Mechi (Nepali: मेची अञ्चल Listen was one of the fourteen zones of Nepal until the restructuring of zones to provinces, comprising four districts; namely Ilam, Jhapa, Panchthar and Taplejung. Its headquarters are at Ilam. It comes under the Eastern Development Region of Nepal. The Indian state of Bihar is to the south, West Bengal and Sikkim in the east and Tibet to the north. The largest town is Damak in the Terai. The majority of the population in Mechi are Limbu, Chettri, Bharmin, or Meche.
Mechi is divided into four districts:
Among the four districts, Jhapa is in the Terai and it is more developed than the other three districts. Ilam and Panchthar are in the hilly region. Ilam is also in a developing stage, with many tourists visiting annually. Kanyam is popular for its tea garden. At Antu the rising sun can be viewed. Taplejung is the least developed of the four districts. Taplejung is in the mountainous zone.There are two airports within Mechi: one in Bhadrapur and one in Taplejung.
Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia, Waziri Ndumbaro amewataa wananchi wamuombee Rais Samia apate ushindi wa kishindo 2025 na kwa waliopanga kweka mpira kwa kwapani waweke ila mechi haiahirishwi (Uchaguzi).
Mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CAF kati ya Simba SC na Stellenbosch Aprili 20, huwenda ikachezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Taarifa zisizo rasmi zinaeleza maandalizi yanaendelea, ingawa bado hakuna uthibitisho kutoka CAF wala klabu ya Simba.
Habari wadau!
Mpaka sasa, tumesikia na kusoma mengi kuhusu hii mechi ambayo haikuchezwa baada ya Bodi ya ligi kuiahirisha huku Yanga wakifika uwanjani na Simba kutofika kama walivyokuwa wamepanga.
Je, ni kweli jambo hili sssa liko huko CAS kwa ajili ya usuluhishi na maamuzi?
Na kama kweli...
Wasalaam,
Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25.
Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry, serikali ilitoa tamko kuwa uwanja unafungwa kwa matengenezo na kwamba Simba itafute uwanja...
Watanzania tumeshazoea siasa kwenye mambo yetu kwahiyo hata inapokuja mambo ya msingi tunataka weka siasa.
Huu uwanja wa taifa ni kweli hauna sifa kutumika kwenye mechi kubwa kwa hali uliyonayo.
Kwenye hii mechi ya Simba na Masry ukweli kila mmoja anajionea.
Uhalisia wa pitch ni tofauti...
Ewe Mwenyezi Mungu, Muumba Mbingu na Ardhi, ulisema ombeni mtapewa, nami nasimama mbele yako hapa uwanjani kwa Mkapa mvua ikiwa inanyesha, nakuomba allah jalali, mungu wa viumbe wote duniani, utujaalie ushindi wa kishindo leo uwanja wa Taifa ili roho zetu zipate kutulia.
Mwenyezi Mungu, wewe...
Ndio sijakosea, ni kocha anaye tabirika, Al Mary sio timu ya kutisha kivile ila wenzetu walishamsoma kocha Hana mbinu mbadala.
Hata kikosi chake kinatabirika na nitakutajia
Camara
KAPOMBE
ZIMBWE
Chamoue
Hamza
Ngoma
Kagoma
Kibu
Ahoua
Ateba
Mpanzu
Akibadilisha mchezaji hata mmoja hapo nipo...
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema haoni sababu ya baadhi ya wabunge wasiokuwa na uhusiano na Klabu ya Simba kuwa ndio wanaozungumza zaidi kuhusu mechi ya Simba wakati mchezo huo umepangwa kuchezwa kesho. Ametoa kauli hiyo leo Bungeni wakati wa maswali na majibu.
Leo tarehe 4 April ni mwezi umepita ambapo Simba alikimbia mechi,tarehe 8 March
Sababu za kukimbia mechi ni uoga uliowajaa Simba kutokana na wachezaji wao wenye unafuu kuwa na majeraha kama Che maloni, Camara na Ngoma
Simba walishirikiana na Bodi ya ligi pamoja na TFF kuhujumu derby bila...
“Nafahamu wote kwa pamoja tuna hamu ya kupata matokeo katika mechi hii lakini matokeo haya kuyapata kwa kushinda na kufuzu. Sisi tumeweka mazingira mazuri ambayo yataiwezesha timu yetu kufuzu.”
“Nipo hapa kuwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa alkini ningependa kutoa taarifa...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Hao waarabu wakijiroga na wakawa kichwa ngumu wakatumia chumba Cha kubadilishia nguo hapo Kwa Mkapa tarehe 9 dhidi ya Makolo,namuhakikishia huyo Mwarabu atachezea Mkong'oto wa goli zisizopungua 4 a.k.a 4R za mama !
Waarabu wakitaka hiyo mechi washinde...
Hii mechi Simba angetuliza kichwa angeshinda goli nyingi ila ametia pressure nyingi mkiita hamasa hili ndo litawagharimu
Nimeshangaa viongozi wakubwa wa Simba wakipuuza mbinu ya Al Masry aliyotumia kuwafunga goli 2 bila
Viongozi wa Simba wamesema eti Al Masry ni timu dhaifu. Al Masry awe dhaifu...
Klabu ya Simba SC imemtangaza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa mgeni maalum katika mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Al Masry. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 9, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar...
Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka?
kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi?
Fabrice konokono Ngoma pale kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.