Wakuu..Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri.
Hii ni changamoto kwa utumishi...
Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi.
Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya kila jambo linalowahusu. Kuanzia uhamisho, likizo, na hata appraisal.
Lakini mpaka sasa huduma nyingi...
Husika na mada tajwa hapo juu,
Kwanza naipongeza serikali ya awamu ya 6 kwa kuleta huu mfumo wa uhamisho kwa Watumishi wa umma kwasabu umerahisisha huduma na kuondoa urasmu kwa Watumishi.
Pili. Ni vema kwa wale ambao wanafanikiwa kuhama kwa njia ya Mfumo wa ESS basi wakawa wanawashuhudia...
Hii ni maajab
Mshahara bado haujatoka kwa watumishi wa umma lakini ukiingia kwenye mfumo wa ESS unakuta washaweka salary slip ya mwezi huu
Hii kitaalam inaitwaje? Au watumishi wamekopwa🤣
Habari wadau,
Kuna mtu aliomba mkopo bank kupitia mfumo wa ESS. Lakini baadaye akaghairi akawasiliana na HR akacancel mkopo. Lakini leo benki wameweka hela kwenye akaunti,sasa je hii imekaaje hapo, mkopo utasomeka kwenye salary slip?
Watumishi waliohama kada mbalimbali wanakutana na usumbufu hasa katika mfumo wa ESS katika kupangilia malengo ya utekelezaji na hivyo kuwa kikwazo katika utendaji kazi wao wa kila siku.
Kwa mujibu wa taratibu za sasa wenye jukumu hili la kuhamisha taarifa za watumishi na mishahara ni...
Anonymous
Thread
malengo ya utekelezaji
mfumowaess
tamisemi
uhamisho watumishi wa umma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.