mchungaji msigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Mchungaji Msigwa: Ukisema ninasubiri uteuzi unanitukana

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, amesema kuwa thamani yake kama binadamu haijawahi na haitawahi kutegemea vyeo vya kuteuliwa au kuchaguliwa. Akizungumza katika mahojiano na mtangazaji Neema Msafiri wa Msafiri Online, Msigwa amejibu mapigo kwa wale wanaodai kuwa...
  2. R

    Jamani Mchungaji Peter Msigwa yuko wapi?

    Nilitegemea awe kwenye kampeni kuikàndia Chadema, simsikii! Yuko wapi?
  3. Just Pray

    PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Tulilalamikia miradi mikubwa haigusi maisha ya watu huku chini, Rais Samia amefuata nyayo za waasisi wa taifa

    Wakuu Akiwa sehemu ya ujumbe wa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla anayeendelea na ziara ya kikazi kwenye mikoa ya Kanda ya Kaskazini, Kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Babati, mkoani Manyara ameeleza...
  4. Expensive life

    Mchungaji Msigwa upo wapi? Wenzako wanaopoa vyeo huku.

    Huyu aliyekuwa kada maarufu wa Chadema, baada ya kushindwa uchaguzi na kutokomea ccm, mchungaji msigwa yupo wapi? Mshitueni wenzake wameanza kuopoa vyeo huku, je! Yeye alitoka kindezi? 😀😀
  5. Just Pray

    PreGE2025 Mchungaji Msigwa: CHADEMA imepoteza imani na wananchi, No Reforms, No Election ni mkakati butu

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM ameibua mjadala mkali kuhusu hali ya CHADEMA, akidai kuwa chama hicho kimepoteza imani kwa...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Ningependa Tundu Lissu ashinde Uenyekiti CHADEMA kwa faida ya demokrasia ya Tanzania na hata kwa CCM yenyewe

    Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema: "Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote...
  7. Yoda

    Mchungaji Msigwa kada wa CCM anapata wapi nyaraka za maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA?

    Mmoja wa waandishi wa habari leo ndugu Marwa amesema amewahi kuona maazimo ya kamati kuu ya CHADEMA kama yalivyo yakiwa mezani kwa kada wa CCM Mchungaji Msigwa ili ku preempt hotuba za viongozi wa CHADEMA kuzungumza baadaye. Mbowe ameuliza waandishi habari Msigwa ni rafiki wa nani!
  8. Chakaza

    PreGE2025 Lissu jitokeze ukanushe habari za Msigwa kugharamia Press ya kutangaza nia, vinginevyo umekwisha

    Mimi ni mmoja wa watu tusio amini kwenye uzushi wa mitandaoni. Lakini kwa hili nililosikia naona linahitaji ulitolee ufafanuzi wewe mwenyewe maana linaenda kukupoteza mazima katika siasa hadi ubaki nawe unatembezwa mitaani ukiwa unabeba picha za mwenyekiti wa CCM kama huyo Msigwa. Je, ni kweli...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Tundu Lissu: Mchungaji Peter Msigwa ni rafiki yangu, lakini nitamkabili Kisiasa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa pamoja na kuwa na urafiki wa muda mrefu na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, kwa sasa hawezi kumkwepa kumkabili kisiasa, kwani Msigwa amehamia chama pinzani na si mwanachama...
  10. ChoiceVariable

    Kama namuona Mchungaji Msigwa na Zitto Kabwe wanavyochekelea Chadema wakitifuana

    Wakuu mjumbe hauwawi,Msigwa anasema safari hii Mwamba kapatikana 😁😁😁👇👇 Mwamba wa ACT Wazalendo anawa zoom tuu 😂😂👇👇 https://x.com/zittokabwe/status/1867117457988636793?t=u2ZhhSonhiMhl-S92nDa8A&s=19
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Mchungaji Msigwa: CHADEMA kimepoteza mvuto, hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani

    Akizungumza na wanahabari Disemba 09, 2024; Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa adai kuwa CHADEMA ni Chama ambacho kimepoteza mvuto hivyo hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani. "Wamepoteza dira, wamepoteza misingi ya chama chao, wamepoteza mvuto na kujiita chama cha upinzani kikuu...
  12. Waufukweni

    Mchungaji Msigwa: CCM inaongoza kwa utekelezaji wa Ilani barani Afrika

    Wakuu Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa chama hicho (CCM) ni chama kinachoongoza kwa kutekeleza ilani barani Afrika na hilo linapelekea wananchi kukiamini chama hicho na kukichagua mara zote. Msigwa amezungumza hayo akizungumza na wahabari Disemba 09, 2024.
  13. Gabeji

    Mchungaji Msigwa aliusoma mchezo mapema juu ya siasa ya Tanzania

    Poleni kwa uchaguzi walioshidwa, na hongereni, kwa washindi . Ukiwa mwanasiasa ni muhimu sana uwe smart na creative sana katika kufanya mamuzi sahihi na wakati sahihi. Lengo la kuwa mwasiasa mwisho wa siku lazima upate fedha,au uweze kunufaika na hizo siasa, asikudanganye mtu,eti mimi...
  14. Waufukweni

    Mchungaji Msigwa: Ukosoaji kwa Serikali kunaiua CHADEMA

    Mchungaji Peter Msigwa aliyekihama Chama Cha Chadema hivi karibuni na kuhamia Chama Cha Mapinduzi CCM, wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, akiwa mstari wa mbele kuipigia chapuo CCM huko mkoani Iringa, asubuhi hii amekuja na hoja binafsi wakati huu ambapo Kamati kuu ya Chadema inaketi...
  15. Waufukweni

    LGE2024 Msigwa awaita Mbowe na Lissu CCM

    Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Aliyekuwa kada wa CHADEMA Mch. Peter Msigwa amewaomba radhi wanachama wa CCM kwa maneno aliyokuwa akiyasema wakati akiwa upinzani. Msigwa amesema, "CCM niwaombe radhi kwa maana nilikuwa mtata sana, ni kama yule kipofu Nilikuwa kipofu sasa naona, kama...
  16. J

    Je, pengo la Mchungaji Msigwa limeonekana kwenye kampeni za Chadema? Na huko CCM je, Msigwa ame-add value ya Chama Tawala?!

    Nimeona hapa Iringa Masai mmoja anaongoza kampeni za Chadema kwa viwango vilivyotukuka na nyomi la kutosha kabisa na chenji inabaki Wadimi wa hapa Kihesa wameniambia anaitwa Sosopi Ametisha sana 😂😂
  17. Mindyou

    LGE2024 Mchungaji Msigwa: Kama nilivyoshambulia CCM, naishambulia CHADEMA kwa sababu ni waongo. Tumeandamanisha watu, wengine wamekufa!

    Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa ya moto kwenye Kampeni za Uchaguzi wa Serikali. Mchungaji Msigwa ambaye alihamia CCM akitokea CHADEMA amezungumza hivi karibuni mkoani Songwe hivi karibuni. Soma pia: Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima Msigwa amesema kuwa kama...
  18. J

    Mchungaji Msigwa kama Kuna ubaya alikutendea Mbowe mimi Yohana namuombea Msamaha, Unamsema mno nawe ni Mchungaji wa kondoo!

    Mchungaji Msigwa jaribu kuwa Gentleman mambo ya mipasho Siyo poa Sisi ni Wanaume tena ni Wakristo Nimeona baada ya Press ya Freeman ya Jana umemshukia kwa dharau kubwa Ukurasani kwako X Nikukumbushe tu ulikuwa na nafasi ya uwaziri wakati Wenzako akina Katambi, Gekui, Mollel na Waitara...
  19. B

    Mwenyekiti Mbowe akiachia madaraka haitaleta madhara kama Mchungaji Msigwa alivyoamia CCM?

    Mimi binafsi napenda siasa za amani, siasa zinazochochea fikra pevu, maendeleo, utawala bora amani na upendo. Hivyo hata ktk comment zangu na nyuzi zangu najitanabaisha kama mtu wa namna hiyo. Hivyo basi sipendi nawala siungi mkono siasa za vurugu, mapigano, uchochezi, husuda, ulozi, kutekana...
  20. W

    Mchungaji Msigwa: Unapokuwa Chawa hakikisha una fact, siyo tu kusema anaupiga mwingi

    Mchungaji msigwa alipokuwa akihojiwa na Ebony FM aliulizwa kama bado anawachukia machawa na majibu yake yalikuwa hivi.
Back
Top Bottom