mfululizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DodomaTZ

    Nini kipo nyuma ya pazia mfululizo wa misukosuko ya Chadema?

    Katika siasa, mara nyingi matukio makubwa huanza kama ishara ndogo, lakini zenye ujumbe mzito uliojificha ndani yake. Kwa kipindi cha takribani mwaka mmoja sasa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimekuwa kikikabiliwa na mfululizo wa matukio mbalimbali hasa misukosuko ya kisiasa na...
  2. Tlaatlaah

    Huenda Dkt. Mwigulu Nchemba akawa waziri mkuu kwa awamu tatu mfululizo kabla hajawa Rais wa JMT 2040-2050

    Hili liko wazi na kila mTanzania na mdau wa JF anashuhudia. Dr. Mwigulu kwa sasa ni waziri mkuu katika ngwe ya pili na ya mwisho ya uongozi madhubuti sana wa Dr. Samia Suluhu Hassan. Na pasinashaka yoyote, Dr. Mwigulu Nchemba, atakuwa waziri mkuu katika vipindi viwili katika ngwe za uongozi wa...
  3. ELI COHEN

    Ni mimi pekee naona huduma za mitandao zinasumbua?

    Ni mimi pekee naona au ni kama miaka miwili hivi mfululizo huduma za mitandao zimekuwa mbovu, sio internet, sio calls. Au ni haka kasmart kitoch kangu ndio jau?😁
  4. G Sam

    GE2025 Octoba 30 ya damu. Nilishuhudia maiti zikitelekezwa njiani siku tatu mfululizo

    Sikuwahi kudhani kuwa itafika kipindi mimi nitoke nikutane na maiti nirudi mchana nikute bado zipo nirudi jioni nikute bado zipo na kesho yake bado nikutane nazo. Hiki ndicho nilichoshuhudia mimi. Nilikuwa kila nikitoka napishana na maiti mbili zilizotelekezwa njiani kunazia tarehe 30 jioni...
  5. Yoda

    GE2025 Nyuzi mfululizo za kubeza, kutisha na kukatisha watu tamaa dhidi ya kutoka badala ya kutiki Oct 29 zinachefua na kukera sana

    Wiki ya pili sasa kuelekea October 29 kumeibuka mfululizo wa nyuzi nying za ajabu ajabu za watu wanaojiona ni wazee wa busara wakibeza, kutisha na kukatisha tamaa raia wanaopanga au kuhamasisha kutoka na kupaza sauti kwa maandamano dhidi ya mfumo dhalimu na kandamizi wa haki. Utitiri wa hizi...
  6. Chizi Maarifa

    Simba ikishinda leo hii Adhabu nipate kwa wiki mbili mfululizo

    Kama kawaida Yanga tunaenda mchukua mwali wetu tujimwaye mwaye naye msimu huu wote. Leo ndo tunakabidhiwa mwali. Naweka hili bandiko hapa. Simba ikitokea leo ikamfunga Yanga niwe banned kwa wiki 2 mfululizo. Najua kuna watu wanaweza jiua kwa kukosa nyuzi zangu za kuelimisha hapa jukwaani...
  7. Superbug

    GE2025 Polepole aliwahi kusema CCM itatawala miaka 70 sioni hili likitokea hata miaka 5 ijayo

    Uchaguzi wa 2020 ulikuwa uchafuzi na mpaka Leo uchaguzi ule ni maarufu Kwa jina la uchafuzi. Uchaguzi huu wa 2025 mpinzani mkuu na chama chake mmewafanyia hila na kuwaweka ndani ili mgombee peke yenu matokeo yake uchaguzi umedharauliwa. Hizi ni hatua za mwisho za kuitamatisha CCM kwani...
  8. S

    Yanga wamebeba ubingwa mara nne mfululizo, msimu huu wamechukua makombe yote hapa Tanzania na kisha wakatufunga mechi zote, Simba hatuna Wazee

    Wazee wetu walioshiba makande wameendelea kuongeza mgogoro ndani ya timu yetu, hawaoni shida ndani ya timu yetu, wanaona kufika fainali kombe la losers ni mafanikio makubwa ndani ya timu yetu. Yanga ameshabeba ubingwa mara nne na nilivyomsikia Injinia kule Kigamboni akisema kuwa wanapanga...
  9. Adverse Effect

    Je, Mfululizo wa sintofahamu unaendelea kuibuka CCM ndio nyakati za anguko kubwa kwa CCM na serikali yake?

    Ni dhahiri shairi kuwa kuna fukuto kubwa linaendelea ndani ya chama tawala ambalo ni kero kubwa kwa wanachama wao wengi. Jambo la kufurahisha na kutia moyo ajenda kubwa ya chama kikuu cha upinzani CHADEMA ya No reform no election imeingia kwa kasi ya mwendo wa Ngiri katika jumba la kijani...
  10. Stuxnet

    Picha: Kinachoendela Kenya kinatisha, Gen Z wapanga kuandamana kwa siku 7 mfululizo

    Hawa Gen Z wanateketeza nchi yao na hashtag yao ya #RutoMustGo
  11. GENTAMYCINE

    Uongozi wote wa Mzee Hassan Dalali Simba SC Kitakwimu Yanga SC ilifungwa mfululizo na zaid ya mara 5 yao, angalieni Takwimu zenu vizuri

    Siku nyingine muwe mnawaambia hao Waandishi wenu walio katika Payroll zenu wajikite zaidi katika Data and Research Journalism ili wenye Akili kubwa tusiwafharau na tusiwaone Wapumbavu. Imeisha hiyo.....!!!!!!
  12. GENTAMYCINE

    Nimeipongeza Yanga SC kutufunga Simba SC na kwa mara ya 5 Mfululizo, ila nasikitika kuona huu Ukweli wa Kitakwimu umefichwa ili Kuikandamiza Simba SC

    Bado GENTAMYCINE naendelea Kuipongeza Yanga SC kwa Kutufunga hivi juzi (na kwa mara ya Tano mfululizo) na Kutwaa Ubingwa wa NBC Premier League ila kwa KUJIAMINI kabisa ninapingana na Watu ambao kwa AGENDA zao au kwa ama KUTOKUJUA wamekuwa wakisema kuwa Yanga SC imeweka Rekodi ya Kuifunga Simba...
  13. Frank Wanjiru

    ZakaZakazi: Hakuna Timu iliyofungwa matches tano mfululizo na Yanga kama Simba

    Alichokiandika Meneja Habari Wa Azam ZakazaKazi Baada Ya Yanga Kuishinda Simba… SASA NI TANO KWA TANO Agosti 9, 2023 Azam FC ilifungwa 2-0 na Yanga kwenye Ngao ya Jamii jijini Tanga, Shabiki mmoja wa Simba aliyefahamika kama Kisugu, alitokwa povu jingi sana na kuonesha dharau kubwa kwa...
  14. S

    Mambo 10 Niliyoyaona Simba Ikidhalilishwa kwa Mara ya Tano Mfululizo na Yanga

    1. Kuna utofauti mkubwa sana baina ya Yanga vs Simba upande wa menejimenti, Yanga waliona wampe timu GSM awape furaha, GSM ndio anasajili wachezaji na kila jambo wanalisimamia wao, Simba kule Mo Dewji anaongoza, Mangungu anaongoza, kale kadada CEO kanaongoza kwa remote kutoka kwa friends of...
  15. Pfizer

    Sababu za TPA kuongoza kutoa gawio kwa miaka mitatu mfululizo

    Kwanini TPA imeongoza kutoa gawio kwa miaka mitatu mfululizo? i. Maboresho ya miundombinu yaliyochangia ongezeko la Shehena ambapo kwa kipindi cha miezi kumi na moja kwa mwaka 204/2025 mizigo imeongezeka kwa asilimia 11, ambapo imehudumia tani mil 23.9 kulinganisha na tani mil 21.5 za miezi 11...
  16. mdukuzi

    Tumechakatana kwa miaka miwili mfululizo kumbe hajui hataJina langu,nimechukua uamuzi wa kumuacha

    Usioe wala kuzaa na mwanamke kilaza... Miaka miwili concecutively sijui concurently mnachakatana kwa wiki mara tatu mpaka nne Wiki hii ndio nikagundua kuwa hajui jina langu Hiyo imekuwa sababu tosha ya kumpiga chini,huo ni ukilaza pro max Na hapo namtumia miamala mara kwa mara
  17. Leonce jr

    Nimekandwa saili tatu mfululizo bila kwenda oral hata moja kwa kweli ni huzuni sifanyi tena usaili wowote

    WAKUU HABARI. NIMEKANDWA SAILI TATU MFULULIZO KWENYE WRITTEN TU TOKA NIANZE KUFANYA USAILI AISEE. ADMINISTRATIVE OFFICER YA BUNGE CHALI. MDA & LGAs CHALI, TRA CHALI, MACHUNGU YAKE SIO KITOTO AISEE BORA NIKIMBIE TU😂😂😂🤣😂.Hapa tunashauriwa kuto kukata tamaa lakini mmh hii ni moto unakosa marks 5...
  18. Secret Star

    KERO Mbagala Chamanzi Umeme unakatika siku Mbili Mfululizo. TANESCO Vipi?

    Hali Ya Umeme Mbagala Chamanzi ni zaidi ya neno "KERO", Tanesco hawajali wanakata umeme masaa 18 mfululizo mda mwingine mpaka siku mbili mfululizo kwa madai kwamba wanafanya maboresho. Maboresho ambayo wanaporudisha tu umeme hauwi sawa, Mara Line hii ifanye kazi Nyingine Zigome! Hawana ratiba...
  19. Hamduni

    TRA yavunja rekodi ya makusanyo kwa miezi 9 mfululizo yakusanya trilioni 24.05

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya Sh. Trilioni 7.53 katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, sawa na ufanisi wa asilimia 101.32 ya lengo la kukusanya Shilingi Trilioni 7.43. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda...
  20. L

    PreGE2025 Stephen Wasira atua kibabe na Ndege ya kibabe Mkoani Songwe. Kuwasha moto kwa siku tatu mfululizo bila kupumzika

    Ndugu zangu Watanzania, Chuma cha Reli, Mwamba Mwenyewe ,Nguli wa Siasa na Jabali la siasa Stephen Wasira Makamu Mwenyeki wa CCM Taifa Ametua kibabe kwelikweli katika uwanja wa ndege wa Songwe . kwa ajili ya kuanza ziara katika mkoa wa Songwe. Ambako anatarajiwa kuwasha Moto 🔥 mkali kwelikweli...
Back
Top Bottom