mdau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Udhalilishaji kwa Watumishi na Nidhamu Mbovu ya Msimamizi wa Maktaba ya Mkoa Iringa iliyopo chini ya TLSB

    Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini. Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na...
  2. W

    MDAU, Ni mara ngapi umewahi kukutana na vifungashio vyenye taarifa binafsi za watu?

    Mara nyingi huwa nakutana na taarifa binafsi za watu zikitumika kama vifungashio zikiwa na majina, vitambulisho vya NIDA na leseni. Mara nyingine ni makaratasi ya matokeo ya mitihani au barua za maombi ya kazi zenye sura za watu. Hivi tume ya Ulinzi wa taarifa binafsi iko wapi kusimamia hili...
  3. The Dictator

    Mdau anauliza

    Kwa nini mpaka sasa mamlaka haijaachia huru mtandao wa JAMII FORUM kupatikana kwa watu wote hata baada ya tarehe ya kifungo kuisha? Kuna maelezo yoyote kuhusu swala hili? Mjumbe
  4. Keynez

    "Wanatoa maziwa na mayai, wanastahili kuwa jikoni" maneno ya Mdau

    Kuna haya maneno nimesikia kutoka kwa mdau mmoja akisema "Hawa wanatoa maziwa na mayai, wanapaswa kukaa jikoni ndiyo sehemu yao, huku kwingine tunalazimisha tu" Ni kauli ya kufikirisha sana. Inawezekana ni kauli ambayo imepitwa na wakati au inawezekana ina ukweli fulani tunaoukataa. Tujadili...
  5. Keynez

    "CHADEMA mnaringa na msiba wenu, hata sisi tutafiwa tu na sisi turinge" Maneno ya Mdau

    Kuna video moja nimeona inasambaa ikionyesha mdau mmoja akisema CHADEMA wanaringa na msiba wao huku akiahidi kwamba na "wao" wanasubiri msiba wao ambao utafana zaidi ya msiba wa CHADEMA ili nao wapate kuringa. Huyu mdau akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa tena msiba "wao" utakaofana utatangazwa...
  6. Mhaya

    Mdau wa JF: Kiredio na Demu wake wameachana

    Kuna mdau mmoja humu kauliza swali kama kiredio na demu wake wamewchana. Hata hivyo kamati ya umbea ya JamiiForums ikiongozwa na Gentamycin imefuatilia na kubaini Demu wa kiredio anayejulikana kama Vee Dollarz amefuta picha zote alizopiga na kiredio au alizochapisha zenye sura ya kiredio katika...
  7. W

    Mdau una zawadi ya kufungua leo au kuna mchongo unauskilizia?

    Boxing Day inaadhimishwa tarehe 26 Desemba ikihusishwa na desturi ya kugawa zawadi au msaada kwa watu wa hali ya chini Boxing Day au ikifahamika zaidi kama Siku ya Zawadi ni muda wa kufurahia na kufungua zawadi za Sikukuu ulizopewa Mdau, una chochote cha kufungua? Ulipewa au ulitoa zawadi kwa...
  8. Mhaya

    Issue sio Madini, Migodi, Rasilimali, Je vinasaidia nini Wananchi?

    Mdau mmoja akiwa nchi za nje ameshangazwa na namna ubora wa miundo mbinu ilivyo huko Ulaya, licha ya kwamba hakuna Rasilimali za kutosha ukilinganisha na nchi za Africa. Amesema kuwa nchi nyingi za Afrika zinatabia ya kujigamba kuwa na madini na Rasilimali nyinginezo, lakini hakuna...
  9. Mhaya

    Mdau: Vijana mnapenda starehe mnapenda anasa, acheni!

    Mdau mwenye lafudhi ya pwani atoa maoni yake kuhusiana na tabia mbovu zinazofanywa na vijana wa kizanzibari
  10. Agent-47

    Mdau ameongezea ufafanuzi kuhusu tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi

    Mdau ameweka ufafanuzi kwenye majina ya tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi. Angalia kushoto mwa kila jina… Angalizo: ni tume ya kuchunguza vurugu, siyo vifo.
  11. TODAYS

    DODOMA: Kama Kuna Mdau Muda Huu Upo Macho

    Usingizi umepotea ukiwa Dodoma basi tuambie kinachoendelea toka saa 23hrs hadi muda huu?. Nimepita hapo naelekea Singida nyuma nasikia kimewaka kwenye baadhi ya mitaa, kuwa njugo zina rushwa ovyo!. Je, ni kweli ?.
  12. Damaso

    Je mdau umeshawahi kupigiwa na hii namba?

  13. DuaZaMama

    Mdau ukipewa nafasi ya kuwa rais wa JMT kwa masaa 24 ungetamani kufanya nini?

    Watangazaji waandamazi wa Clouds Redio wakijibu swali linalouliza Je, ukipata nafasi ya kuwa rais kwa saa 24 ungetamani kufanya nini au ungebadilisha kitu gani? binafsi nimependa REFORMS na katiba mpya.
  14. Its Tesha

    Mdau unajua tofauti kati ya E-mail na GMail?

    Usiku Mwema.
  15. N

    Mdau Huwa unasalimia mtu unayekaa naye siti moja kwenye daladala au unakaushaga

    Habari wakuu Binafsi mimi huwa na mikausho mikali sana ili kutojipa stress maana wengi kwenye dala dala wanakuwa kama wamevurugwa hivi, unaweza kusalimia mtu halafu akakunyamzia. Vipi Wewe unatabia gani kwenye daladala ? #Oktoba_tunatoka
  16. Nyani Ngabu

    Mdau amchana vibaya Julius Nyerere

    Katika pita pita zangu kwenye mitaa ya YouTube, nimekutana na video ya Rais Julius Nyerere akiwa New Delhi, India, akipokea tuzo. Ilikuwa mwaka 1982. https://youtu.be/aGHLfV4S3CM?si=y1MsBA83j5P1y4p0 Kwenye ukurasa wa mabandiko wa chaneli ya mwanahistoria Adeyinka Makinde, kuna mdau katema...
  17. JamiiCheck

    SI KWELI Mdau kwa kutumia ujuzi ulionao bainisha dosari zinazoonekana katika video hii

    Wakuu, Kumekuwa na hiki kipande cha video huku ikielezwa kuwa hakuna kinachowashinda Bodaboda kubeba. Kwa kutumia ujuzi wako wa kubaini iwapo maudhui ni halisi au lah! Tuambie dosari zinazoonekana katika video hii
  18. Huihui2

    GE2025 Mdau wa Twitter aahirisha kujinyonga hadi tarehe 29/10/2025

    Kutoka Twitter anasema alitaka kujinyonga kutokana na depression za maisha, lakini ameahirisha hadi siku ya maandamano ya Mange Kimambi tarehe 29/ 10/ 2025.
Back
Top Bottom