishaji

    Nafikiri wengi tunakubaliana kwamba utoaji wa huduma za umma za watumishi katika sekta na maeneo mbalimbali una urasomu uliopitiliza, changamoto na usumbufu mkubwa sana. Kuna aina fulani ya uvivu, uzembe, wizi wa mali za umma na mazoea ambapo imekuwa kama utamaduni sasa katika watumishi wa...
  6. Dungeon

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mfumo wa BRELA ni mbovu, Mnachochea uhujumu uchumi

    Mfanyabiashara umejipapatua unataka kujisajili ulipe kodi aisee ukienda kwa hao majipu wanajiita BRELA yani ni aibu. Mfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa na mamlaka timu nzima ya TEHAMA Brela ningeifutilia mbali. Makodi yenyewe yapo juu kwa uzalendo...
  7. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Uozo serikalini umekithiri, mfumo wa ukusanyaji mapato ni dili la wakubwa!

    Huu wizi umezidi, na tunauchekea kama hatuna akili nzuri. Mtu ataanzishaje mfumo wa ukusanyaji mapato na kutengeneza namb za slio wa kutuma daa za serikai? Hapa wakubwa wanahusika! Lililotokea Mbeya na Arusha ukusanyaji mapato kwa kughushi data, ni lazima ni tatizo la nchi nzima.
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 DIRA 2050: Umuhimu wa kuboresha mfumo wa uchaguzi na uteuzi wa viongozi wetu ni hitaji la lazima

    Dira ya taifa kuelekea mwaka 2050 ni hatua muhimu sana itakayotoa taswira na muelekeo wa taifa kwa miaka takriban 25 ijayo. Umuhimu wa kuwa na malengo ya muda mrefu ya kitaifa ni nafasi nzuri ya kuiandaa kesho ya taifa kwenye nyanja tofauti ikiwemo kiuchumi, kielimu na hata kimaadili na...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa kutoa fedha kwenye vikundi vya watu wenye mahitaji maalum ni rushwa tupu

    Kuna wakati tuliungana kuomba mkopo unaotolewa na serikali kwa kweli tulifanikiwa katika hatua zote mpaka usajili wa kikundi tulipata tukafungua na account bank ya kikundi na mradi wetu na wazo letu lilikuwa la mfano kwa namna tulivyoliandaa ila sasa ilipofikia kwenye kupewa hela changamoto...
  10. comte

    JamiiForums Tanzania TRA mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD ni hatua sizizo na tija zaidi ya kutengeneza mwanya wa rushwa

    Kwenye taarifa iliyoambatanishwa hapa chini, TRA imeingia mkataba na the International Growth Centre (IGC) taasisi ya kitafiti iliyoko ndani ya London School of Economics ya kufunga mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD. Kwa mjibu wa mpango huo TRA watakuwa wanatuatilia mwenendo wa utowaji wa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Mfumo wa Elimu

    MWANZO Mfumo wa elimu uliopo hauandai mtoto wa kitanzania kwa ajili yakua hazina kwa taifa la kesho kutokana na mtaala uliopo. Mtaala huu hauna dira bora kwa ajili ya taifa tulitakalo kwasababu mtaala huu hauandai watu wenye ubora unaohitajika. MAPUNGUFU Elimu iliyopo ni ya nadharia kuliko...
  12. Morning_star

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU chunguzeni Wizara ya fedha (Hazina) huenda imetengeneza mfumo wa kuiba hela ya mafao ya watumishi wa umma

    Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya Arusha) akilalamika kodi zinachepushwa na kuingia katika mtandao wa wapigaji na wala haziingii serikali...
  13. academiazSoft 0674050747

    JamiiForums Tanzania ACADEMIAZSOFT: mfumo bora wa Uendeshaji wa Shule katika namna bora na ya kisasa

    Hujambo ndugu mwana JF. Karibu AcademiazSoft. RAhisisha na kuboresha namna ya uendeshaji wa shughuli zako za kila siku shuleni kuwa kisasa zaidi. Mfumo wa wa kidigitali wa AcademiazSoft, unakupa fursa ya kufanya masuala yote yahusuyo uendeshaji wa shule yako katika platform moja iliyoboreshwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Dirisha la udahili wa masomo chuoni limefungwa, nafanyaje kurudishwa kwenye mfumo

    Kijana alikuwa na tatizo la ada mpaka dirisha linafungwa akawa hajalipa ada ingawa alikuwa na control number. sasa amelipa karo/ada, only to find that he has been delete from the system. msaada gani anaweza kupata kurudishwa kwenye mfumo aweze kuendelea na shule?
  15. John Sule

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Mfumo wa kujulisha na utambuzi wa vitu vilivyopotea na kupatikana katika jamii zetu

    Je, Ushawahi kupotelewa kwa Kitu cha “Thamani” au “Muhimu” …? Upatikanaji wake ulikuaje…Ulifanikiwa au Hukufanikiwa…TUANGAZIE MBINU NA NAMNA YA KULITATUA SWALA HILI. UTANGULIZI: Natumaini kundi kubwa la watu wengi wameshawahi kupotelewa na kitu fulani iwe kikubwa au kidigo kithamani, Muafaka au...
  16. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo dume wa elimu yetu

    Kijana: "Nimechoka na huu mfumo dume unaopendelea mitihani kuliko stadi halisi za maisha. Hakuna uhusiano kati ya kufaulu mitihani na kuwa na mafanikio." Elimu: "Naelewa hisia zako, kijana. Lakini ni muhimu kutambua kuwa mfumo wa elimu haupaswi kupimwa tu kwa jinsi unavyopenda mitihani...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi laongeza muda wa maombi ya kazi baada ya Mfumo wa Mtandao wao kusumbua

    TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUOMBA AJIRA Mei 15, 2024 lilitolewa tangazo la kuongezwa kwa muda wa kuomba ajira na mwisho wa kutuma maombi hayo ilikuwa ni leo Mei 21, 2024. Kutokana na changamoto ya mtandao iliyoendelea kujitokeza, mnatangaziwa kuwa vijana wenye sifa na nia ya kujiunga na Jeshi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali inawatafuta nini walimu kwenye ujenzi? Sasa huu mfumo wa manunuzi wa NeST imekuaje mmewahusisha?

    Mwalimu mkuu/Mkuu wa shule anaingiziwa hela kwenye akaunti ya shule. Anaandikiwa barua ya kukaimishwa uafisa masuhuli na mkurugenzi ili asimamie kikamilifu fedha hizo zifanye kazi lengwa. Mpaka hapa, safi tu. Anatakiwa aunde kamati mbalimbali zinazoshirikisha walimu wenzake, watendaji wa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Ajira kwa watumushi wa Serikali ubadilishwe ili kuleta matumaini kwa Watanzania waliopo shuleni

    Kwanza kabisa muasisi wa taifa letu hayati Mwalimu JK Nyerere alisema kila mtanzania anapaswa kupambana na adui watatu ambao ni: 1. Ujinga 2. Umasikini 3. Maradhi Tunashukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua tulipo fikia maana tumeweza kufaulu lakini sasa badala ya kupunguza maadui hapo basi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tubadili mfumo wa elimu ili kusaidia jamii

    Utangulizi Salamu kwenu wana jukwaa. Andiko langu kwa Tanzania niitakayo litajikita katika Nyanja ya Elimu ya awali, msingi mpaka sekondari (Kidato cha Nne) Mfumo wa Elimu yetu bado haujaweza kukidhi matarajio ya wanafunzi wengi pamoja na wale wanaohangaika kuwasomesha. Wakati wanafanya...
Back
Top Bottom