meza

The Meža (Slovene) or Mieß (German) is a river in the Austrian state of Carinthia and in Slovenia, a right tributary of the Drava. It is 43 kilometers (27 mi) long, of which 42 kilometers (26 mi) are in Slovenia. Its catchment area is 551.7 square kilometers (213.0 sq mi), of which 543 square kilometers (210 sq mi) in Slovenia.

View More On Wikipedia.org
  1. Watanzania tunajua taifa letu halina mpasuko wa kisiasa, hakuna haja CCM kukaa meza moja na wapinzani wasio na uzalendo

    Wembe ni uleule, CCM ipo kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo wananchi. Habari kuwa kuna wanasiasa walibaguliwa na kutengwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli ni kuleta porojo ambazo hazina mashiko. Ni Mtanzania gani anataka umoja na wanasiasa ambao hawalitaki mema taifa lao kwa...
  2. S

    Tunataifisha mpaka viti na meza za CCM - 2025 ushindi lazima uende kwa Upinzani

    wananchi walio wengi wanatamani kuiona CCM ikiwa imepoteza madaraka ,maana ni shangwe na furaha kwa nchi nzima watoto na vijana wazee na yaani CCM tumeichoka kuliko mahelezo,waende tu.Na nina hakika watakaoingia madarakani watataifisha mali zote za CCM hakibaki kiti wala meza.
  3. Meza na viti vinahitajika!

    Habari za leo? Naomba kuuliza mwenye kuuza au anayejua wanapouza viti kama hivi pichani kwa hapa DAR anipe mwongozo. Asante.
  4. Meza ya kulia kutumia miti iliyo shambani kwako

    Unaweza kutumia muembe au mfenesi ulio shambani kwako. Kumbuka kupanda miti miwili kabla hujakata mmoja.
  5. S

    RC Makala: Wafanyabiashara ndogo ndogo kupangwa upya Dar es Salaam, walioko barabarani kuondolewa

    Leo RC Makalla amekaa na madiwani kuwaelezea nia yake ya kuwapanga upya wamachinga ktk jiji hili la kibiashara Chanzo: ITV habari Wamachinga walipewa Uhuru usiyokuwa na mipaka kiasi kwamba waligeuka kuwa kero kwa kila mtu. Uamuzi wa RC Makalla uungwe mkono ili hawa wanyonge wafuate...
  6. E

    Wanaojua kandanda wamesema Morrison ndiye aliyemaliza matumaini ya Simba kupindua meza

    Kwa nini wamesema hivyo? Kwa sababu ni yeye ndiye aliyekata move ya bao la pili, bila kufanya ile trick ya kipumbavu mpira ungeendelea na Simba walikuwa katika hatua ya mwisho ya kupata bao la pili kabla ya half-time. Inafanana kabisa na circuit ya umeme ukate kipande cha carbon basi...
  7. Tunapotaka kutumia nguvu kubwa Kupindua Meza kwa Kaizer Chiefs FC je, tunaoenda kukutana nao Semi Finals tutawaweza?

    Najua kuanzia sasa nguvu Kubwa ya Kupindua Meza (kwa Fitna za nje ya Uwanja) zitaanza Kutumika ili Kuwafunga Kaizer Chiefs FC Wikiendi ijayo huku tukidanganywa sana kuhusu uwezo wa Timu yetu na Kuaminishwa mno na Kauli Mbiu za Kibabe za Kuujaza Uwanja ili Mapato yapatikane wakati wenye Kuujua...
  8. Picha: Zitto Kabwe juu ya meza ya kunywea kahawa. Anajitutumua

    Act wazalendo wanajitutumua ili kupata kura hapo tar 16
  9. B

    Tamasha (Indoor & Outdoor)

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…