Ujumbe ndio huo kila meli itakayo onekana ikielekea Israel itashammbuliwa
https://youtu.be/SkIXpVcO5Gc?si=ee2rJ3HiqrHj5ccW
Pia tazameni Israel target zake siku zote civilian afu yeye akipigwa anadai Iran inapiga civilian hahaha
https://www.instagram.com/p/DWYtyRqk2Mg/?igsh=MXVocnR3eXllMXN1MQ==
Ile meli ya kubeba ndege ya Abraham Lincolin imekuwa haitajwi muda mrefu japo Marekani imekanusha kuzamishwa kwake.
Kwa meli kubwa kuliko zote ya Gerald Ford wamekubali kuwa moto mkubwa ulizuka na ikabidi kuiondosha kwenye uwanja wa vita siku chache kiwanda cha kusafishia mafuta cha Haifa...
KUKAMILIKA kwa mradi wa ujenzi wa meli nne kubwa za mizigo katika Bandari ya Karema ni fursa kwa wananchi wa mikoa inayopitiwa na Ziwa Tanganyika ya Rukwa, Katavi, Kigoma na kuongeza kipato cha kaya na Taifa.
Ujenzi wa meli hizo ulianza Aprili 2025 na ukitarajiwa kukamilika Julai 2026. Mpaka...
Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, ameviambia vyombo vya habari kuwa; Marekani imekubali kwa makusudi kuruhusu meli za mafuta za Iran kupita katika Mlango wa Hormuz bila kuzuiliwa kijeshi kwa sasa.
Hatua hii imechukuliwa ili kudhibiti bei ya mafuta duniani isipae zaidi (baada ya...
Kulingana na taarifa rasmi za kijeshi la wanamaji la Marekani US NAVY zilizotolewa kuhusiana na tukio la kuzuka kwa moto ndani ya meli ya USS Gerald R. Ford (CCVN-78):
Moto huo ulitokea tarehe 12 Machi, 2026.
Moto ulianza majira ya jioni wakati meli hiyo ikiwa katika doria za kawaida (routine...
Wanaukumbi.
Video za IRGC za 2025 zinaonyesha vichuguu vya chini ya ardhi vilivyo na boti za mashambulizi ya haraka, makombora ya kuzuia meli na kile kinachoonekana kuwa migodi ya majini.
Marekani iliharibu meli juu ya uso. Kilichojificha ndani ya vichuguu hivi ni shida nyingine kabisa...
Ni kweli Meli ya Marekani ililipuliwa na makombora ya Irani kwa ushahidi wa vigezo vifuatavyo,unaweza kuondoa siraha muhimu katikati ya vita?na hii vita Mmarekani anaenda kupoteza na ndiyo utakuwa mwisho wa Israer na Marekani maana Komeni Mwenyewe Vijana wake walimuomba watengeneze makombora...
India yathibitisha kupokea meli ya Iran iliyokimbilia huko baada ya kutoroka mapambano, nyambizi za Marekani zinawinda chochote chenye ishara ya Iran.
India has allowed an Iranian warship to dock as a humanitarian gesture, Foreign Minister Subrahmanyam Jaishankar says, after the US sank another...
Wanaukumbi.
Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran:
-Tunasubiri uwepo wa majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz
- Tunawakumbusha Wamarekani juu ya kuchomwa kwa meli ya mafuta ya Amerika Bridgeton mnamo 1987…
================
BREAKING: IRAN...
Baharini hapakaliki tena, kuna nyambizi ya Marekani inapita chini kwa chini ikisaka meli za Iran, mpaka sasa zimelipuliwa 25, kuna moja nahodha wake aliona isiwe tabu katoka nduki na kukimbilia usalama Sri Lanka, taifa la Mabudhist, au mnaopenda kuwatukana kwa kuwaita makafir licha ya kwamba...
Hii meli ilikua imejificha baharini, kazi yake kutuma mamia ya drones, imekutwa huko huko na kufutwa kwenye uso wa dunia. Yaani Iran imesambaratishwa na kuachwa hoi kabisa, kiasi kwamba hivi karibuni itakua mnyonge wa yeyote anayetaka kuipiga, hata kainchi ka Afrika kataweza kujipigia...
Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania?
Soma Kwanini kusiwe na Shirika la Meli la Muungano ili kuepuka usajili wa kiholela?
Meli zinaandikishwa huko Zanzibar halafu zinaenda kutumika kwa kubeba magendo na madawa. Tuwaulize ni meli ngapi...
My Take
Hakuna kumung'unya maneno Inawezekana kabisa kwamba magenge ya wahalifu wa Kimataifa wamepata Uchochoro wa Kusajili Meli zao hapa Bongo Kwa rushwa Ili zikatumike kwenye Uhuni.
Mwaka 2018 hayati Magufuli aliliona hili na kuzuia usajili wa hizi meli lakini naona ule mchezo umejirudia...
Gerson Msigwa amesahau kusema.
CJNG, maybe the biggest drug cartel in Mexico, cartel ya El Mencho aliyeuawa juzi,ndio Ile meli iliyokuwa yao .
El Salvador inafanya haya mambo kwa kupewa Intelligence reports na Marekani.
In brief, kama ndio kina Abdul, wapo ligi daraja la kwanza katika haya...
Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa.
Haya ndio malipo ya Serikali haramu mnategemea nini ?
Watekaji hawa huko kenya wanakamtwa tu nje ya nchi na sio kwenye shamba la bibi huku hawakamatwi vipi...
Kituo cha Televisheni cha Taifa (UBC) kimemhoji Waziri wa Nchi, Masuala ya Vijana na Watoto, Balaam Barugahara Ateenyi, kuhusu tatizo la mtandao nchini Uganda. Waziri alieleza sababu za kufungwa kwa intaneti.
Waziri amesema kuwa awali, Kamisheni ya Mawasiliano ya Uganda (UCC) ilifunga intaneti...
Iran iliombwa, baada ya siku kadhaa za majadiliano nyeti ya kidiplomasia, kujiondoa katika mazoezi ya kijeshi ya nchi za BRICS yaliyokuwa yakifanyika kwenye pwani ya Afrika Kusini na kukubali kushiriki kama mwangalizi tu, vyanzo vyenye taarifa sahihi vimethibitisha kwa News24.
Ombi hilo...
1. Maisha ya Utumwa na Baharini
•Robert Smalls alizaliwa mwaka 1839 huko Beaufort, South Carolina, nchini Marekani akiwa mtumwa. Akiwa kijana, alipelekwa kufanya kazi kwenye bandari za Charleston. Huko, alijifunza kila kitu kuhusu meli—jinsi ya kuziongoza, ramani za majini, na jinsi jeshi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.