mdude nyangali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    PreGE2025 Mwabukusi: Tunamtaka Mdude akiwa hai

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniphace Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola kuhakikisha kuwa mwanaharakati Mdude Nyagali anapatikana akiwa hai, huku akilaani vikali kauli ya kutolewa zawadi ya Shilingi milioni tano kwa atakayesaidia kupatikana kwake akiwa hai au mfu...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Mimi ni Mke wa Askari lakini kwa hili la Mdude simtaki tena mume wangu

    Jumapili ya jana Mei 11, 2025 Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama Mdude ambaye hajulikani alipo tangu alipovamiwa nyumbani kwake Iwambi na...
  3. Mr Why

    PreGE2025 Spika Dkt. Tulia: Huwezi kusema mtu katekwa kama hukuona

    Majibu fikirishi kutoka kwa Mh Tulia Ackson kuhusiana na kupotea kwa Mh Mdude Nyangal, mwanachama wa CHADEMA Spika na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Tulia Ackson akifafanua hoja ya Bunge kutotoa maelekezo kuhusu uwepo wa matukio ya Watu kudaiwa kutekwa na wengine kupotea Nchini, amesema hiyo...
  4. Mr Why

    Wakili Mwambukusi atilia mkazo suala la kupotea kwa Mdude Nyangali mwanachama wa CHADEMA

    "Hili tukio la mdude na kitima ndio la mwisho, hatuendi kuzungumza tena, 'take it from me' hatuwezi kukaa hapa kwa hofu tunaogopa watu, hili taifa ni letu, kwanini hatulindwi? Hao watekaji ni kina nani ambao wanateka kila mtu? subirini vitendo 'it will never happen again'. Sisi tunachosema leo...
  5. Erythrocyte

    PreGE2025 CHADEMA Diaspora yatangaza Dau la Tsh Milioni 10 kwa yeyote atakayewezesha kupatikana kwa Mdude Nyagali

    Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani hii hapa
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Wana Mbeya wafanya maombi maalumu kwa ajili ya kupatikana kwa Mdude

    Wanachama wa CHADEMA mkoani Mbeya wamefanya maombi kwa ajili Mdude Nyagali kutoka kwenye kambi ya kumtafuta iliyowekwa Ofisi za Chama kanda Mbeya. Pi, Soma: RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka
  7. Waufukweni

    Jeshi la polisi linachunguza tuhuma za kuhusika askari katika kupotea kwa Mdude Nyagali

    Jeshi la Polisi linafuatilia kwa karibu tuhuma zilizotolewa na mwananchi mmoja ambaye jina lake linaendelea kufuatiliwa akiwatuhumu askari wawili kupitia mitandao ya kijamii kuwa walimfuata kumtaka afanye nao kazi ya kijajusi pamoja na kumuahidi kumpatia fedha. Kufuatia taarifa hiyo, Jeshi la...
  8. S

    PreGE2025 CHADEMA na Wanaharakati kwa ujumla, anzisheni michango kusaidia familia ya Mdude

    Habari! Natoa wito kwa viongozi wa CHADEMA na wanaharakati wa haki za binadamu na wadau wengine kuanzisha michango kusaidia familia ya Mdude katika kipindi hiki ambacho hatima ya Mdude bado ni kitendawili. Huyu Bwana alitoa maisha yake kupambania Taifa hili na watu wake na pia alikuwa ni...
  9. Roving Journalist

    LHRC yalaani tukio la Mdude Nyangali kuvamiwa, kuchukuliwa na Watu wasiojulikana

    KUKEMEA NA KULAANI VIKALI SHAMBULIO DHIDI YA NDUGU MDUDE NYAGALI Dar es Salaam, 02 Mei 2025 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kukemea vikali shambulio dhidi ya ndugu Mdude Nyagali lililotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 Mei 2025 akiwa nyumbani kwake mkoa wa Songwe. Hivi...
  10. Erythrocyte

    PreGE2025 Mdude Nyagali aibukia Ikungi akutana na Tundu Lissu

    Mpigania Uhuru, Haki na Demokrasia Nchini Tanzania, ambaye idadi ya kukamatwa kwake na Polisi haihesabiki, Mdude Nyagali ameonekana Ikungi Mkoani Singida wakati wa Mapokezi Makubwa ya Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Wawili hao waliteta kidogo namna watakavyoendeleza mipango ya Chama chao...
  11. B

    Mdude Nyangali amfananisha Mbowe na Nabii Musa, Lisu na Nabii Joshua

    Kada maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyangali amesema nabii Musa alifanya mengi mazuri juu ya Taifa la Israel lakini baadaye Mungu akampunzisha ili ampishe nabii Joshua awaingize wana wa Israel nchi ya ahadi ya Kaanani Mdude maarufu kama Mdude Chadema amesema Mbowe...
  12. Erythrocyte

    LGE2024 Mdude atolewa Songwe na kupelekwa Mbeya kwa mahojiano zaidi

    Angalieni wenyewe namna Polisi wanavyohangaika na mtu ambaye wala hana silaha yoyote Halafu rudisheni kumbukumbu ya namna walishughulikia ajali ya ghorofa Kariakoo. --- Wakati Jeshi la Polisi mkoani Songwe likimaliza mahojiano na kada wa Chadema, Mdude Nyagali, mwanaharakati huyo anapelekwa...
  13. Cute Wife

    LGE2024 Polisi wasema kuna mambo hawakumalizana na Mdude jana kumhoji na kumchunguza, ndio maana wanaendelea kumshikilia

    Wakuu, Ila polisi, mnazidi tu kufanya CHADEMA wapate vichwa na kuwa maarufu. Sijui kwanini hamjifunzi, kila siku mnatumia mbinu zile zile! ===== Pia soma: - LGE2024 - Songwe: Viongozi wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, wameachiwa bila masharti Usiku Wakati Mbowe na wenzake...
  14. D

    Nitashangaa mno kama Mdude Nyangali atafika wikiedi hii bado hajaangukia mikononi mwa Polisi

    Salaam wanaJF. Kauli ya Kada wa Chadema, Mdude Nyangali kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatafuta roho yake ni kauli nzito mno isiyotakiwa kupuuzwa hata kidogo na vyombo vya ulinzi na usalama. Mdude amesema straight bila kumung'unya maneno kwamba Samia anataka atekwe, ateswe, auawe na kutupwa...
  15. KING MIDAS

    Mdude Nyangali CHADEMA azuiwa kusafiri nje ya nchi na DCI. DCI kapata wapi mamlaka ya kuzuia mtu asisafiri?

    Hivi huu Ujinga bado upo? Au ndo 4R kwa kiwango cha standard gauge ? my foot !...Kumbe tuna wafungwa wanaotembea? DCI vipi kulikoni? Au una kwazwa sana na watu wenye maoni Huru? Nimetaarifiwa kuwa umeweka zuio mdude Chadema asitoke nje ya Nchi eti? Kwa hiyo anakifungo kwa Mujibu wa Ofisi...
  16. N

    Dk. Slaa, Mwambukusi na Mdude kufikishwa mahakamani Mbeya

    Philipo Mwakilima ambaye ni Wakili wa Wakili Boniface Mwambukusi na Mdude Nyangali amesema kuwa taarifa alizopewa na maafisa wa Jeshi la Polisi ni kuwa wateja wao ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya uhaini pamoja Dk. Slaa wanatarajiwa kufikishwa Mahakamani Mkoani Mbeya hii leo Agosti 16, 2023...
  17. Msanii

    Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

    Serikali imeamua kuzima mjadala wa Bandari kwa kishindo Kamata kamata inaendelea Zamu hii Dr. Slaa akamatwa leo jumapili tarehe 14/08/2023....
  18. kagoshima

    Mdude Nyangali ni mpinzani anayechafua taswira ya upinzani

    Watu wa aina ya Mdude Nyangali wa CHADEMA wapo sana kwenye jamii na tabia zao mara nyingi huwa zinakereketa na kujenga mtizamo hasi. Siasa za Mdude Nyangali sio za kiuanaharakati, sio za kistaarabu, sio za kushindana kwa hoja. Siasa za huyo jamaa wa CHADEMA ni za kishari, mihemko na kutukana...
  19. DIUNATION

    UVCCM, Mdude Nyagali aoneshwe kuwa taasisi ya Urais haitukanwi kirahisi

    Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Niseme wazi kama Rais Samia angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu anaamini katika Uhuru wa Mahakama aliamua ifanye kazi yake. Ni muda muafaka sasa kwa UVCCM...
  20. DENLSON

    Mdude Nyangali ni Nelson Mandela wa kizazi hiki

    Wasalaam, Leo tarehe 28 Juni 2021 Mahakama amemuachia huru aliyekuwa mtuhumiwa wa kosa la kuuza madawa ya kulevya. Sitagusia juu ya kesi au namna ushahidi ulivyotolewa ila nataka kuongelea msimamo alionao Mdude Nyangali mwanachama mtiifu wa CHADEMA hata akajiita MDUDE CHADEMA. Taifa...
Back
Top Bottom