Hivi, mpaka lile taifa la mchoongo(linalojiita teule)
Mungu wao hakujua wateule wake wanaenda kukosa makazi! Na wengine kupukutika(japo kwa akili za wenzetu tunajua Makombola ya Iran yanashusha tu mijengo hayaui!!!
Mbali na hilo, akaamua wateule wake wawe wanakimbilia mashimoni kama panya...