Kinachonipa nguvu, ni pale binadamu yeyote, masikini, tajiri, mwenye mamlaka n.k, woote lazima tuonje mauti
Shida inaanzia hapa!
Kuhukumu na kunyima watu uhai ni laana katika nchi, Damu ndio uhai wa mtu, na damu inapomwagwa kwa ukatili, hulia mbele za Mungu kwa kutaka kisasi juu ya nchi
Kwa...