mechi

Mechi (Nepali: मेची अञ्चल Listen was one of the fourteen zones of Nepal until the restructuring of zones to provinces, comprising four districts; namely Ilam, Jhapa, Panchthar and Taplejung. Its headquarters are at Ilam. It comes under the Eastern Development Region of Nepal. The Indian state of Bihar is to the south, West Bengal and Sikkim in the east and Tibet to the north. The largest town is Damak in the Terai. The majority of the population in Mechi are Limbu, Chettri, Bharmin, or Meche.
Mechi is divided into four districts:

Among the four districts, Jhapa is in the Terai and it is more developed than the other three districts. Ilam and Panchthar are in the hilly region. Ilam is also in a developing stage, with many tourists visiting annually. Kanyam is popular for its tea garden. At Antu the rising sun can be viewed. Taplejung is the least developed of the four districts. Taplejung is in the mountainous zone.There are two airports within Mechi: one in Bhadrapur and one in Taplejung.

View More On Wikipedia.org
  1. mmh

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika kukata tiketi mechi ya Simba na Yanga 08/05/2021 uwanjani

    Watu wengi washafika uwanjani lakini wakatisha tiketi wanaonekana ndani na machine zao lakini Wala hawataki kutoa huduma. Je, huu sio uhujumu uchumi? Serikali mnataka mapato gani zaidi ya haya? Yaani uwezo wa serikali kusimamia utaratibu ndo umefika mwisho? Kwanini watumishi hawajali watu? Ile...
  2. McFerson

    JamiiForums Tanzania Natabiri: Mechi ya Derby kesho kuna vurugu itatokea

    Waasalaaaam Jf Kichwa cha thread hii chajieleza. Natabiri kuwa kuna timu kesho wakati wa mechi ya watani itazua vurugu . Kuna mtani mmoja atacheza rafu sana, nyingine zitapelekea kusababisha penati na hivyo kubugizwa goli za kutosha kwa sababu ya panic na baada ya mtani huyo kubugia goli za...
  3. Lee

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya watani wa jadi, kipi unakikumbuka katika historia ya Klabu hizi?

    SIMBA na YANGA ni timu zenye historia kubwa katika mpira wetu wa Tanzania tokea kuanzishwa kwake mpaka muda huu japo yawezekana historia ya klabu hizi haiendani na maendeleo ya hizi timu kwa ujumla Kwa miaka ya hivi karibuni SIMBA zamani ikijulikana kama SUNDERLAND wazee wa lunyasi , wazee wa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba SC: Kamwe msiingize kikosi cha kwanza katika mechi yenu na Yanga SC

    Timu ya Simba pokeeni ushauri huu. Kwa kuwa mna kikosi kipana na kizuri, tumieni kikosi cha pili kucheza na Yanga. Kwa nini? 1. Katika kipindi hichi ambacho mmepata mafanikio timu ya Yanga itakamia mechi ili kuonyesha kuwa na wao ni bora. 2. Ikiwa mechi hii ikamiwa hivyo inaweza kuwaacha na...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Mwamuzi wa Simba na Yanga 'Mwanangu' kabisa Mwandembwa, usituangushe 'Wadau' wako wa Soka na Kijiweni Kwetu

    Kama kuna Watu ambao ama hakika wamenifurahisha ni TFF kupitia Bodi ya Ligi hasa kwa Kumpanga Mwamuzi (Referee) Mwandembwa (Mwanangu kabisa) kutoka Arusha awe 'Pilato' wa Simba na Yanga Jumamosi tarehe 8 May, 2021. Tafadhali naomba kila mwana Simba SC afanye upesi akakate Tiketi yake mapema...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Umewasikia WanaSimba! Wanasema 8/5/2021 siyo mechi bali ni siku ya mazoezi kwao kujiandaa na Kaizer Chiefs

    Wadau Siyo maneno yangu ila nimewanukuu wapenzi wa Simba muda mfupi ulipita kupitia Luninga. WanaSimba Wanasema. Kwamba Mei 8 watakutana na Yanga kwa ajili ya mazoezi kujiandaa na mechi na Kaizer Chiefs. Kwamba wanaYanga wote wenye pressure wasiende uwanjani siku hiyo!
Back
Top Bottom