mfukoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natakiwa kufika Dar kesho jioni, nipo Simiyu Bariadi mda huu.Kama Kuna dereva yeyote anapita njia hii naombeni msaada wakuu nina 40k tu mfukoni

    Wakuu natakiwa siku ya kesho niwe Dar ila nauli ya kufika Dar Sina nina 40k tu, naombeni kama Kuna dereva anapita hii njia ya Bariadi - dar anipe rift nifike dar wakuu. Naombeni sana madereva 🙏
  2. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuokota hela mfukoni mwako?

    Vipi ulijisikiaje yaani unajikuta hujatarajia na hauna hela siku hiyo ila mara paap! Unaingiza mkono mfukoni kisha inakutana na hela ambayo hukumbuki ulioweka lini.
  3. JamiiForums Tanzania Pesa mfukoni ≠ faida: Biashara ni zile zile, kwanini Watu hawadumu?

    Wajasiriamali wengi hapa Tanzania wanashindwa kudumu kwa muda mrefu hapa nchini kwa sababu mbalimbali. Kodi kubwa ya pango, madeni, kodi za TRA na Halmashauri n.k Lakini bahati mbaya wengi wao hawajatambua kwamba wanafanya maamuzi ya kimkakati wakitumia takwimu zisizo sahihi kama dira yao ya...
  4. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Ukiwa mmbea huwezi kuwa na hela mfukoni

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ukaguzi wa barabara ya Mivumoni, wilayani Kinondoni, na kusisitiza umuhimu wa miradi ya miundombinu katika kuchochea maendeleo ya wananchi. Amesema ujenzi wa barabara hutoa fursa za ajira kwa vijana, huongeza thamani ya ardhi na nyumba, pamoja na kuchochea...
  5. JamiiForums Tanzania Rasmi serikali imeingia kwenye vita na vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kuvitia vya ndani mfukoni, wale ni sawa na Gen z sio wakuyumbishwa

    Rasmi serikali imeingia kwenye vita na vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kuvitia vya ndani mfukoni, wale ni sawa na Gen z sio wakuyumbishwa.
  6. JamiiForums Tanzania Siasa za mtandao huko Marekani nako sasa zimeshika kasi, wafanyabiashara wa mafuta wameitia mfukoni wizara ya nishati.

    Miradi ya nishati safi inapogwa rungu na vita kwa nguvu zote, Wachina wakina Xi Jinping watakuwa wanachekea chooni, wanekunua meno to😁. Waziri wao nishati anadaganya kwamba hata ukizungusha paneli za solar dunia yote utapata nishati kwa 20% ya mahitaji ya dunia wakati wanasayansi wote wanasema...
  7. JamiiForums Tanzania Mtanganyika LISSU ananyanyaswa na Rostam Aziz ,Vyombo vya Dola Hususani Polisi , Mahakama viko mfukoni mwake

    Inasikitisha sana, Yaan Mtanganyika , anaumizwa na Rostam Kwasababu ya Masilahi ya ROSTAM na Genge lake !!.
  8. JamiiForums Tanzania Hamna Wabunge wa Mfukoni ,Taifa haliwezi kua na Wabunge Machawa !Machawa mmepigwa!! PIGO la Kwanza 🤣🤣

    Tunawachoraaa tuuuu Taifa haliwezi kuongozwa na Machawa !!. Imeishaaaaaaaa Kwa Leo !!🤣🤣🤣
  9. JamiiForums Tanzania Polepole ana mgombea wake mfukoni?

    POLEPOLE ANA MGOMBEA WAKE MFUKONI? Lilipoulizwa swali la huenda kupitishwa kwa mgombea mmoja kwenye kugombea nafasi ya Urais ikawa ni uoga wa kushindwa kwenye mkutano mkuu, Dkt. Dennis Muchunguzi anasema hakuna uoga wowote kwasababu wajumbe wa mkutano mkuu ambao ndio WAPIGA kura ndio waliamua...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania tunafikiri maendeleo ni kuwa na hela tu mfukoni kumbe hata maboresho ya huduma ni maendeleo

    Mfumo wa mahakama ni mzuri Sana Africa nzima tuko vizuri haya njoo kwenye huduma za maji.Tanzania tunaongoza kwa kusambaza maji vijijini..ndo maana baadhi ya Wazee hawapendi kusomeka TASAF kama Kaya maskini.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku kiongozi atakuletea hela mfukoni

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa muda mrefu vijana wengi nchini Tanzania tumekuwa tukisubiri kwa matumaini: ahadi za ajira, mitaji ya biashara, misaada ya serikali au nafasi ya “kubebwa” na mtu fulani mkubwa. Lakini leo nataka kusema kile ambacho wengine wanasita...
  12. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa "kuamka huna hela mfukoni" na dalili zake.

    👁️JINA LA UGONJWA KUAMKA HUNA HELA MFUKONI. 👁️DALILI YA UGONJWA WA "KUAMKA HUNA HELA MFUKONI" (a) Mwili kuchoka na kukosa nguvu, ikiwemo kupoteza hamu ya kula. (b) Kupoteza hamu na shauku ya kuwasiliana na watu au marafiki unaofanana nao kiuchumi. Unahisi kuwasiliana nao ni kuharibu salio...
  13. JamiiForums Tanzania Roadmap ya karne hii ya kutokukosa hata shilingi mfukoni!

    Habari za Wadau wa JamiiForums! Salamu kwa wapambanaji wote wa maisha, wale wanaokimbiza ndoto zao bila kusubiri kesho ifike. Huu ni mwaka wa ushindi, mwaka wa kufungua milango ya fursa, mwaka wa kuhakikisha hakuna mfukoni mwetu unakosa hata senti moja! Kama unataka kuondokana na hali ya kuishi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zidumu fikra za Mwenyekiti(FAM)

    1. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba FAM ndo mwenyewe akili kuliko wote ndani ya chama? 2. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba bila FAM chama kimekufa? 3. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba FAM ndo Mwamba na hakuna mwingine zaidi yake ndani ya chama? 4. Inawezekanaje CHADEMA wamwamini...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutumia line inayotumika kwenye router ya unlimited internet kwenye simu au pocket router?

    Hizi router zimekuwa mzigo kubeba, nimemiss kutembea na pocket router inayobebeka mfukoni Mwanzoni nilidhani line imefungiwa kusoma kwenye imei moja tu lakini nimetest kwenye router kama yangu ya mtu mwengine inakubali. Nimetesti kwenye pocket router matoleo mawili tofauti, mtandao unaofanana...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini tuangaishane na michango ya harusi na tujitaabishe kwa kukusanya pesa za michango. Mbona shughuli ndogo kwa pesa yako mfukoni inawezekana

    Africans, we are poor, lakini we are acting rich. Kwamba unaogopa kusemwa? Unaogopa kuitwa masikini? Unaogopa lawama za kutoarika watu? Unaogopa kutoendana na mila tulizozizoea? Au ndio njia mbadala ya kupatia pesa za michango kujiboost maisha kidogo? Muda mwingine hadi tunageuka kero pale...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Nani aniuza printer yenye uwezi wa kuprint a3 used lakini mfukoni Sina pesa ndefu yaani mamilioni

    Mwenye printer used inkjet yenye uwehio karibu
  18. JamiiForums Tanzania Sumsung A14 inahitajika full box kwa bei rahisi ( 270k) mfukoni ipo hapa.

    Ndio wakuu napokea call 0621011063. Naweza ongeza kidogo bei.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya kukopesha mitandani, yameiweka serikalini mfukoni au hii ni biashara ya watawala?

    Katika mambo ya kushangaza hapa nchini, ni uwepo wa haya makampuni ya kukopesha mitandaoni ambayo yanaonekana kufanya hii biashara kiholela lakini kwa kutumia mitandao ya makampuni ya simu jambo ambalo linashangaza sana. Yaani biashara haramu inafanyika huku taasisi za kuthibiti huu uharamu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

    11 April 2024 Dar es Salaam, Tanzania (Google translator) Mchengerwa hands over Tshs. 50,000,000 from his salary to help the Rufiji people affected by floods in the River Rufiji delta Member of Parliament for Rufiji constituency Hon. Mohamed Mchengerwa hand over Tshs 50,000,000 (over...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…