Hij ahadi aliyeutia Boss wa kampuni siku anatambulishwa rasmi kuwa mdhamjnj mpya wa Jezi, Je wanaSimba tunaikumbuka vizuri?
Kuna wachezaji kadhaa Simba imewakosa kwa kushindwa kufika Dau au wengine kuzidiwa Dau na timu nyingine.
Jeuruti kashindwa au alitoa ahadi ya uongo? Huu ni kama utapeli...
SportsPesa ametoa bonus ya Tsh. 262 million kwa Yanga kufanya vizuri kwenye msimu. Je, kiasi hiki cha bonus kinafanana na mafanikio ya Yanga?
Yanga iendelee na mdhamini huyu?
Klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani imepata mdhamini mpya ambao ni kampuni ya Vodafone.
Kampuni hiyo hutumia rangi nyekundu.
Sasa Dortmund wamegomea rangi hizo nyekundu za mdhamini na kuwataka watumie rangi ya njano kama ilivyo jezi yao.
Ikumbukwe rangi nyekundu waliogomea Dortmund huwa...
Kwanza nimpongeze Mtanzania mwenzangu Joseph Rwegasira Samson kwa kushinda tenda ya kuzalisha jezi za mnyama. Pili niwapongeze SIMBA SC Kwa Mkataba mnono WA jezi wenye thamani ya BILLION 38.6 Kwa Miaka mitano.
Ukiwa pamoja na Extra bonuses kama vile Ujenzi wa uwanja...Media production...
[emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa.
Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa...
Leo nimeumia sana, tumenyimwa penati 3 clear kabisa wakuu kisa timu ya mdhamini inacheza.
Maumivu ni makali sana, tungefunga penati zote tungewakanda 5-2. GSM na Azam hatuwataki.
Mo acha unyonge, dhamini nawewe timu mbili tatu.
Simba Nguvu moja.
Ni kuhusu kipengele cha mkataba kinachosema Rais akitaka kujenga chochote karibu na maeneo ya DP World kama vile hospitali karibia na bandari ya Isaka basi atatakiwa kwanza kuomba kibali cha DP World. Wakati Rais huwa ndio anaeombwa ardhi, sio yeye kuomba.
Tundu akauliza hii ni akili au...
BENKI KUUZA MALI YA MDHAMINI.
Bashir Yakub, WAKILI
+255714047241
Tarehe 1/4/2023 Mahakama ya rufaa imesisitiza kuwa unapomdhamini mtu kwa kuweka mali yako rehani ili uliyemdhamini achukue mkopo basi unatakiwa kujua kuwa hatia yako na huyo uliyemdhamini ni sawa pale anaposhindwa kulipa...
Maelezo ya SportPesa
Sisi tunajua kuwa hatua ya makundi hatuwezi kukaa kwenye jezi za Yanga na tulijadiliana cha kufanya ikiwamo kuwapa LiveScore ambayo walisema inahusika na beting na imekataliwa na CAF, tukaomba ushahidi wa maandishi kwa kujua hii inaonyesha matokeo ya mechi na sio kubeti,”...
Kwa hali ilivyo sasa kama mdhamini katika NBCPL anataka kupata return ya haraka kwa hela aliyowekeza, Simba SC ni sehemu sahihi. Hili limejidhihirisha msimu huu (2022/23) ambapo M-BET anapata marejesho lukuki.
Katika msimu huu (2022/23);
1. M-BET imemwaga bilioni 1 Simba Queen. Kwa sasa Simba...
RAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Walace Karia amesema wapo kwenye mazungumzo na kampuni mbalimbali kwa ajili ya udhamini wa Kombe la TFF. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Karia amesema kombe hilo halina mdhamini mkuu na hata kuitwa kombe la Shirikisho Azam ni kutokana na kutokuwa na...
Habari wakuu, poleni na majukumu ya kulijenga taifa.
Mimi ni mkazi wa nyanda za juu kusini mwa Tanzania.
Kulingana na kichwa cha uzi. Naomba msaada.
Kwa kifupi sifahamu au sina uhakika mdhamini anatakiwa awe vipi na niwe na mahusiano gani naye.
Swali lingine ni kwamba, ikiwa nimemuweka mtu...
Wakuu Habari ya Jumapili.
.
Naomba Kujua kwamba ni Kiasi Gani Bingwa Wa Msimu Huu atakipata Kutoka Kwa Mdhamini Mkuu Wa Ligi.
.
Nimeamgalia Hivi orodha ya fedha atakayoipta Yanga kama Atakuwa Bingwa Wa Msimu Huu sioni fedha atakayoipta Kutoka NBC.
SENSA 2022
Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza.
nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini...
Nimemuandika mdhamini yupo mbali na mm kidogo,takribani kilometa 1000
Sehemu ya kuweka dole gumba lake naona itakuwa gharama kumfuata.
Nawezaje kubadili mdhamini..?
1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021?
2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao Mkataba hamjawalipa Pesa ya Awali na hata Vilabu vyote husika (ukiiondoa Simba SC yenye Akili na Watu...
Ligi kuu yetu imetawaliwa au niseme inaathiriwa na usimba na uyanga, na baada ya GSM kujitoa, mdhamini yoyote ataefuata hataaminiwa na atatuhusishwa na Simba na mgogoro utaanzia hapo (kukomoana).
Si ajabu mwaka huu tukawa na ligi ya hovyo kabisa huku usimba na uyanga ndio ukiwa chanzo.
Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.