The Meža (Slovene) or Mieß (German) is a river in the Austrian state of Carinthia and in Slovenia, a right tributary of the Drava. It is 43 kilometers (27 mi) long, of which 42 kilometers (26 mi) are in Slovenia. Its catchment area is 551.7 square kilometers (213.0 sq mi), of which 543 square kilometers (210 sq mi) in Slovenia.
Jamaa mmoja alikuwa akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari, castle na kilimanjaro kisha anatafata meza yenye viti vitatu anakaa nakunywa zile bia moja bada ya nyingine zote tatu nakuondoka.
Alirudia hii tabia mara kadhaa ndipo mhudumu wa ile bar akashindwa vumilia ikabidi amuulize...
Maenye pichanya bungeni ikionesha alipokaa aniwekee hapa.
Najaribu ku imagine alivyokaa huko kajampa nani na kigonga meza!
Same like yule atakavyo kuwa amevaa uniform ya jela ya ICC
Hata simkumbuki jina...ila nikiwa hapa kanisani leo katika kanisa takatifu la kimitume katoliki parokia ya uparokiani Askofu anazungumzia jambo , anasema kua unaweza kua mtu mzima ila akili huna..
Ndio nikakumbuka tukio la mbunge aliechaguliwa Sasa sijui alichaguliwa na wananchi ama aliwekwa...
Salaam!
Asomaye na afahamu,
1. Mfalme Daudi alipenda sana kumjengea hekalu Mungu Ili Sanduku la AGANO lipate pa kukaa, akasahau kuangalia mikono yake ilivyojaa damu, ombi lake likakataliwa, mwanae Mfalme Suleimanmwenye mikono safi ndiye akaja kupata ridhaa kujenga hekalu.
2. Hitler, Idd Amin...
Kwa wazoefu wa maeneo ya sirari kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania, ni kichekesho cha hali ya juu kuuziwa propaganda eti Mwanajeshi wa Marekani amekamatwa akivuka mpaka rasmi wa Tanzania na Kenya akiwa na mabomu.
Yaaani Mwanajeshi wa Marekani aache kutumia porous border ambayo unaweza kuvusha...
Mkiwa na viongozi wasio na maono haya ndio madhara yake, mnapo kuwa kwenye vikao vya chama mnapitisha mambo huwa hamuwazi nje ya kikao hicho , na manapo kuwa mnapitisha sheria za hovyo pale bungeni kwa umoja na mshikamano mkubwa kabisa huwa hamuwazi nje ya pale.sasa mnatulalamikia nini huku...
Ukweli usiopingika, Nchi hujengwa na umma wa wote
Linapotokea tishio lolote aidha la kijamii au tishio la nchi na serikali, kubwa kabisa la kutizama, Ni kupima athari za jambo hilo kwa haraka na kisha kuchukua hatua, sijawahi kukubaliana na yeyote, eti anishawishi kwamba, iko faida katika...
Ndio kujenga nchi ni Jambo ngumu sana hutaki kukaa kwenye Meza ya Mazungumzo Je, hawa wanaotaka kuandamana hoja yao nini?
Mazungumzo yaliwahi kufanyika na kujua wao wanataka nini?
Tujenge tabia ya Kukaa Mezani Kujadiliana na kukubaliana hii itasandia kujenga nchi. Hata baada ya Uchaguzi...
Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.
Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !
Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja.
Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe...
Katika vichochoro visivyo na jina, vipo vikao vinavyofanyika kimyakimya. Wenyeji wa meza hizi ni watu wanaojiona werevu wa kupanga mikakati ya “kuvunja ukimya” kupitia vitandao. Lengo? Kuishtukiza mamlaka iliyo madarakani kwa sasa. Wanaita hiyo "operesheni ya mfululizo wa alama."
Kinachoonekana...
Wapentekoste waliingia Tanganyika zamani sana miaka ya kati ya 1900's. Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT) walianza kuwepo Tanzania mwaka 1932, hata hivyo hawakuweza kupata mafanikio makubwa mpaka miaka ya mwishoni ya 1980 na mwanzoni miaka ya 1990. Walipoanza kuingia kwa nguvu katika...
......
......
Ningeshangaa, mbali na kutamkiwa wazi kuwa hatakiwi, leo kapata wapi ujasiri tena wa yeye kwenda kuchukua fomu?
Kumbe kuna mapinduzi ndani ya chama la mapinduzi?
Watajuwana wenyewe huko
Gazeti maarufu la Israel limetonya kuwa Marekani kupitia channels zake za "behind the scenes" imeihonga Iran mabilioni ya dola ili kuifanya Iran irudi katika meza ya mazungumzo kuhusu ishu ya Nyukilia. Mahela hayo yanakusudiwa kuishawishi Irani iaachane na madai ya haki yake ya kuenrich Uranium...
Bunge letu ni tv ya serikali na remote wanayo serikali.
Wale wabunge waliokataa reform toka mwanzo watamshangilia na kumpongeza Sana
Pale atakapowatangazia kwamba havunji bunge mpaka mwezi 8
Wale wa October tunatiki pia watashangilia
Walioita watu kenge nao watashangilia
Ndio ujue tuna nchi...
Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo.
Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !?
Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18...
Tatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi.
--------------
In a call with his French counterpart Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran favored diplomacy, but will not “accept...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.