mchezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni suala la muda tu Fiston Mayele ataanza kuonekana Mchezaji wa Kawaida na Chukizo kwa wana Yanga SC wote

    Pini aliyopigwa na Mganga Hatari wa Simba SC katika ile Mechi ya Kariakoo Derby ambayo Gundu la Yeye Kutokufunga Goli ilianzia hapo kupitia Demu wake Mswahili (Mtanzania) wa Saluni yake Kubwa Magomeni Mapipa itamtesa mno Mayele na kumtesa zaidi Kisaikolojia.
  2. Nani anastahili tuzo ya mchezaji bora wa msimu EPL?

    Tuambie kwa mtazamo wako, mchezaji gani anastahili tuzo ya mchezaji bora wa msimu? Mimi naenda na Son wa Spurs
  3. M

    Kibwana shomari ni mchezaji asiyeimbwa lakini shughuli yake ni pevu

    Uyu bwana mdogo ni hazina ya taifa hapo badae akiendelea kujitunza vizuri, Ujio wa beki wa kimataifa Djuma shaban wengi tulijua tunakwenda kumpoteza uyu bwana mdogo lakini alituonyesha kuwa tunakosea kwani alikuwa na uwezo wa kuangalia fursa nyingine upande was kushoto na kufanikiwa kuwaweka...
  4. Soka la kisasa Mchezaji anathaminishwa kwa uwezo wa kufanya maamuzi sahihi sio Kipaji

    Mimi sio Mchambuzi wa soka lakini kama Shabiki wa soka nimekuwa nikijifunza kla siku kupitia kuangalia Soka. Baada ya Soka kuonesha mafanikio na ufuatiliwaji mkubwa kama kawaida Wenzetu(haswa Wazungu) waliona fursa na kuigeuza kuwa kati ya biashara kubwa sana Ulimwenguni. Hivyo basi kama...
  5. Mchezaji wa Arsenal, Hector Bellerín kuhusu Vita ya Ukraine

    Jamaa ameongea ukweli.
  6. Mchezaji wa NBC Premier League atakayewafanya akina Bangala, Aucho na Mayele watembelee 'Magongo' kwa Mechi zilizobakia ana Zawadi yangu Nono sana

    Niliwaamini akina Abdi Banda wa Mtibwa Sugar FC, Kelvin Yondan wa Geita Gold FC na huyu Bwege wa juzi Andrew Vicent wangenifanyia vyema hii Kazi yangu Maalum kumbe ndiyo Kwanza wakawa Wanawachekea tu mpaka hata Kuwazawadia Magoli ya Michongo na sasa hatukai kwa Amani hapa Mjini. Natamani mno...
  7. B

    Utayari wa mchezaji wa akiba

    Timu bora siku zote huwa na wachezaji bora wa akiba. Baadhi ya makocha huangalia utayari wa mchezaji aliyepo benchi wakati mechi inaendelea. Miongoni mwao vitu wanavyofatilia ni; Timu yake inapopata bao anaonesha hisia gani Timu yake inapofungwa anaonesha hisia gani Timu yake inapokosa bao...
  8. M

    Simba SC haijatoa mchezaji bora wa ligi tokea msimu uanze mpaka sasa

    Hiki ni kiashiria kingine kuwa safari hii mambo ni mazito na kuna mambo ya kiufundi hayako sawa kwenye kikosi kizima cha Simba, mpira siku zote ni takwimu na timu bora utaipima kwa takwimu uwanjani.
  9. Uongozi wa Simba SC tafadhali semeni tu Ukweli kuhusu Mchezaji Jonas Mkude kwani haumwi kama ambavyo mnatudanganya

    Binafsi nimeshatonya nini kinaendelea dhidi yake na alifanya nini huko ( kule ) Niger ila nyie mnaficha na Kufanya Siri ili tu kutozua Taharuki kwa Mashabiki na Kuwagawa Wachezaji. Kwa Kujiamini kabisa tena 100% GENTAMYCINE nasema Kiungo wa Simba SC Jonas Gerald Mkude haumwi kama ambavyo...
  10. Mchezaji wa Manchester United anashikiliwa na polisi kwa kudaiwa kubaka na kumpiga girlfriend wake

    Mchezaji wa Manchester United Mason Greenwood ameshikiliwa leo na Polisi kwa kosa la kumbaka Girlfriend wake na kumpiga. Msemaji wa Polisi jijini Manchester UK amesema kwamba walianza uchunguzi baada ya picha na video zilizokuwa zimesambaa kwenye mitandao zilizopostiwa na mwanamke zikiripoti...
  11. Kuna mchezaji mfupi wa kumzidi Mathieu Valbuena?

    Leo tuwakumbuke wachezaji ambao ni wafupi mno lakini wamewahi kusakata kabumbu vizuri sana, kuna huyu Valbuena, tuendelee na list
  12. "Hakuna mchezaji wa yanga sc anayeweza kuanza kwenye first eleven ya simba sc" - Ahmed ally

    Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
  13. W

    Frank Ngailo: Mchezaji wa Tembo Warriors anayekwenda katika majaribio nchini Uturuki

    Naibu waziri wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul, amesema matunda ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kukubali kuwa mwenyeji wa mashindano ya Mataifa Barani Afrika kwa Mpira wa Miguu kwa watu wenye ulemavu (CANAF) yameanza kuonekana...
  14. Ni mchezaji gani mpya atakae tambulishwa kesho yanga sc?

    Mimi ni mnyama damu ila ukweli usemwe mashabiki wa simba wengi tumepatwa na wenge usingizi hatupati jamani ata chama tumemsahau roho zipo juu. watani tuibieni jina basi tupate japo amani asije akawa yule kijana wa wydad
  15. Ukweli umefahamika kuhusiana na huyu Mchezaji wa Simba. Watu wasiri sana, hata hamsemi?

    Ni Mtanzania mwenye Asili ya Mbeya kule Tukuyu. Anaitwa Pope Ousmane Mwalusakho. Sema kule Senegal wakamwita Sakho. Ukimtizama ana Unyakyusa Flani hivi mwingi sana. Ni Mnyakyusa wa Tukuyu ndiyo asili yake. Akina Mwalusakho. Simba walidhani hatutajua asili ya huyu mchezaji. Mimi nlihisi toka...
  16. Huyu mchezaji mpya wa Simba anakuaje na Miaka 22?

    Mimi na kamati yangu tumegoma, huyu mstaafu anakuaje na miaka 22? Yaani huyu eti nikikutana nae aniamkie? Big NO
  17. Wale 'Waswahili' ambao 'mlinidhihaki' pale niliposema kuwa Mchezaji Pape Ousmane Sakho ni Hazina na kamwe asiachwe Simba SC mpo wapi leo?

    Yaani kabisa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE niseme Jambo au Kitu fulani halafu nikosee au nisiwe na uhakika nalo? au nimpende Mchezaji fulani kama nimpendavyo Khalid Aucho, Yanick Bangala, Jonas Mkude na Pape Ousmane Sakho halafu nikosee au wasiwe Wazuri kama nilivyowaona na Kuwasoma Kiuwezo? Asante...
  18. Kwanini jezi namba 9 huwa haivaliwi Simba?

    Ni miaka kwa miaka jezi namba 9 haivaliwi hapo Simba kwanini?
  19. Kibendera cha Offside juu; Mchezaji gani anakujia kichwani?

    Ukiona kibendera cha offside juu kama hivi, mchezaji gani anakujia kichwani yupo offside?
  20. Mchezaji gani Simba anaweza akaingia kwenye First Eleven ya Yanga?

    Heri ya mwaka mpya wanamichezo! Mchezaji gani wa Simba a.k.a Makolo ambaye anaweza akaingia kwenye first eleven ya Yanga? Kama yupo mtaje kuna hesabu napiga hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…