mfukoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Afisa Elimu Msingi Tandahimba awalazimisha Walimu Wakuu kuchangia mitihani ya utamilifu kwa pesa za mfukoni mwao

    Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba anawalazimisha walimu kuchangia mitihani ya utamilifu ngazi ya mkoa kwa pesa za kutoka mifukoni mwao. Afisa huyo ajulikanaye kwa jina la Samuel Mshana ambaye amehamia kwenye halmashauri hiyo hivi karibuni akitokea Halmashauri ya wilaya...
  2. N

    GSM wakisema Yanga kuna hasara, kimya. Akisema Mo Dewji wanashuka naye jumlajumla. Mafanikio ya Simba ni kitanzi cha Mo Dewji

    Mo kusema Simba inajiendesha kwa hasara makanjanja ya media na wapuuzi wako naye bize kwelikweli, ila injinia wenu aliposema hivyo last year mkakausha kimya. Mo Dewji hii dhambi aliyoifanya kuipa mafanikio Simba kwa miaka minne na kuweza kuingiza teams 4 kwenye michezo ya Afrika kuna watu...
  3. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC Wote wa JF msijifanye hamjamsikia aliyewawekeni Mfukoni mwake Injinia Hersi Said hasa juu ya hili......

    "Unamkuta mwana Yanga kama Frank Wanjiru na Daudi Mchambuzi wanaropoka sana huko Redioni, katika Runinga ba Mitandaono kuisema vibaya Yanga SC yetu ila ukiangalia kama Mwanachama amechangia Pesa yoyote unakuta hakuna. Yanga SC hii sasa tumedhamiria kuachana na Wapuuzi kama hawa ambapo...
  4. Ubungo Mataa

    Mzigo mkononi, Pesa mfukoni

    WapambanaJi.. Nahitaji samaka wabichi aina ya Kambale (ukubwa wowote). Kiasi chochote nahitaji, kuanzia kilo 100, 200, 500 n.k kwa bei ya jumla, Nahitaji kutoka kwa wavuvi.. Bei maelewano (0783343629)
  5. M

    Leo ni siku ya 23 tangu nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa Covid-19

    Jamani mimi leo naandika ni siku ya 23 tangia nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa korona, pia nikamwambukiza mke wangu na mamaangu mzazi alikuwa amekuja kututembelea pia ikampiga na binti wa kazi pia aikumbakiza na shemeji alikuwa amkuja salimia naye akubaki salama, yaani nyumba nzima...
  6. J

    CCM kumbukeni Watanzania hata muwajengee madarasa na zahanati za dhahabu, kama hawana hela mifukoni ni kazi bure!

    Hayati Magufuli aliweza kujenga barabara na miundombinu yake tangu akiwa waziri wa Mkapa hadi anakuwa Rais lakini watanzania hawakuliona hilo Wajazeni wananchi fedha mifukoni ndipo mtaiona furaha yao na CCM itang'ara vinginevyo inaonekana kana kwamba maji yanotolewa mtoni na kuingizwa baharini...
  7. BUMIJA

    Wife kakuta 5,000 mfukoni wakati anafua, mara ya mwisho hali hii ilitokea 2015

    Hatimaye 5,000 imeonekana wakati wife anafua. Miaka ya nyuma ilikua wakati wa kufua masalia ya hela yanaonekana mtu anapokagua kabla hajafua. Kwa Mara ya mwisho hali hii ilitokea 2015. Hela sasa imeanza kuonekana sio siri. Kwa upande wangu kwa miaka 5 kun'guta na toa mifuko ilikua hukuti...
  8. GENTAMYCINE

    Baada ya teuzi, sasa Media za Tanzania zimeshawekwa 'Mfukoni' na Mamlaka

    Kuanzia sasa Media za Tanzania zitakuwa zinaweka bidii katika 'Kujipendekeza' kwa Mamlaka (Serikali) na Kusifia (Kupamba) mno ili Waandishi wake 'waule' katika 'Teuzi' na wala siyo katika Kuibua Taarifa Muhimu na yenye Tija kwa Maslahi na Maendeleo ya nchi. Maziko ya Media Tanzania yamefana.
Back
Top Bottom