Nimejaribu kupitia mtaala huu mpya wa elimu ya msingi Hadi kidato Cha nne sijaona suluhisho la mtaala huu kuwaandaa watoto wetu kushindana na nchi zingine au watoto kujitegemea.
Mfano historia ya Tanzania mtoto anafundishwa teknolojia ya asili ya uvuvi, uhunzi, kilimo wakati watoto wa huko...
Hili ndilo janga kubwa kwani tumelishwa na kujifunza elimu ya kikoloni hivyo tunahitaji kufanya mapinduzi ya kielimu ili kusoma vinavyotuhusu tu na vya kwetu kwa wingi zaidi.
Kwakwel mm nikisikia mtu alianza kusoma kozi Fulani certificate akaenda diploma halaf degree na kuendelea uko mbele napendekeza wawe mafundi au wapewe kazi za matendo zaidi ndo watazimudu kwa asilimia kubwa
Lakn kwenye kuhitaji reasoning, analysing na critical thinking huku tunawaonea sana na...
Nilizaliwa, nikakua mtaa. Nikapigwa jua nikiwa mdogo nikihangaika na school kama soldier kwenye mission ya kutafuta life bora. Nilisoma shule ya msingi hadi sekondari kwa tabu, vumbi na njaa, lakini bado nika-graduate A-Level kama shujaa wa ghetto. Then nikabahatika kupata chance ya kusoma chuo...
Majaliwa ametaja njia moja wapo ya kukabiliana na ukosefu wa ajira ni kwenda Veta, yawezekana ila shida kubwa iko kwenye sisi wananchi wenyewe.
Visa vingi sana vimeletwa humu ndani kuhusu namna waajiriwa walivyo rudishwa nyuma kwa wizi. MImi binafsi nina mifano mingi sana.
Lakini pia...
Karibuni, kauli ya Waziri Mkuu kuhusu wahitimu wa digrii kwenda VETA (Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi) imeanzisha mjadala mkubwa. Hali hii inaonyesha tatizo la muda mrefu katika mfumo wa elimu wa Tanzania: mtaala ambao umekuwa mbovu kwa miaka mingi. Tatizo kuu linatokana na kushindwa...
Ninaishauri serikali ya Tanzania kupitia Bunge, kutunga na kuingiza Sheria ya mitaala mipya ya elimu kwenye katiba ya nchi.
Huu ni hatua muhimu katika kuhakikisha mfumo wa elimu unakuwa thabiti na endelevu, bila kuathiriwa na mabadiliko ya kisiasa au kubadilishwa kwa viongozi wa elimu.
Kila...
Kama mmiliki wa shule ya sekondari binafsi nchini, nina wasiwasi kuhusu mabadiliko yanayokuja katika mfumo wa elimu, hasa kutokana na kufutwa kwa darasa la saba kuanzia mwaka 2027.
Hii inamaanisha kwamba wanafunzi wa kidato cha kwanza watakuwa wakitoka moja kwa moja kutoka darasa la sita, hali...
Niende moja kwa moja kwenye mada kutokana na uwepo wa degree nyingi mtaani bora kuwe na mfumo mpya wa elimu kutokana na kanda husika kutoka primary hadi high level.
Kwa mfano watu wa Mwanza wawe na silabasi yao inahusu uvuvi na uchumi wa blue toka shule ya msingi kama usafirishaji wa majini...
"kutokana na uhalisia kwamba hali ya elimu kuzidi kuwa mbaya nchini hali hii imetokana na Changamoto zinawakabili walimu kama ifuatavyo:-
1: miundo mbinu mibovu.Hali hii husababishwa na serikali na wananchi kutotilia mkazo katika swala zima la ujezi wa vyumba vya madarasa pamoja na ujenzi...
Kila kona ya nchi watu wanalalamikia mfumo wetu wa elimu. Kama ni elimu ya vitendo hata VETA ipo.
Je, wewe ungepewa nafasi ya kubadilisha mfumo wa elimu ungefanya nini?ungeboresha nini?
Weka hoja ya msingi tafadhali.
Toka mtandaoni
UTANGULIZI
Nchini Tanzania, Swala sio kutoa elimu juu ya umuhimu wa elimu, wala kutumia nguvu kubwa katka kunadi sera za elimu pekee bali tunahitaji kufanya mchunganuo na uchambuzi bali nguvu ielekezwe kwenye utekekezaji wake ili kuleta matokeo chanya kila mwaka na ni nini...
HALI ILIVYO NA MAMBO YA KUANGAZIA:
Bado kuna ombwe kubwa la kutofautiana katika ujuzi na maarifa miongoni mwa baadhi ya wahitimu wa vyuo tofauti waliosomea shahada zinazoshabihiana.
Aidha wanafunzi wengi wa vyuo vikuu na wahitimu wa vyuo hivyo wamechagua au wamesomea shahada za fani...
Kwanza nipende kuwapongeza serikali ya Tanzania kupitia wizara ya Elimu Zanzibar, wizara ya Elimu Tanzania na Taasisi zake zote za Elimu katika kuendelea kuboresha mifumo ya Elimu.Pia niwapongeze sana Jopo la Jamii forum kwa kubuni shindano hili la story of changes Mungu awabariki sana mzidi...
Naam.
Ni wasaa mwingine ambao tupo kusoma dira vizuri ili tusipotee katika mwelekeo wa safari yetu kuitafuta TANZANIA Bora Zaidi.
Bila kupoteza muda niende Moja Kwa moja nikibainisha wazi ya kwamba ili tuipate hio Tanzania tuitakayo ipo mbegu Moja kuu ambayo ni lazima tuipande chini iote ndipo...
"Marekebisho ya mfumo wa elimu Tanzania:Njia za kupunguza Muda wa masomo ili kuwafanya watanzania kuhitimu chuo ifikapo umri wa miaka 20"
Marekebisho ya mfumo wa Elimu ni Moja ya nyanja muhimu ya Tanzania tunayoitaka kuanzia sasa hadi miaka 5,10,15 na hata kesho ya kizazi chetu. Marekebisho...
Mfumo wa Elimu Tanzania umejengwa Kwa namna ambayo inahitaji mwanafunzi kupitia ngazi mbalimbali Kwa muda mrefu kabla ya kuhitim na kuanza maisha ya kikazi.tukiangalia Kwa undani tunaweza kuelewa kwanini inachukua muda mrefu sana. Elimu ya darasa la 1-7 inachukua miaka 7 mwanafunzi huanza akiwah...
UTANGULIZI.
Taifa lolote ili liendelee linahitaji watu ambao watapandikizwa elimu sahihi, Elimu sahihi inajengwa na mfumo bora wa elimu. Kulingana na ulimwengu tuliopo sasa ili kupiga hatua tunahitaji matumizi ya sahihi ya kiteknologia katika mfumo wa elimu ili kuchochea ukuaji wa elimu yetu...
Ili kuharibu taifa lolote, anza kwa kuharibu mfumo wake wa elimu. Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa sasa unawaandaa vijana kuwa wafanyakazi wa serikali au taasisi binafsi, jambo ambalo limepelekea wengi wao kuishi maisha duni huku wakisubiri ajira kutoka serikalini na kwenye taasisi binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.