mchungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mchungaji na mkewe wanusurika kuuawa

    Kweli duniani kuna mengi. Ni ajabu mwanadamu anamuwinda mwanadamu mwenzake utafikiri tunaishi katika mbuga za wanyama. Siku kadhaa zilizopita, mimi na Mchungaji wangu pamoja na mke wake, tulinusurika kuuawa. Ilikuwa alasiri, mimi na Watumishi hao wa Mungu, tulienda kufanya huduma katika mji...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

    Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana. Yafuatayo ni maelezo kwenye mkutano huo kuanzia mwanzo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Mchungaji Kibona

    Mchungaji Kibona ni rafiki yangu. Alikuwa mchangiaji sana humu na nafahamiana naye. Namtafuta sana sijamuona siku nyingi, miaka zaidi ya mitatu. kama yupo anitafute anajua namba zangu.
  4. JamiiForums Tanzania Nataka tumtongoze huyu mchungaji aache kutusumbua

    Si unajua bna binadamu tumeumbiwa mitihani? Nilikuwa na stress yangu moja hivi shost wangu mmoja akaniambia ana mchungaji wake flani twende tukaombewe Kufika kwa mchungaji lazima utoe historia yako yote anzia familia, wapenzi au mume,eneo unaloishi,kazi,mshahara kila kitu.tukafunguka wee yaani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…