mei mosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    DOWUTA yaitaka Serikali kulinda ajira na Haki za Wafanyakazi Wazawa kwenye uwekezaji wa Bandari na Kampuni ya Adani

    Wakuu! Katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mwaka huu, viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Usafirishaji na Huduma za Bandari Tanzania (DOWUTA), kupitia tawi lake la TEAGTL, walijitokeza kwa nguvu kupaza sauti kuhusu mustakabali wa wafanyakazi wazawa...
  2. N

    Mei Mosi ya Singida ilivyodhihirisha uzoba wetu wapiga kura na wasimamia kura

    Ilikuwa vichekesho sana yaaani. Yaani kwanza kwa kuhofia wananzengo kutojaa uwanjani basi ukatumika uwanja mdogo na ukaachwa ule mkubwa. Ili kuhakikisha wananzengo wanatamani kuingia uwanja huo unapambwa vema ile mbaya na viti vizuri vinawekwa. Inasemekana viti hivyo vingine vilitoka Makao Makuu...
  3. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yashiriki maadhimisho ya Mei Mosi, Singida

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya kwa pamoja wakiwa wameshikana mikono wakati...
  4. Blasio Kachuchu

    Watumishi wa chuo cha umma Tanzania washiriki maadhimisho ya Mei Mosi, Dar

    Watumishi Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC),makao makuu na Kampasi ya Dar es Salaam wameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ‘Mei Mosi’ ambayo kimkoa yamefanyika katika wilaya ya Kinondoni kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam Mgeni Rasmi...
  5. kavulata

    Mei Mosi, Sekta binafsi bado ipo gizani Totoro

    Wakati wenzao wa Sekta ya umma wakifurahi na kurukaruka kwa nyongeza ya mshahara wenzao wa Sekta binafsi hawajui la kufanya. Bidhaa zimepanda kwa watumishi wote na wote wanaishi kwenye mitaa ileile na kukua kwenye maduka yaleyale; wanachekana. Bodi fanyeni hima kunusuru Sekta binafsi ambao ni...
  6. BLACK MOVEMENT

    Angalia Jukwaa la Wageni rasimi mei mosi Kenya Vs Jukwaa la wageni rasim Mei mosi Tanzaniza pale Singida,

    Nilisema jana Taifa linaangamia kwa ujinga. Ni mwendo wa Uchawa, Mbona Jk, Mkapa na Mwinyi huu ujinhahaukuwepo? Au walikuwa washamba sana? Hii ni singida. Hii ni Kenya jikwaa kuu lina rangi za Bendera za nchi na hakuna picha ya William Ruto.
  7. Paspii0

    Mei Mosi kila mwaka Kanisa linaadhimisha Sherehe ya Mtakatifu Yosefu mfanyakazi, baba mlishi (Mlezi) wa Yesu Kristo

    Katika tafakari ya maisha ya kila siku, kazi ni kama jua linaloangaza jasho letu kuwa baraka, na juhudi zetu kuwa ibada takatifu. Tarehe 1 Mei, Kanisa Katoliki la Roma,linatufundisha kuyatazama maisha kwa macho ya Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi , fundi wa mbao (seremala),baba mlishi wa Yesu Kristo...
  8. L

    Tetesi: Watumishi Wa Umma Wapanga Kufanya Maandamano Makubwa Muda wowote kuanzia Sasa Kumpongeza Rais Samia kwa Kuongeza Misharaha Yenye Minofu Minono

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Kiongozi ambaye Ameletwa na Mungu kuleta Furaha kwa Watanzania,Ni mama mwenye upendo, ni mama mwenye huruma ,ni mama mwenye kuguswa na Maisha ya watu ,ni Mama msikivu ,ni mama mwenye kujali maisha ya watu,ni Mama mwenye dhamira ya dhati ya kuinua...
  9. Just Pray

    PreGE2025 Sheikh akiomba dua Mei mosi asema 'Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia'

    “Eeh Mola wetu umpe faraja Rais samia, na faraja anayohitaji ni mitano Mingine, Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia” Sheikh - Mkoa wa Singida
  10. Just Pray

    PreGE2025 Msaga sumu akitumbuiza Mei mosi asema Tanzania kama ulaya, Rais Samia anaupiga mwingi

    Msanii wa Singeli Msaga Sumu akitoa burudani kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani leo Mei Mosi, 2025 mkoani Singida ambako maadhimisho hayo yanafanyika kitaifa na mgeni rasmi ni Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  11. Kijukuu cha ngoyayi

    Ninaloona kama faida leo kwa watumishi kwenye Mei Mosi 2025

    1. Ni kutoenda kazini na kupata faida ya kupumzika na wenye mishe zao kuzifanya. 2. Kwenda kushuhudia mama akifanya kampeni kmy kmy kwa kisingizio cha mei mosi. 3. Kushuhudia shoo ya wasanii ambao ni machawa na comedy nyingi tu. 4. Kimasirahi kilio ni kile kile na ahadi zisizotekelezeka. 5...
  12. cutelove

    Sherehe ni za Mei mosi au kampeni za uchaguzi

    Natamani nijue sherehe za Mei mos katika mataifa mengine nilinganishe na mei mosi ya Tanzania Kila sentensi ni kumsifu na kumuabudu Mama Samia na kauli za Mitano tena Nikafikiri sherehe ni sehemu ya kusifia wafanyakazi wanavyofanya kazi kwa maendeleo ya Taifa na kuzungumzia changamoto za...
  13. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, 2025

  14. Roving Journalist

    Singida: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025

    Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Mkoani Singida kitaifa, leo tarehe 1 May, 2025. https://www.youtube.com/live/MHXv41BdFrI?si=s-YLjva6CvZuccs_
  15. The Burning Spear

    Mioyo ya wana Singida inavuja Damu halafu Kwa zarau Mnawapelekea sikukuu ya mei mosi CCM Mmelaaniwa.

    Kweli CCM Wamechanganyikiwa. 1. Tundu.Lissu yuko Mahubusu.kqa kesi za uongo aliteswa kwa kupigwa risasi 16 2.Charles Kitima Kashambuliwa hali ni mbaya. Wote hawa ni watoto Wa singida halafu CCM inapeleka sherehe huko ama kweli ujinga ni kipaji. Mpaka.Uchaguzi mkuu ufike Tutashuhudia Mengi.
  16. Baraza la Famasi Tanzania

    Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani

    Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani
  17. B

    Kikwete atoa taarifa kwa Waziri Mkuu maandalizi mei mosi yamekamilika 100%, Rais Samia mgeni rasmi

    Leo Jumatano Aprili 30, 2025 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Ridhiwani Kikwete ametoa taarifa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ya ukamilifu na utayari wa kilele cha Sherehe za Mei Mosi zinazotarajiwa kufanyika kesho Mei Mosi katika Viwanja vya...
  18. BLACK MOVEMENT

    Ni Tanzania pekee, ambapo sherehe za Wafanyakazi yaani Mei mosi zinaratibiwa na kuandaliwa na Serikali na sio vyama vya wafanyakazi

    Kwenye picha hapo ni Viongozi wa Serikali eti wanakagua maandalizi ya uwanja kwa ajili ya mei mosi. Hizi kwa mchi zote Duniani hata kule Somalia ni sherehe za wafanya kazi tu. Bado unakuta wafanya kazi wana taguta mchawi wa masilahi yao? Hakuna Taifa isipo kuwa Tanzania ambako Sherehe za...
  19. M

    Mei Mosi: Ni nini unafurahia kama mfanyakazi

    Wana JF, Wengi sisi ni wafanyakazi sehemu na idara mbalimbali. Kesho ni siku yetu ya kufurahia na kukumbushia haki zetu. Kama mfanyakazi ni kitu gani kinakufurahisha kwenye kazi yako. Kwa mimi ni ile recognition ya msimamizi wangu eneo la kazi. Je wewe?
  20. ngara23

    Mei Mosi (labor day) ndo ilitakiwa iwe siku ya wajinga duniani

    Nashauri Ile siku ya wajinga ambayo huwa ni tarehe 1 April Sasa iwe mei Mosi Lengo la mei Mosi ilikuwa ni kujadili na kupata suluhu ya changamoto za wafanyakazi Huku kwetu ni tofauti 1. Watumishi wanaandaliwa lisala ya kusifia serikali Badala ya kulalamikia 2. Watumishi wamepewa Fulani na...
Back
Top Bottom